Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

jamani kwanza ninawatakia valentine njema wale woote ambao mapenzi yao hayana matatizo wala migogoro.. pili ninaomba msaada kwa hili jamani.. i hav a girl who used to love me so much.. na siku...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Leo ni siku inayoitwa Valentine Day. Wengi wetu tunafahamu historia ya kidini ya siku hii. Sitaki nizungumzie hilo. Maoni yangu ni namna siku za hivi karibuni siku inavyopotoshwa kabisa. Leo...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Nilipo maliza kidato cha sita nilienda kuishi katika kijiji cha usangi,ambacho kipo wilayani mwanga mkoa wa kilimanjaro,nilikutan na mwanadada mmoja aliyeitwa neema.Ambaye nilifanikiwa kuanzisha...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimesoma sana posts za MMU na nimegundua kitu: wanaume wengi wanaamini kuna wife material na girlfriend material. Wife material ni mpole, mtiifu, ana background nzuri, ni msomi kiasi, future...
17 Reactions
129 Replies
9K Views
migogoro mingi ya maisha ipo kila kukicha, mafarakano mengi ndani ya mahusianoi yapo kila dakika. lakini hiyo bado haituzii kupenda, kutunzana namengineo mengi. kuna mambo mengi yanayotufanya...
22 Reactions
64 Replies
5K Views
I wish you all the best katika siku hii.
1 Reactions
25 Replies
3K Views
wana mmu, First of all happy valentine's to you all. Baada ya salamu nauliza hivii, hivi inakuaje kwa wanaume kama mpenzi wako amekuzidi umri? Na kwa wanawake unajiskiaje kama umemzidi mpenzio...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Wadau toka asubuhi najaribu kutafuta sms nzuri nitakayo mtumia laazizi wangu yupo mbali nami masomoni Mwanza Naombeni nisaidieni kwa kuweka sms mbali mbali za valentine so i can pick one, iwe ya...
0 Reactions
19 Replies
6K Views
Nampa Valentine yenye upendo wa dhati - yule mama kayai wangu!!; kwa sababu anajua ID' yangu namdedicatiaa hii ngoma kali imfikie hapo hapo alipo. Yaani nipo ki-REAL LOVE zaidi - Micing u my...
0 Reactions
0 Replies
781 Views
Yaani sijui watu hawazisomagi vizuri au hawajui maana yake???!!! Namshangaa kweli, katumiwa msg ya u-valentine na jibaba lake usiku wa kuamkia leo halafu anai-fowadi kwangu saa hizi saa tatu na...
0 Reactions
81 Replies
17K Views
It is Valentine’s Day? So what, you might be thinking. But according to a Synovate report, 65 per cent of Ugandans fully intend to celebrate love this Tuesday. It takes two, and this survey...
0 Reactions
0 Replies
843 Views
An email to a bride-to-be from her future mother-in-law has gone viral on the internet. Heidi Withers was sent a list of rules by Carolyn Bourne, the stepmother of her fiance Freddie Bourne, after...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Naomba ushauri ktk makabila haya,,chagaz,nyakyusa,waha en wahaya nmeambiwa nisithubutu kuoa btn them coz all of them are the money oriented,my family warned me although they are btful na wanajua...
2 Reactions
54 Replies
4K Views
Time is too slow for those who wait, too swift for those who fear, too long for those who grieve, too short for those who rejoice, but for those who love, time is eternity Happy valentine day
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Wiki iliyopita, Ijumaa February 10 mwanangu wa kwanza, Benedikt Fulbright Makulilo alitimiza mwaka mmoja. Binafsi niliona kuachilia vitu kama keki na zawadi nyinginezo ndogondogo ambazo ni ngumu...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Wengi leo wanaamini wanasherehekea siku ya wapendanao kwa kuonyesha upendo kwa wenzi wao kwa kufanya hili na lile mradi tu ionekane kwamba anapenda / kumpenda. lakini hebu tuongee na mioyo yetu...
0 Reactions
0 Replies
882 Views
Kajamaa kamemzia mtu mzima umri kama wa mama yake. kusema kweli kazi haziendi kila siku kakidai hakajiwezi kwa mama huyo mpaka kanaharibu kazi ofisini. Washauri wengi wamekaambia kuwa, huwa sio...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Wivu mwengine hatari
0 Reactions
14 Replies
2K Views
WanaJF mambo vip? Jamani mwenenu nimetumiwa sms na mpenzi wangu wa zamani tuliyekuwa tumeachana naye kwa kipindi kilefu ananiambia eti anataka kuwa nami kesho ili tuisherehekee sikuku ya valentine...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…