Wana jamvi Heri ya Mwaka mpya,
Siku ya tarehe 31 Dec. 2011, nilikuwa mahali fulani kanisani kwa ajili ya maandalizi ya kuuaga mwaka 2011. Mara akanifuata mdada mmoja ambaye tunafahamiana, na kwa...
different transilations of
(.L...V....E) in different years
1970: Love me But do not
touch me.
1980: Touch me, But do not
kiss me.
1990: Kiss me, But do not
do any thing else. 2000: Do...
Jana ilikuwa siku ya kwanza ya kazi baada ya mwaka mpya. Kama kawaida wakati wa tea time and hata lunch, colleague hawaachi kulete story za hapa na pale. Basi likaja swala moja ambalo lilileta...
Kila story
ukisimulia eti "ilimkuta
rafiki yangu", ukitoa mfano
"rafiki yangu", ukiomba
ushauri, unajifanya
unamuombea shost ako,,
ebu kuwen smart na
mjiamini, hivi hakuna
yanayowakuta...
Kuna kabinti hapa mtaa wa jirani, ukikaangalia kwa umri kanaelekea kuwa na umri kati ya miaka15-17 hvi.. kametokea kunizoe sana, ila kituko kalichotoa leo ni babu kubwa aisee.
Mtu mzima nimetoka...
Kama umeshawahi kufunga mbwa au kumchunguza, utagundua kwamba, mbwa dume ana kawaida ya kutoa sauti yenye kuonesha kuumia au kuhuzunika au kuomba hasa anapokutana na mbwa mwingine ambaye anajua...
Huwa najiuliza,nyie wanawake mnadai haki sawa,kuna eneo sijasikia mnalizungumzia liondoke,suala hilo ni kuwa;Mwanamke anapoolewa kwanini anabadili ubini?Hii si inakua kama "Umemilikiwa"?Unakuta...
Hebu fikiria kwamba, umepika chakula kizuri sana na unaamini mumeo mpenzi wako akirudi kutoka kazini na kula chakula hicho atafurahi, hata kama hatakwambia, ‘asante.' Lakini mume huyo...
Habari zenu?
Dada yangu anahitaji ushauri wa haraka kabla hajapata shinikizo la damu.
Dada anahisi shemeji hampi kipaumbele kama yeye anavyo mjali . Kwa kweli dada anampenda sana huyo bwana,
na...
Mambo vip wana-JF. Kheri ya mwaka mpya. Jamani mi sijui ni ushamba wangu ila nasikitika sana wanandoa/wapenzi ku-share vitu kama MISWAKI, TAULO, NGUO ZETU ZILE, kijiko kimoja wakati wa kula. na...
1. The percentage of women who say that they have sex simply to get their boyfriend or husband to help around the house: 84%
2. 30 minutes of sex burns 200 calories, on average. Foreplay...
Nasikitika kuona watu wengi wanachangia maada pasipo kupima uzito wa jambo wala kufanya tathmini yeyote ile na hili ni tatizo kubwa sana kwa sisi watanzania tunapenda kukurupuka sana na kujifanya...
Midume inayo bonda wake zao, ama wachumba zao au magelfrend zao au hata dada zao, ni waoga ile mbaya kupigana na wanaume wenzao.
Midume hiyo mioga ina boost immunity zao za kihisia kwa kupiga...
Kiukweli asilimia kubwa ya ma HR wa maofisini (SIO WOTE) hasa wa kiume wana tabia moja mbaya sana ya kukagua dada zetu hadi kimwili ndio sawa ana shida lakini sio vizuri kuchukua hiyo advantage...
Whether you want to find women to date on an occasional basis or are looking to start a long-term relationship, your success depends on a variety of factors. While every woman is different...
The men that ONLY stuck with one woman (even a high quality woman) were losing genetically to the men that used all of their opportunities and had many more children that survived. Those children...
Wana JF.
Uhusiano wa kimapenzi ndio ambao huzaa ndoa baadae.
Lakini vijana wengi sana wamekuwa hawajui ni sehemu gani sahihi ya kumpata mweza wa kweli.
Hili limekuwa ni swali gumu ambalo...