UNAPOKUWA NI MCHUMBA WA MTU, HASWAKWA YULE AMBAYE UNAFIKIRI AU UNATEGEMEA ATAKUWA MUMEO,, NI VIZURI KUZINGATIABAADHI YA VIPENGELE HUSIKA VYA KULETEA HESHIMA YAKO KWENYE KIPINDI CHA MAHUSIANO
1...
jamani nina swali kwa wakaka wa kibongo na wadada pia.
i met a man(white) going to marry soon, ila siku ya kwanza in bed alishindwa kusimamisha kabisa, tukaishia ku kiss tu na kuchezeana, i was...
Habari wana jf!da mwenzenu nipo kwenye mtego...nina msichana mmoj wa kizungu toka state ananitesa sana.....tulikua marafiki kupitia facebook miaka mitano nyuma akaniambia ananipenda sana na ipo...
Nimesoma gazeti moja leo rpc anasema wamekuta nyayo za wanawake wawili tofauti
wanajiuliza mara mbil mbili ni yupi alieondoka na mali za mh na mbaya wote awakuwa na viatu inavyoonyesha
swali...
sote tunafanya maanuzi...throughout your day, every day...mengine yanatokea tu hata huhitaji muda mrefu kuwaza..mf. kupiga mswaki asubuhi
maamuzi mengine ni kama kuamua nn kipikwe jioni...etc...
Nimekua najiuliza mda saaaaaana, Ni kitu gani hasa kinawapagawisha wanawake kwa Wanaume wenye Dreadlocks ?{Rasta}
Kwani hata madem wa Kizungu,Wahindi nk, hawaambiwi kitu na hii mijamaa...
wapendwa wana jamii naomba msaada wenu
mi nilioa tangu mwaka 2007,nina watoto wawili na mke wangu, wakati na funga naye ndoa aliniambia yule x-boyfriend wake aliekuwa naye alikwenda UK kusoma na...
Wadau naomba msaada wenu huyu binti ana mdogo wake (me) anaumwa jino. Nimejaribu kumtuma aende kwa baba yk kama anaweza kumgharamia matibabu, binti ameniambia kuwa baba yake hana uwezo. Je nikitoa...
If you ask the rich about the biggest problem created from their wealth, they will usually say their kids.
Qtn;
Do you think its fair for rich parents to criticize their kids for being spoiled...
wadau wa jf napenda kujuwa je ni kipi hasa kinachowapagawisha wanaume hasa wa kibongo wamwangaliapo mwanamke je ni makalio,matiti,shape,rangi ya mwili,kimo,tabia,nawasilisha
Kwa muda mrefu sana, wapendwa wetu akina dada wamekuwa wakibanwa na utamaduni wa asili kwa kusubiri kuimbishwa na wakaka. Najaribu kufikiria kuwa, hata kama wao wamempenda mkaka ni ngumu kutamka...
hivi wadau naomba kufahamishwa kati ya mke wa kukaa nyumban na mke wa kufanya kazi(i mean kiofc zaid) yupi ni bora?mimi binafs napenda niwe na mke ambaye anafanya kazi tunasaidiana majukumu,sas...
WAUMINI wa Kanisa Katoliki Jimbo la Mpanda waliofunga ndoa kanisani wametakiwa kuvaa pete zao za ndoa muda wote, ili kuendeleza kiapo cha Agano Takatifu la Ndoa, la sivyo hawataruhusiwa kupokea...
Kumbe wanaume tunajipaga moyo kweli kwamba tumetongoza na kukubaliwa; na wakati mwingine tunaamini kabisa kuwa sisi ndio tumemchagua mwanamke! Kumbe ukweli ni kuwa wanawake ndio wanatuchagua sisi...
Wakati tukiwa bado tunashangaa watu kugeuza neti
za kujikinga na mbu kugeuzwa nyenzo za kuvulia samaki
kwa madai kuwa heri mtoto ang'atwe na mbu lakini
ashibe, huko kahama mkoani shinyanga...
kuna dada ambaye nimetokea kmpenda sana anaishi bali nami kidogo,niliweza kupata namba yasimu tukawa tunawasiliana vizuri na japo mi namfahamu ye2 alikuwa hanijui nimeweza kufunga safari na kufika...
Kipindi cha nyuma, watu waliaanza kuvaa vikuku au cheni za mguuni; watu walihushisha na vitendo vya kufanya mapenzi tofauti na utaratibu.Pamoja na hayo, watu wengine walihusisha vitendo hivyo na...
Kuna rafiki yangu wa karibu sana, mke wake hv majuz aliamua kumwachia mtoto wa miez 8 na kusafiri kuja Dar kwa madai ya kuja kumwona mamdogo wake, lakin hakufika hata kwa mamdogo badala yake...