Jibu hayo maswali halafu uangalie nafasi yako hapo ulipo!....Naweza kuorodhesha matamanio ya mafanikio ya mwenzangu kimaisha..YES/NO? Najua mambo anayohofia mwenzi wangu kwa nyakati...
I read this story of Steve HAwkins, the man i admires a lot (ahead of of Chopra to be honest), and at he shares the same sentiments
After reading the story, though it is very brief and doesnt say...
Kuna kipindi nilikua naangalia mdada kamkuta mtu aliyebeba vitu kwa mikono yote miwili anasumbuka kufungua mlango, akafungua alafu akaufunga nyuma yake kana kwamba hakukua na mtu mwingine pale...
Hello my dears in the community,I always fail to differentiate between educated and non educated,so can we share ideas on how somebody behave and appreciate he/she is educated.
Niliachana na GF wangu tangu mwaka 2010.Jana katika pitapita zangu,nikaingie kwenye hotel flan kupata moja mbili,kuangaza kwa mbele zaid nikamuona nae kakaa na marafik zake wa kike wanakula na...
1. It's important to have a woman, who helps at home, who cooks from time to time, cleans up and has a job.
2. It's important to have a woman, who can make you laugh.
3. It's important to have a...
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 29.Nimeolewa na nina mtoto mmoja. Juzi nimegundua kwamba mume wangu anatembea na mmoja wa marafiki zangu. Nilimsindikiza rafiki yangu kumuona shangazi yake...
Tunapo ongelea neno AIBU ndiyo pia ina maana ya HAYA ?
> Ningekwambia lakini nakuonea HAYA.
> Ningekwambia lakini nakuonea AIBU.
Semi hizo mbili ni kitu kilekile ? Au kuna tofauti ?.
>...
Heshima mbele wakuu!!jaman,kwa wale mliopitia vyuo vikuu naomba mnisaidie kwa hili,hvi hzi couple tunazoziona huku vyuon,huwa znaendelea kuwepo baada ya wahusika kugraduate au ni just mbwembwe tu...
Ni kwamba Nancy ( jina halisi kapuni) mmekulia mitaa jirani.
Aidha shule zenu pia zilikua jirani, aidha mkawa na mahusiano kimapenzi ya muda mrefu huku mkipeane lukuki za ahadi mwisho wa siku...
Wana JF hebu nifahamisheni. Mimi nina rafiki yangu wa kike ambaye urafiki wetu ni katika kazi, kushaurianan kusaidiana kwa ukaribu sana, lakini sio mpenzi wangu. Jamaa yangu anakataa ati...
Jamani wadau JF,
Habari za masiku? Nabisha hodi wadau. Nimetafakari kwa muda mrefu yanayojiri JF nikiwa siyo member na leo nimeamua kujiunga nisipitwe na uhondo wa JF
Nimekaa na mchumba wangu tukipiga stori za hapa na pale katika mazungumzo alikusudia kutaja jina langu lakini akataja jina la mwanaume mwengine mwenyewe akajishitukia na kuniomba radhi kwa mtazamo...
Spendezwi na tabia ya kina dada zetu kila. wanapoona kamzimia mvulana na wanadet mkate wanakula. Lakini wakiona hakuna dalili za ndoa WANAJISHIKISHA MIMBA hivi nikwann. Hasa wanapoona kijana ana...
wakuu naomba wikiendi ya leo tutumie kuijadili hili swala
hivi sababu kuu ya watu kujiingiza katika uchangudoa ni nini hasa?
Kipato duni au ni tabia ya mtu?
Kama ni kipato duni je hawa...
Kisa hiki kilinitokea zaidi ya miaka 15 iliyopita.. Ungana nami..
Wakati huo nilikuwa sekondari, mimi na mabinti tulikuwaa damudamu(kuongea, kusoma pamoja,utani nk), ni katika mazoea haya...
Nilikuwa katika one of the largest shopping malls hapa napo ishi na MashaAllah kuna demu mmoja alikuwa mzuri sana ana figure sio la kawaida.
Nikawa namtazama sana , akageuka afu akapiga tabasamu...