Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

tawapa ka stori kamoja ili niweke clear haka ka thread, "Kwenye account yangu ya fb kuna msichana ambaye basically aliwahi kuwa gf wangu, yes she was my first love and probably the best love ever...
0 Reactions
53 Replies
4K Views
Nasumbuliwa na red eyes ndugu zangu wana MMU,niombeen nipone haraka!kwa yeyote anaetaka kuniona niko mabibo hostel block E floor ya 2 room number 2_7.
2 Reactions
38 Replies
2K Views
Wapo watu ambao hua tunawafananisha kwa muonekano, namna ya kuongea, kifikra au walivyo tu kiujumla na watu wetu wa karibu au tunaowafahamu tu. Hii inaweza ikasababisha mtu akawa na hisia mbaya...
6 Reactions
96 Replies
5K Views
Asha Bani HIVI karibuni vyombo vya habari viliripoti taarifa za kuwapo kwa mashine ya kunyanyua matiti ili yaweze kusimama kwa yale yaliyoanguka. Licha ya vyombo vya habari kuandika suala hilo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jaman wadau naomba mnisaidie kuhusu hili jambo,nlikua na mwanamke/mpenzi wangu nlikua nampenda sana kupita maelezo.Ikaja ikatokea akaanza kunibadilikia,visirani kila saa tukiwa na miadi haji bila...
1 Reactions
30 Replies
4K Views
Ilikuwa ni siku ya Jumamosi, na ndio nilikuwa nimetoka Benki kuchukua mshahara wangu wa kwanza baada ya kusota kwa takriban mwaka mmoja bila ajira. Kwa mwaka huo mmoja niliokuwa nje ya ajira baada...
10 Reactions
55 Replies
4K Views
Kifaa ni "used" lakini bado kinauzwa kama "spare" na watu wenye kumiliki vifaa vya moto wanakimbilia "kukinunua"...! Mafundi wanakushauri eti ni bora ununue "used" kuliko "kipya"...! Ni kwanini...
1 Reactions
94 Replies
6K Views
Inaendelea toka sehemu ya 6 .... Nilibaki kinywa wazi, na ni dhahiri nilijua kuwa nimeingia mtegoni. Nilifumba macho, nikavuta pumzi,na kutaka kuongea jambo nikashindwa. Ghafla mlango...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Mwisho wa mwaka jana nilimpata my soul mate mwanamke ambae alikizi kila kigezo nilichohitaji kwa mwanamke, ninampenda sana nimemfanyia kila ki2 kicho ndani ya uwezo wangu, namjali sana sita weza...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Kuna jamaa yangu leo amegunduwa kuwa mkeo huwa anatabia ya wizi pesa anazotoa za matumizi anapeleka kwao. Na gharama za nyumbani zimepanda lakini huduma na chakula ni kile kile leo katika pekua...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Kuna mwanamke mmoja ambaye anafanya kazi kitengo cha haki za binaadamu hapa tz nilikuwa napiga nae story..... Maelezo aliyonipa yamenifanya nianze kuamini kuwa hizi harakati za wanawake mwisho...
1 Reactions
43 Replies
4K Views
Ni jambo la kawaida kwa mtu anaefanya jambo mara nyingi au muda mrefu anakuwa mtaalamu wa lile jambo hivyo anakuwa na uwezo mkubwa wa kulinogesha hilo jambo atakapolitenda. Chakushangaza wengi...
2 Reactions
40 Replies
6K Views
IDADI ya watu wanaoripoti kunyanyaswa kijinsia wilayani Iringa mkoani Iringa imeongezeka huku ukatili wa kingono ukiwa kwa asilimia 29 juu ya wastani wa kitaifa wa asilimia 20. Watu 219 wakiwemo...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Habari za Ijumaa,Naomba niwaulize wenzangu,ivi unafanyaje unapokuwa na mwenza wako ambaye haelewi,yaani ulimwengu uko huku na yeye yuko huku?halafu hashauriki kwa maana anajiona yuko sahihi,hana...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
akina dada zetu msikubali kudanganyika kirahisi hivyo nawapenda nyote nyinyi ndio mama zetu na ukipewa gari chukua na kadi yake litakuwa lako kweli bila kadi utakuwa umeazimwa
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Ni rafiki mpya,ingawa hajawa mpenzi wangu..maana ana mahusiano na mtu mwingine. Ila,hatuishi kujuliana hali karibu kila siku. Sasa tunapomaliza maongezi,akiwa anataka kuondoka,anamuita dereva...
0 Reactions
75 Replies
4K Views
Nowadays a lot of couples are moving in together before marriage ..Its called come we stay ... Some people say that its the best way to know if you are compatible. That its like test driving a...
0 Reactions
4 Replies
879 Views
===Naingia ofisi moja ya serikali nasoma ubao wa matangazo naona matangazo sita ni ya watumishi wanaoomba watu wa kubadilishana nao vituo vya kazi, wa2 hao c kwamba wanataka kurudi kwao bali...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mara nyingi nasikia mahusiano kati ya wapenzi lakini 'no strings attached' najaribu kuyaelewa lakini nashindwa, kwani maana yake halisi ni nini? Inafananaje au kutofautianaje na 'sex...
0 Reactions
192 Replies
11K Views
Nina mpenzi wangu mmoja ambaye nimekaa naye takribani miaka miwili. Mpenzi huyu pamoja na kukaa naye muda ule, ukweli ni kwamba simpendi na yeye ni king'ang'anizi kiasi kwamba nashindwa kupumua...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…