nauliza kwasababu mm mwenyewe nmeulizwa ila nmeona niwashilikishe na wana jf wenzangu,naomba michango yenu,kama haujaelewa ni ipo ivi,mfno ww mpz wako anakwambia kila anachokifanya may be amenunua...
Kuna kesi moja iliwahi kuripotiwa nchini Marekani, Novemba 1996, inayomhusu mama mmoja aliyeshitakiwa kosa la uzembe na utesaji wa mtoto wake wa kike aliyekuwa na umri wa miaka 13, aliyefariki...
Kila mwanamke ameumbwa na hulka ya kuamini kuwa ana sifa ya uzuri. Hivyo basi wanawake tunaamini kwamba uzuri huo unaonenaka kwa nje kupitia mivuto.
Mivuto hiyo huwavuta wanaume wengine...
Mamboz! Naombeni ushauri juu ya hili……. Juma na Asha ni wapenzi, Juma anafanya kazi Mkoani Dodoma, Asha anafanya kazi Mkoani Tanga. Sasa kuna rafiki yake ya Asha anatarajia kufunga...
Inbox ya Mwanamke ina meseji nyingi za namna hii...
I love u (Dany) ...........
Hi babe.....
(smjui)MPESA BKX556 CONFIRMED YOU HAVE RECEIVED SH.80,500 FROM MIKE JOHN
can I take u out...
Wana JF nimeona nisikae kimya bila kuwajuza wema wa Mungu kwangu.
Najua wengine mtakuwa mmevaa kijani/njano kusherekea "chama chetu cha mapinduziiii chajenga nchi" (itikia ni wimbo) huku wengine...
Wale washauri nasaha, na wanasaikolojia wanaotoa huduma ya ushauri katika kituo cha MARINATHA mjini morogoro wameamua sasa kufungua chuo maalumu kwa ajili ya kufundisha mambo ya mapenzi kwa vijana...
Nampenda msichana ambaye tayari ameumizwa katika mahusiano mara mbili,one of which he loved the guy so much. Tumekuwa pamoja kwa takriban mwezi+ sasa na muda mwingine anakuwa too much mnyonge...
Wanajamii ni hivi juzi nilibahatika kuongea na mtaalam mmoja.Tukiwa katika mazungumuzo tuligusia matumizi ya dawa za kuongeza nguvu.Alinihakikishia kuwa dawa za kununua za kuongezea nguvu zina...
Mambo Vipi Wakuu?mwenzenu kuna mdada naishi nae kanizidi kama miaka 7 tatizo lake kubwa ana wivu kinoma na kutokana na wivu wake hataki hata nifanye kazi amefungua ofisi maeneo ya magomeni na...
Umekaa na mpenzi wako sebuleni mmepumzika usiku...gafla unamuona anachart na hauna tym naye kwa anachokifanya gafla unasikia mlio wa msg kwenye simu yako,Unafungua msg na kusoma unakuta imetoka...
habarini wana jf, shepu yangu inanikatisha tamaa kwani kila mwanaume anayeniapproach ukichunguza sana unakuta hana upendo wadhati bali alitamani shepu yangu tu ,na ninagundua kuwa ananitamani pale...
Jf imekua msaada mkubwa sana kwangu, nimebahatika kuwasiliana na watu wengi na wengine kufikia kuanzisha uhusiano ila nasikitika mara nyingi dini imekuwa kikwazo..kwani ahiwezekani watu wenye dini...
Wanaume wengi wafujaji au watesaji wa wake zao hujitahidi sana kumtenganisha mke na ndugu zake. Wanapofanikiwa kuwatenganisha, wanaume hao huwa wamejitengenezea wigo mpana zaidi wa kuwadhibiti...
Ni mchakato kabambe wa jinsi ya kumvutia mtoto wa kike hususani ukizingatia umuhimu wao katika kukamilisha furaha yetu ,wengi wameishi kutafuta wana wake wepesi kuwamaliza au vicheche , japo...
Wakati mwingine mtu anaweza kufanya mambo ya kukuumiza moyo na sio kwamba anafanya makusudi bali ni kujisahau kutokana na mapungufu yake ya kibinadamu
Unajua katika mapenzi unaweza ukaishi na mtu...
Baada ya kupata ujauzito alihangaika kujua 'sex' ya mtoto kama akiwa wa kiume basi afunge uzazi maana tayari alishakuwa na mtoto wa kike. Baada ya kufanya vipimo vya ultr-sound, akaambiwa mtoto...
Wakuu,me cjui huwa nina tatzo gani,yan kila nikiwa naongea na msichana ambae nampenda kwa dhati huwa nakua speechless kabisa,naweza nka mcall kwenye simu afu ncmwambie kitu chochote cha maana,hadi...