Wapendwa habari za siku nyingi,
Msione kimya hivyo. Mwenzenu yamenikuta makubwa. Nimekutana na jimama la humu Jamii Forums (MMU) likanificha kwa zaidi ya miezi miwili...nakula, nakunywa, n.k. Wee...
Naishi na mtoto wa dadaangu ni mdogo ana miaka mitano yuko darasa la kwanza ni mkorofi kupita kiasi nadhani tv pia zimechangia huyu mtoto hana woga kichwani mwake, kujieleza kama wakili, anafanya...
jamani,huyu demu kila mara tumekuwa tunakwazana kuhusu matumizi ya simu.
Kimsingi nimekuwa nakuta meseji za mapenzi kwenye simu yake maana kuna wakati huwa tunabadilishana simu!!!
kila nikimuuliza...
Bado sijajua kama naumia moyo ama la. Natokea msibani alfajiri kabisa ili nifike nyumbani nipumzike kidogo then nijiandae kwa kazini. Nikachukua boda ili niwahi. Mimi na yy tuko majirani tu na...
Mnivumilie kwa kufanya hii topic ijirudierudie, ila ingekuwa heri mkaielewa hivi....
1) Mwanamke kutongozwa ni njia mojawapo ya kuonesha Glories of being a woman ambazo ni beauty, feminine...
nina rafiki yangu kaniomba ushauri na mimi sikuweza kumpatia majibu
ameolewa wana miaka mi4 sasa ktk ndoa na wamebarikiwa mtoto wa kike .......mume wake ni doctor private hospital....
mara ya...
Maneno haya yalitamkwa na wadada wawili walokuwa wakienda 'General Hospital' toka nkuhungu kumpa pole shostito mwenzao aliyepata shinikizo la damu baada ya kuporwa mpenzi wake na mwanamke...
Samahani wadau wa jukwaa letu tukufu la MMU,
Kwanza kabisa, naamini mko wazim na mnadunda...Mie pia ni mzima na nimewa-miss kikweli kweli!!
Leo nimejikuta napatwa na mawazo ya ajabu ajabu kuhusu...
Kisa changu kiko hvi,kuna gal mmoja alikua galfrd wangu wa tangu utoton,ilitokea akaja kugundua kwamba nimemsalit kwa kutoka na rafiki yake kipenzi,wel alinchunia takriban mwaka mzima akikataa...
Nimekuwa najiuliza, lakini sipati jibu. Mpenzi wangu wa Primary alikuwa Mashoto, wa A Level alikuwa Mashoto, then huyu wa sasa naye ni Mashoto, hii imekaaje? Sijui nitaoa Mashoto?
"Ulilazwa hospitali miezi mitatu, Miezi sita masomoni yote nilivumili., Unataka upendwe vp Wewe Gam..*2, "
Maranyingi watu huwa hawakumbuki mazuri waliofanyiwa na wapenzi wao na mwisho wake...
Hawa wasichana wanao enda kwa akna mchungaji rwakatare kuombewa ili wapate wachumba,ni kwel huko street kwao kote wamekosa wanaume wa kuwaoa kweli au hii ishu huwa imekaaje wakuu?
Jamani jamani akina dada nisetirini mwenzenu upweke huu.
Natafuta mwana jf msafi wa ukweli kwa ajili ya wikiend hii. Garama kila kitu kwangu na nakuhakikishia hautaboreka. Utakula na kudeka kwa...
Ndugu zangu wanaJF, jamii imekuwa na unyanyapaa wa aina ya kipekee dhidi ya wanawake au wanaume wasio na uwezo wa kupata mtoto. Wamekuwa wanyonge na hata imekuwa tishio katika kudumu ndoa zao...
Kisaikolojia inasemekana kuwa mtu akikosa kitu alichotarajia (frastruesheni) mbinu mojawapo atayo tumia ni kurudia tabia zake za zamani hata za kijinga! mfano mtoto akiwa pekee yake nyumbani huwa...
Nimesikia hizi habari siku moja kwamba ukipata bahati ya kuoa mwanamke mwenye ndevu za asili (sio wale wanaoota ndevu kwa sababu ya kuchubua na madawa mengine) huwa wanaakili sana za kimaisha na...
Wanandoa wanaowekana wazi vipato vyao na kupangia VS Wanandoa ambao wanafichana vipato vyao halisi.
..
NB: This includes marupurupu na pesa yoyote inayopatikana nje ya mshahara.