Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Hellow MMU members, nawasalimu kila mtu kwa imani yake! Ni mara chache mno watu huwa wanakuwa wazi esp ktk maswala yao ya kweli kwenye maisha! Nikezungumzia suala la mapenzi mm kwa namna moja...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
HP, tunafwatilia movie yako kwa makini sana, episode 3 iko wapi? Unatunyima burudani weekend hii.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
kwenu waungwana! Kwan iwe hiyo sehem inawavutia wanaume wengi? Inawakilisha vitu gani?
0 Reactions
129 Replies
16K Views
Girl Friend wangu kanimwaga kisa nilichelewa siku ya father Valentine. Nilimpigia saa 3 usiku. Hakupokea baadae siku ya pili akaniambia yeye na mimi basi. Kwasababu sikumpigia simu mchana mzima...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
WANA JF, kwa nini wanawake hawa wa mjini huwa wanajikiria wao tu, kuna mifano kadhaa kwa msichana wa kaka yangu, amemnunulkia zawadi mbalimbali ili aonekane wa kisasa. cha ajabu msichana huwa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Sijui ni nin kilitokea bt akaunt yangu ilifungwa kwa muda wa siku 90 kufuatia moja ya mchango wangu jukwaa la siasa, nakumbuka REJAO ndio chanzo cha yote. Katika kipindi chote hicho sikuwezajua...
1 Reactions
69 Replies
4K Views
jamani wapendwa niliwamiss sana .nashukuru kwa wale waliokuwa wamenimiss na kunitakia heri na fanaka. wiki tatu hizi nitazitumia kupitia thread zilizopita ili niji update
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Kuna kademu kamoja mimi napiga ila najua nako huwa kanapiga kazi zake za nje na ushahidi ninao. Ila mimi sitaki kukaacha mazima nataka niwe on and off yaani sitaki kubeba bendera. Shida kenyewe...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Ni katika kipindi cha MIKASA YA MAISHA NA RADIO FIVE siku ya alhamisi tarehe 16 febr.2012 ambapo palijadiliwa mkasa wa binti mmoja mkazi wa Moshi(alitambulishwa kwa jina la Yasinta) ambaye...
0 Reactions
23 Replies
24K Views
the end of the world iz coming
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Aliwahi nikubalia na tukaachaana miezi michache baadaye(2008), nilimpotezea japo japo alikuwa akirudi kwa kuvizia(mawasil iaono ya nadra), niliamua kusonga mbele kwan hakuonesha kunihitaji kwa...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
wana MMU naomba mnijuze sijui nnaweza kuwa na tatizo gani kwani nna umri wa miaka 40 na katika umri wote huu sijawahi kupenda
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Wengi umekutana nao na wengi utakutana nao lakini ni vigezo vipi hukuongoza kukiri ya kuwaYes (s)he is the right one for you? 1) Uchangamfu wake kwako? 2) kauli yake kwake? 3) utii wa matakwa...
4 Reactions
85 Replies
5K Views
Katika hili, ninyi mna yapi mnayoyafahamu? Karibuni!
0 Reactions
9 Replies
2K Views
habarini. nina mchumba wa mda mrefu zaidi ya miaka saba ,wazazi wangu wanapenda wajukuu, na mimi nimezaliwa mwenyewe, na ndio ninatakiwa niwaletee wazazi wangu mjukuu nifanyeje? wakati mchumba...
0 Reactions
47 Replies
4K Views
If you won't cheat to ur girl or to ur boy,he or she will love you forever,but if you do so,expect the worse. kulalamika mara nimeachwa,mara hanipendi,mara hajibu message,kanizimia simu..kaniacha...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari zenu wana jf,naomba kujuzwa unapolea mtoto wa mwanamme mawasiliano ya maendeleo ya huyu mtoto yawe yanapitia kwa huyu mama wa kambo au wawasiliane wenyewe?
0 Reactions
6 Replies
1K Views
nilipovunja ungo sikupata mtu wa kunielekeza chochote kuhusu mabadiliko ktk mwili wangu nilikuwa la sita. mojawapo ya jambo lililokuwa ninanishangaza ni pubic hair.sasa zikakua na kukua sikujua...
19 Reactions
189 Replies
16K Views
Moyo wake unamfahamisha ya kuwa hapo ndipo roho yake inapodundia lakini historia ya kijana ambaye anamfuatafuata kwa udi na uvumba ndiyo inamtia khofu............................. Kijana ana...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
@arusha, baba mngoni, mama mchagga ...unafki sitaki tuwe wakweli...HIVI KUNA MAPENZI NDANI YA UMASKINI?? nimepata kazi mpya mshahara ingalao unakidhi kimtindo, cheo kimebadilika nahisi ni wakati...
7 Reactions
101 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…