Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

ni muda wa miezi mitatu toka nijuane na huyu mwanamke lkn nahisi si chaguo langu, kila nikijitahidi kuachana nae nashindwa najikuta narudiana nae.
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Mwanangu kakataa kwenda shule jana nikamuuliza tatizo ni nini... Mwanangu :Baba leo ni Sikukuuu Mimi: Sikukuuu, Sikukuuu gani Mwanangu: Si ile ya wanapendanao... Mimi: Kwahiyo ndiyo huendi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu nimekutana na binti kutoka huko pande za obama anavolunter hapa Tz,tukawa marafiki kwelikweli na tumefanya mambo mengi sana , ila nimekuwa nikimwomba "mzigo"amekataa kabisa ananiambia...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Kama ww ni mdada mwenye umri wa miaka 20-28, usi2mie kilevi chochote tafadhal nitafute kupitia no;0657129711
0 Reactions
1 Replies
1K Views
"Najua sisi ni marafiki kwa muda mrefu sasa, unaweza ukafahamu kwa ufupi historia yangu ktk suala zima la uhusiano/mapenzi . Samahani kama nitakuwa nimekukwaza, NAOMBA NITAFUTIE MCHUMBA WA KUNIOA...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Written by: Becky Morales 2-14-2012 and inspired by God My heart goes out to all who are suffering broken marriages, who are losing hope and trying so hard to hold on, but see it hard to hold...
0 Reactions
1 Replies
748 Views
Kuna mtu kanitumia hii maneno, nami nimeona niwaulize wanajf kama kuna ukweli hasa hapo hii stonger gender ilipoongelewa. Julijadili hili jamani TWO DIFFICULT THINGS TO ACHIEVE: 1. To plant...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
My Dear Darlin, Tomorrow is a very special day for some people and I know you are one of them, although to me is a very normal day like any other despite the fact that it carries the whole love...
4 Reactions
51 Replies
3K Views
natafuta penzi la kweli na la dhati, silipati duh! hadi nimechoka mie. sasa basi ni bora kushukuru Mungu ndio majaliwa yangu.:embarassed2::shock:
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Yananichanganya sana haya maneno hasa juu ya tofauti iliyopo kati yake. Naomba tu mniaeleze ili nami nijue tofauti yake. Maneno yenyewe ni haya: Umalaya, uasherati, uzinzi na ukahaba. Nini...
1 Reactions
10 Replies
7K Views
Kuna jamaa yangu hapa anahuzunika sana,ana ma gals wengi tu,wamejitahidi sana kumtumia kadi za valentine,zawadi,sms kwa wingi.Anacholalamika ni kwamba,yule anae mpenda,hajajisumbua hata kufanya...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Usiku WA jana,rafiki yangu ambaye ameoa hivi karibuniamenihadithia kituko cha kimahusiano.Ilikuwa hivi: jamaa alikuwa na mkewewakiangalia taarifa ya habari TBC1.Sasa mkewe akawa anatuma ujumbe...
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Kama unatafuta viumba kwenye nyumba za kulala wageni vimejaa Dsm yote. Hivyo jeshi limeweka mahema uwanja wa taifa.
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Better Sex Starts Here If you want to turn up the heat in the bedroom, it can be as simple as lacing up your sneaks. After all, staying in shape doesn’t just help you look good—it can enhance...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Tangu jana saa moja usiku, kila navyoruka hewani simu yake iko bize, bahada ya muda ikawa haipatikani kabisaa, nikituma sms "not sent", saa kumi usiku huu nampata hewani! ananikatia cm! Jamani...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Babari zenu waungwana, Kwamasitiko makubwa sana naandika haya,mimi ni mama wa watoto 2 tumeishi na mumewangu kwa dhiki kiasi ambacho hata hela ya kodi nalipa Mimi na haikunikera nilijua kua ipo...
0 Reactions
40 Replies
7K Views
Rafiki yako anakutumia meseji kukusallimu, halafu mwisho anamalizia na msalimie mkeo! anaweka na alama za kushangaa tatu (!!!), maana yake nini aiseee? Au nishaibiwa? ---- Message hii imetumwa na...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wana JF, kusisitizia hoja alietoa Ndugu Mutabuzi yesterday kuhusu ndoa na mahusiano ya sasa, Naomba kila mmoja mwenye ndoa and partner humu ajaribu zoezi la kubadilishana simu (Mobile Phones) na...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Imeshauriwa wawili manaopendana mke na mume,Wachumba badilishaneni simu za mkononi kwa masaa angalau sita siku ya Valentine ili kuonyesha uaminifu na upendo wa dhati,mpe mpenzi wako simu yako...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari za leo ndugu wana jf,jana jioni nilivyorudi nyumbani toka kazini,nikiwa chumbani kwangu nikawasikia majirani wakijadiliana suala la ugomvi wa mpangaji mmoja kuwa waligombana na mumewe kisa...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…