Nyumba ninayoishi ni apartment ya family mbili, nimeishi nyumba hiyo kwa muda mrefu sasa. Mwezi wa kumi 2011 alihamia mpangaji mwenzangu ktk sehemu iliyokuwa imeachwa wazi na mtu ambaye alihama...
Wadau, wakati nipo chuo nilikutana na mrembo mmoja tukiwa mwaka mmoja lakini vitivo tofauti, tukaanzisha uhusiano wa kimapenzi, tulipomaliza chuo mwaka jana tukawa tumepangwa vituo vya kazi ktk...
‘Wanaume ni kama wanyama kihisia. Hawana huruma, hawajali na ndiyo maana hata kwenye msiba, unakuta wala hawaoneshi huzuni. Kwa kawaida hawajali kabisa, ni kama vile hawakuumbwa na roho.'...
Kumbe inawezekana Waungwana.
Mpaka miaka miwili iliyopita nilikuwa Fataki hasa. Namaanisha niliwabinua kweli kweli wa kila sampuli. Ilikuwa ni kama laana fulani kwani kila nilipomuona wa kike...
Habari za mwaka mpya ndugu zangu!!
Ushauri wenu ni muhimu sana katika hili suala langu. Mimi ni mtumishi wa umma katika ofisi fulani. Hapa ofisini kuna jamaa mmoja(hapa nimuite X) ambaye ni wa...
niliachana na childhood sweetheart nikaja ughaibuni,baada ya maisha kunishinda nimeamua kurudi bongo,nimemtafuta yule mpenzi wa zamani,bado hajaoa na bado ananipenda....tatizo linakuja huku...
Yes = No
No = Yes
Maybe = No I'm sorry
We need = I want
It's your decision = My correct decision
should be obvious by now
Do what you want = You'll pay for this
later...
Habari wanajamvi!
Nina ndugu yangu wa karibu sn amebahatika kupendana na binti wa kichaga. Wapo katika hatua za awali kwenda kupeleka posa huko Marangu kwa wazazi wa huyu dada!
Swali:
Je...
Leo nawaletea utafiti mwingine ambao nilikutana nao kwenye jarida la DRUM la Afrika ya kusini,mi nanukuu walichoandika wale watafiti,ambao ni Siphiwe Joseph na Jack Lutherford.Utafiti huo...
Haya maneno nimeyasikia kwa masikio yangu mwenyewe toka kwa dada mmoja aliyekuwa akienda kwa buzi lake ili hali jamaa yake akiwa anamfuatilia kwa simu. Rafiki yake alipoona shostito wake hana...
KATIKA NDOA NYINGI SIKU HIZI WANAUME WA WANAWAKE WAMEKUWA NA TABIA YA KUTOKA NJE KWA KISINGIZIO CHA KUTORIDHISHWA NA WENZI WAO. SASA KAMA UNAHISI HUWEZI KURIDHISHWA NI BORA UTOKE KWENYE NDOA...
Hata kama huko ibadani wenzio wanakushangaa kwa nini unaenda kusali peke yako, fahamu kuwa suala la imani ni la kibinafsi zaidi na kwenda kwako mbinguni kutategemea na matendo yako.
Kuna mdada...
Ni nini hasa kinasababisha mtu afikirie kuingia kwenye ndoa? je ni kwa ajili ya sababu zifuatazo :-
1. Kutii agizo la Mungu.
2. kuondoa upweke
3. kupata watoto
4. kuogopa maneno ya watu
5. Umri...
Ni mabinti wawili mapacha na jirani zetu. Wazuriiii kwa sura na maumbile hasa yule wa pili.Wa kwanza ni mzungumzaji na mcheshi sana, mwingine ni mkimya na mwenye soni tele.Kisa hiki cha kweli...
Jamani, kisa hiki nimekisikia around saa sita/saba kwenye radio Clouds, kwenye kipindi fulani na kiko hivi ....
Kuna jamaa ana mke na anaishi nyumba ya kupanga mahali fulani. Kumbe ktk nyumba...
Veronica ana miaka 24, anamiliki degree ya Sheria, kwa sasa ni wakili wa kujitegemea katika afisi binafsi.
Vero kitabia ni mpole (very calm) mcheshi kiasi huruma, ana kifua cha kutunza siri...
Nilikuwa nasikiliza taarifa ya habari ITV jana na juzi, nikakutana na habari hii ...
Kuna boat moja ilizama, I think Kenya, juzi; ilikuwa imebeba watu wa kutosha. Ndugu mmoja ambaye alinusurika...
Nawatakieni nyote heri ya mwaka mpya.Mungu akaufanye mwaka huu kuwa mwaka wenu wa kuvuna yote mnayomuomba.
Nikiwa kama mzazi mtarajiwa,nimeona sio mbaya sisi wazazi tukikumbushana au kufunguana...