Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Wanajamvi, Naomba mnijuze kwa wale wenye uzoefu na wale ambao bado hamjafanya maamuzi
0 Reactions
48 Replies
4K Views
Umeingia kwenye Bus una safiri, safari inayochukua zaidi ya masaa 20. Hukuwahi kukata ticket mapema, kondakta anakwambia zimebaki nafasi mbili ambapo unakuta seat ni 2 x 2 (abiria wawiliwawili)...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Nampenda na yeye ananipenda. Kinachoniumiza kuna watu wanaonifahamu wanamfeed mambo yangu ambayo hayamvutii. Kuna wengine wanamtajia wasichana niliowahi kuwa nao. Mwingine alifika mbali zaidi na...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Asilimia kubwa ya wanawake wanawaza kuwa na wanaume wenye fedha nyingi, magari mazuri nakadhalika, je ni wanaume wanangapi walivyo navyo hivyo vitu na je, hao wenye navyo wanakidhi idadi ya...
0 Reactions
105 Replies
11K Views
Girls with fake hair, fake nails, fake eyelashes,fake color skin,fake boobs,fake eyes and fake ass wonder why they can't find a real man???
2 Reactions
41 Replies
3K Views
Jamaa alijikuta akimtongoza mkewe wa ndoa na kuumbuka kwa ukiwembe na tamaa zisizo na mpango maana mkewe ni mzuri na mwenye tabia njema. Kilichotokea ni kuwa jamaa alienda pale chuo cha IFM na...
1 Reactions
31 Replies
5K Views
Hivi hii kweli hii sentensi ya kweli au miye nimefikiria tu.. ?
2 Reactions
43 Replies
4K Views
wana jamvi habari za jioni? nimekuwa na jirani yangu mdada ambaye tumekuwa marafiki sana. ninamheshim mme wake na rafiki zake wengine wa kiume na yy anamfaham mpenzi wangu, lakini roho imeniuma...
0 Reactions
24 Replies
10K Views
Nina mpenzi wangu ambaye nimekuwa nae kwa muda mrefu sasa ingawaje kuna kipindi tulikorofishana na kutowasiliana nae kwa muda, lakini baada ya kuweka mambo yetu sawa na kuanza ukurasa mpya...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mwenye kadhia hii jina kapuni......Anasema....Nakumbuka nilitembelewa na mama mkwe wangu,alikua anafanana sana na mwanae(mke wangu)siku ya fedhea hii nilichelewa kurudi kutoka kazini,nilipofika...
4 Reactions
59 Replies
6K Views
si swala la ukabila wala nini ni swala la ukweli halisi, hawa watu wanapenda hela balaa yani wako tayari kwa lolote ilmradi hela iwe mikononi mwao hasa mkiwa mmeshachumachuma vijimali utaipata au...
1 Reactions
166 Replies
16K Views
hivi ukijikuta umetokea kumpenda demu ambaye ana bf wake lakini naye anakufeel strategy ya dethronement inakuwaje?
0 Reactions
3 Replies
980 Views
Wadau kwa yeyote anayejua hotels za bei nafuu bagamoyo tafadhali nijulisheni, nataka nikamalizie weekend yangu huko, asanteni wadau,
0 Reactions
13 Replies
10K Views
Imebainika sasa kwamba, kuweka kwetu ndita, kukunja uso kwa hasira na kutoridhishwa, hakutokani na kuiga kwetu kwa wazazi au walezi, bali zaidi hutembea katika kizalia (Genes). Watu wa familia...
3 Reactions
21 Replies
4K Views
Habari zenu wanajamvi (MMU)! Napenda kuwatakia kila lililo jema katika sikukuu ya Noel na kuwatakieni nyote baraka za Mungu katika mwaka mpya wa 2012 unaokuja. Naenda kijijini kwa mapumziko...
3 Reactions
2 Replies
8K Views
WanaJF, Napenda kuchukua fursa hii kuwajuza kuwa mwanaJF mwenzetu aitwaye LiverpoolFC amefiwa na mwanae mchanga leo asubuhi muda wa saa tatu na nusu katika hospitali ya Mount Meru iliyo jijini...
9 Reactions
120 Replies
8K Views
Kwa nini unakuta either msichana au mvulana,anaekupenda humpendi,na asiyekupenda,ndo unampenda kwenda mbele.Maana sijielewi..anaenipenda simpendi,yule asiyenipenda ndo nampenda.Hili ni tatizo gani?.
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Ni kweli wapo ambao wamepata watoto kwa bahati mbaya, wengine walijaribu hata kutoa mimba ikashindikana. Ninaowakusudia hapa ni wale ambao wamedhamiria kupata hao watoto. Tena wengine wamethubutu...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Natarajia kudhuru South Carolina kwa siku kuu ya X-mass nitakuwepo kuanzia Ijumaa, so kama kuna member yupo pande hizo ningependa tufahamiane, maana mnapokutana wote toka sehemu moja ina leta furaha.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Yaani nimeumizwa sna na kesho nina pepa sijui itakuwaje jamani naomben tuwe na kiasi
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…