Jamani my love aliondoka bila kuniaga akarudi na kunieleza sababu za kuto aga na kuapolojaiz na kunieleza taka nyingi but nikamuelewa, mapenzi yakawa moto mara 3 nikasafiri na yeye akasafiri...
Ni demu wa mshikaji, mbaya zaidi anatembea na jamaa mwingine and kamtambulisha huyo jamaa mwingine kwa mpenz wake, and hao wanaume wamekuwa marafiki bila kujijua wanatembea na demu mmoja, sasa...
Habari wakubwa wenzangu wa jukwaa hili,,,natumai tu wazima wote wa afya njema..
nakuja katika jukwaa hili nikitumaini kupata msaada na ushauri kutoka kwenu mana najua kuna watu wengi humu na...
Jamani uplayer mmbaya. Nishaplay sana na i had no pain to any woman hata anifanyeje. But sasa kuna mdada huyo duh! Tukikwaza tu kidogo ka moyo kananiuma. Yaani nampenda mwanzo mwisho ile sijawah...
Kwa wale ndugu zangu mnaopenda kutembelea mitandao tofauti kuna huu mtandao unaitwa marafiki.com ambao host wake yupo senegal ila asilimia 100 unatumiwa na watanzania ambapo katika mtandaoo huu...
Habari zenu wana JF
Siku zote jambo hili limekuwa likinipa maswali mengi, pale niwaonapo dada zangu unakuta amechanjwa chale nyingi mwilini hasahasa wengi nakutana nao kwenye daladala, nimekuwa...
Kwa mnaokumbuka kile kisa cha mwanamke alotaka kumuua mumewe kwa kumuwekea sumu ktk chakula leoo familia imeyamaliza ktk kikao kilichomalizika robo saa iliyopita.
Kifupi ilikubaliwa na mwanamke...
niaje wakuu,kuna kitu nimekumbukaaa ningependa to share ideas,do u remember you first kiss....achana na lilee la kwanza kabisaa kwa mamaa alie kuzaa,la kimahaba zaidi,mi nakumbukaa my first kiss...
Jamani salama,
Kwasisi ambao tumeoa/kuolewa sometimes zile vurugu match za nyumbani kweli unahitaji mbadala ili kidogooooooooooo kushusha ka pressure kako.
JE kwa wanaume mbadala ni kutafuta...
Florence Majani
UTAFTI mpya umebaini kuwa nusu ya wanaume nchini ni wagumba ukipingana madai ya wengi kuwa tatizo hilo linawaathiri zaidi wanawake.Kwa mujibu wa utafiti huo, uliofanywa na Chuo...
Sometime inakua ngumu sana kumwambia mtu afanye nini ili apendeze
Haswa pale anapokua kajiremba na kwa mtazamo wake yuko "smart"
japokua kwa mtazamo wa wengi sio.
Hivi unaweza vipi kujiweka smart...
asalaam wanajamvi.
Jamani nilianza mahusiano mwezi wa tisa na mkaka mmoja ambae tulifahamiana toka 2008, alionekana ni mkaka mpole na anaejali mpk nikaamua kujitosa kwake kama mpenzi wangu. B4...
naishukuru sana jf na zaidi zaidi jukwaa hili. Nashukuru sababu jf imenisidia kupata mke na tunatarajia kupata tunda letu la ndoa hivi kalibuni. Sasa kwa kutoa shukrani na kumbukumbu ya kumpa jina...
Inafahamika kuwa linapokuja suala la uimara na ubovu wa ndoa,kufu au kudumu kwa ndoa wanawake mara nyingi ndo wanakua na nguvu sana,sisi wanaume hapa hatuna ubavu.Hivyo basi mwanamke akiwa...
Dear Miss Judith,
Nimesukumwa na upendo mwingi wa dhati uliojaa furaha kukuandikia waraka huu mfupi kukupongeza na kukutakia heri ktk maisha yako mapya ya ndoa unayokaribia kuyaanza hivi...
Ninapoona jinsi wakina dada zetu walivyogundua jinsi ya kutuondoa stress za ugumu wa uchumi kwa kuyabana na kuachia nje machakula yaa watoto. duh mwenzenu huwa napenda sana na nikikutana na mdada...