Kama 'mwanamke akikuambia hana hisia na wewe tena basi anza kufungasha na ujiandee kuondoka'. Hayo yalikuwa ni maneno ya ushauri wa mama wa makamo kwa vijana wanaopitia misukosuko ya mapenzi...
Najuwa tuko wengi tunaoamini utaratibu wa mwanamme kuwa na haki ya kutowa talaka. Mlio kwenye kundi hili nawaombeni ushauri wenu kwa vile mtanielewa nini kinachonisibu.
Mwenzangu, nikimaanisha...
Bwana.Fudenge umekaa na mkeo sebuleni,lakini mara kwa mara amekuwa akisimama kwenda jikoni na kurudi,mara akakuuliza...
Mkeo:"Hivi baba Chanja.."
Wewe:"Unasemaje?"
Mkeo:"Leo asubui ulisema...
Kuna tabia nimeikumbuka wakati naishi nyumbani kwetu(kwa baba na mama).Ilikuwa akija mgeni mama anafanya juu chini apate pesa ya kununua hata mapaja ya kuku na ikiwezekana pilau linapikwa siku...
Nilishusha pumzi na kuinyanyua simu yangu ya mkononi ili niipokee simu hii huku mapigo ya moyo yakienda mbio. Sikutamani kuongea naye kwa muda huu, maana nilijua wazi kuwa sauti yake kwangu na...
USIOMBE TU mungu akupe ndoa wengi wanateseka sababu ya midomo yao omba ndoa yenye upendo yenye baraka yenye utulivu wengi wakishaumwa na nyigu ndio wanaanza maombi ya ndoa yenye utulivu wakati huo...
Imetokezea kupendana na msichana mmoja Umri wake unakaribia miaka 28 ,ni aina ya msichana unapokuwa nae utapenda umpeleke kukutana na wazazi au marafiki zako, lakini kuna vitu viwili vinanitatiza...
Ni mkasa wa fundu ujenzi na msaidizi wake ulotokea juzi
morogoro mjini kasoro bahari. Umalaya mwingine wa
kijinga kweli. Huku akijua kula na kuvaa kwake kunamtegemea
fundi wake, akaona haitoshi...
Siku hizi limekuwa jambo la kawaida watu kuongelea jinsi wanavyo wasaliti wenza wao! Wengine hutoa hata mbinu wanazotumia kutembea na wake/waume au wapenzi wa wenzao! Hivi ukishamaliza kufanya...
Upendo duniani unadhaminiwa sana, kama mnara wa ufarisi wa binadamu. Upendo huimbwa katika nyimbo, huandikwa katika mashairi. Hudhaminiwa katika maandiko makubwa. Huzungumzwa katika mazungumzo ya...
ndugu zangu na marafiki leo nimeona bora nizungumzie juu ya mambo ambayo nakutana nayo niwapo na mwenzi wangu. Mwenzenu ninapokuwa na mpenzi kama kama kawaida yetu sisi wanaume kuomba penzi...
habari zenu our Hubby,our sweetht,our kiss.........
naomba kuuliza,kusaidiwa maana najua huku ndo kimbilio pekee lilibakia kwa ushauri. Hivi mwanaume anaweza kukupenda bila signs yoyote ya...
huwa sielewi mwanamke anapopewa jukumu la kulea mtoto ambaye si wake (namaanisha mama wa kambo) anakua na roho ya tofauti (mbaya)....
ni mara chache unasikia mtoto anaelelewa na mama wa kambo...
Jana nikiwa kaunta ulizuka mjadala kuhusu mdau mwenzetu na ndoa yake. Kuna waliodai kuwa mkewe ana maringo sana na wengine wakidai mume anamdekeza sana. Binafsi sikuchangia kwa kuwa haya maneno...
Watafiti wa chuo kikuu cha Colorado na Texas walifanya utafiti kuhusiana na wanawake kutoka nje ya ndoa zao. Katika utafiti huo wataalamu hao waliwahoji wanawake 4,884 walioolewa kwa mtindo wa...
hi guys... hope mko pouwa! Kuna mjadala tulikuwa tunajadili siku moja. Eti mwanaume akikupelekwa kwake "kumbuka huyu ni single yaani hajaoa.
Ni kwamba kakuheshimu na ni mwaminifu ndo maana yuko...
Mi ni mume wa mtu na watoto wawili. Kuna mdada ni mke wa mtu na ana mtoto mmoja. Karibu miaka miwili sasa huyu mdada kuna kazi za kiofisi tumekuwa tukishirikiana. yeye yupo kampuni nyingine...