Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Nawatakia usiku mwema ninyi wooooote mlio wah kutendwa katika mahusiano, laleni tu mkiwaza mambo yenu maana hao walowatenda saiv wanavuta shuka tu wala hawawazi ninyi. Usiku mwema to all JF...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Habari zenu wakubwa. Kuna jamaa yangu amekuwa akiishi na binti mwanafunzi wa kidato cha kwanza tangu mwaka jana agost sasa baada ya wazazi wake kugundua kuwa hajatulia,wakamwambia kuwa hawana...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Wana JF, ndio naingia ofisini nikitokea site, mezani nimekutana na kadi ya mwaliko wa harusi kutoka kwa Bujibuji. Congratulations
2 Reactions
66 Replies
5K Views
Ndugu wana jf,kuna rafiki yangu ni mwanaume ana mchumba wake na ameisha mtambulisha kwao na wazazi wa pande zote wanajua uchumba wao,jamaa na mchumba wake wote ni walokole na wamekubaliana wasi do...
1 Reactions
46 Replies
3K Views
Habari ya weekend? Ni matumaini yangu mmekuwa na wakati mzuri. Nimetokea kumpenda sana kijana mmoja lakini ninaona vigumu kumwambia. Yeye anazidi kunipa wakati mgumu pale ambapo yeye haoneshi...
0 Reactions
45 Replies
4K Views
Kuna Binti mmoja kutokana na uzuri wake ililazimika abaki kwenye kumbu kumbu zangu tangu mara ya kwanza tukutane Dukani Jirani na Maskani yangu. Baada ya nazani nilifanikiwa kumuona mara ya pili...
8 Reactions
90 Replies
8K Views
Wapendwa, Ebu soma kiunganishi hapo jini mjionee huma rights abuse in Africa (mimi nasema hivyo-sijui wewe unasemaje) Kerry Kennedy: Ugandan Parliament Acts to Legalize Hate Against the LGBTI...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana MMU, naanzisha hii thread with tears almost dropping off my eyes. Its all about my first love, its long since we talked to each other, our relationship wasn't possible 4 years ago because of...
3 Reactions
89 Replies
5K Views
Ivi,let say kwamba una wapenzi wawili ambao hawajuani,then siku ya siku wote wanakuomba ukutane nao muda mmoja katka sehemu moja.utafanyaje?
0 Reactions
44 Replies
4K Views
Kwa nini mtu mnakuwa pamoja kila siku, mnazungumza mambo mengi tu, lakini anapotaka kuanzisha uhusiano wa kimapenzi anakuandikia kadi au sms. Kwa nini watu wanashindwa kuongea live!?
0 Reactions
64 Replies
7K Views
Jinsi ya Ku-Cheat Bila Kushikwa Tahadhari: Haishauriwi Kucheat kwa kuwa kuna madhara makubwa na ni dhambi kubwa. Hata hivyo information hizi ni zile ambazo zinatumiwa na Professional Cheaters...
0 Reactions
86 Replies
14K Views
Wakuu,kuna shori flani nlimit nae pande za feisibuku,sa katka zle chattngs za mara kwa mara,nkajikuta nimemlamba sound nae bila kuzuga nin akawa dezain flan ka kaingia line,wel kaniambia jana...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Jana katika maeneo ya mivinjeni,mwendesha pikipiki mmoja ameibiwa pikipiki na demu!!picha yenyewe ilikuwa hivi. Huyo demu alishakuwa na mazoea na huyo dreva wa bodaboda yapata wiki 2 hivi. Na...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Hebu ianze jumapili yako kwa tafakari hii ya kuvunja mbavu.
0 Reactions
11 Replies
3K Views
ni mnunulie nini mpenzi wangu kama zawadi ya valentine day?
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Aisee sisi wanaume kwa kweli ni kwele, kama hili limemfukuzia demu zaidi ya miezi miwili, limehonga weee mpaka simu ya bei mbaya limenunua. Leo limenyimwa mambo lipo ooooh kwanza demu mwenyewe...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Natanguliza shukrani zangu kwa mwenyezi mungu kwa kila jambo alilolitenda kwangu.lakini nitakuwa mkosefu wa fadhila kama sitowashukuru kaka na dada zangu wa hapa jf kwa ushauri walioutoa nilipotoa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
TANGAZO, TANGAZO, TANGAZO Hii nI huduma ya kipekee, itapatikana kipindi hiki cha valentine, wale wote mtakaokuwa busy kwa shopping, kazi na mengineyo mnaweza kuwaacha wanaume/wachumba/ boyfriend...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ilikuwa mwezi uliopita nikitoka tabora na ndege inayo pita dar kwanza kisha mwanza ndo inakuja dar ,mwanza inakaa 3 hrs yakufaulishiwa,ghafula nikakutana na demu ambaye kuna rafiki yangu...
2 Reactions
121 Replies
18K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…