Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Samehe mara saba sabini aijalishi mmetukana mmeishi miaka mingapi kwa style ya mgongo wa nne rekebisha sasa badilika sasa rudi kwenye mke wako wa ndoa..tunza familia yako ukuzaa mwenyewe jali...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Hello everyone! Ninatafuta a guy friend not a "boy friend" but a guy friend ambaye atakuwa rafiki wa karibu bila mapenzi or sex attachment.
2 Reactions
52 Replies
3K Views
Kwenye maisha kuna kupata na kukosa pale tunapotaka, tunapohitaji, au tunapoomba kitu. Muhimu ni kukubaliana na hali halisi. Linapokuja swala la mahusiano ni jambo la kawaida kijana/mwanaume...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Nawasalimu wadau wote wa MMU. Namuuguza mama yangu mzazi sasa yapata wiki ya pili baada ya kumfanyia vipimo vya xray pale Hindu mandal majibu yameonesha kwamba anasumbuliwa na tatizo la moyo kuwa...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Ukweli ni kwamba hata Polisi walipofika katika eneo la tukio waliamini kwamba yule mama alikuwa ameuawa na majambazi. Kwani wakati mauaji yale yanafanyika mume wa yule mama alikuwa baa ya jirani...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu zanguni najua wengi wanahaingaika na hii sekta labda tukumbushane ukweli ni muhimu kujua uzinzi ni ngumu sana kuushinda lazima ujue src ya uzinzi na uushinde ..uwezi kushinda uzinzi wakati...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari za nyakati hizi wanajamvi! Nimeona niseme machache kwa wanaume wezangu. Pengine yalishasemwa, basi ni kukumbushana tuu! 1. Mpende Mkeo wakati wa ujauzito! Ulimpenda. Ukamwoa. Ukamwita...
7 Reactions
34 Replies
3K Views
Habari wajameni. Nina dadangu kaolewa na wana watoto 2, mumewe yuko kamili tu, I mean viungo vyake havina tatizo. Shule kasoma, sio sana lakini kutokusoma sio sababu ya haya afanyayo. Kila siku...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Dears I hope wote mu wazima and had a nice weekend. Kidogo nimechanganyikiwa hapa na ninahitaji msaada wenu bandugu...... ... Currently ninasoma hiki kitabu "Men are from Space, Women Must be...
1 Reactions
132 Replies
7K Views
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Dear mother,sweet mother please fight for me Dear friends mama yangu anaumwa saaaaaana please muombeeni.
13 Reactions
74 Replies
9K Views
WanaJF, huwa kuna taarifa kwamba mme anaweza kutega dawa kwa mkewe ili mwanaume yeyote atakayetaka kufanya naye mapenzi nyeti zake zipotee kabla hajamwingilia mwanamke, au mwingine anaweza...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Yawezekana ni kweli kwa uhalisia lakini hii nimesikia kwenye kipindi cha ndoa nkaona nikuunganishe na wewe tupeane ukweli je ni kweli wanawake wengi wanatyukamata wanaume sababu wanaamini wanaume...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hi friends on line?
0 Reactions
3 Replies
638 Views
Umezaliwa mtoto wakike Baba yako kakuona unafanana na mamayake anaamua kukupa jina la Mamake!!umekuwa umepata mchumba mnataka kuoana madhebu yenu yanatofatuana!Mchumba anakwambia badili dini uwe...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Wakuu natafuta nyumba ndogo, yenye mvuto Sifa: 1. Iwe tayari kutunza siri SANA SANA 2. Iwe tayari kuhamwa ikipata mpangaji wa kudumu, mimi nitakuwa tayari kuhama kwa hiari 3. Iwe na mapenzi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kama Mzazi unaona picha ya mtoto wako kwenye Magazeti ya udaku! Utafanyaje?
0 Reactions
63 Replies
5K Views
HABARI ZA JIONI NDUGU ZANGU? Wale walioguswa na mgomo wa madaktari poleni sana. jamani hivi mnapokuwa chumbani na mke/mume wako na mnataka mfanya mambo yetu ni nani huwa anaanza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
hivi jaman kwel ukimwi utaisha?mbna dawa za ukimwi wanasema zimegundulika mbna sion wagonjwa wakipona asa
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…