Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Huyu anasema hatarudia tena huu ujinga!,...Anasimulia....Walipokua wanaishi baba yake alimwomba jirani amfundishe udereva huyu dogo.....Anasema....Nakumbuka jion siku ya tukio alikua ameenda bar...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Je nikweli masister du hawapendi watu wajue kama wana watoto? kwani nimelisikia kwenye kituo kimoja cha redio nikaona niweke humu Jf ili masista du na wote mnaowajua masista du mtujuze kama kuna...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Jamani wanajf, member mwenzetu amefiwa na mama yake mdogo na sasa yuko safarini kwenda msibani Moshi. Tumuombee ktk sala zetu afike salama na marehemu apumzike mahali pema peponi, Ameen. Sisi...
1 Reactions
64 Replies
4K Views
Maisha yaliyofanikiwa yana mizizi imara katika Mungu, na yanashamiri kwa utukufu wake. Kupata mwelekeo sahihi, ambao utafanya maisha yako yawe ya faida,ili kufanikisha maisha haya yatupasa kuwa na...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu mabibi! Nipo kwenye harakati za kutafuta mwanamke wa kuishi naye hapa Tanzania: Sifa za mke ninaye mtafuta ni kama ifuatavyo; Awe na umri kati ya miaka 25 hadi 32 Asiwe amewahi...
0 Reactions
175 Replies
13K Views
A man is talking to his best friend about married life. "You know," he says, "I really trust my wife, and I think she has always been faithful to me. But there's always that doubt." His friend...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Sex or generosity? Study finds what counts most in marriageGenerosity between spouses is a key element to a happy marriage, a new study says. In essence, generosity is the amount of giving that...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kukata GoGo mbele ya mke wangu. Wife wangu hana shida kabisa anaweza kukata GoGo mbele yangu, Labda mi nipo bafuni au napiga mswaki yeye hana shida anakata GoGo lake mi nampita hapo hata...
3 Reactions
83 Replies
11K Views
Huyu mama ananifanyia visa vingi sana na kwakweli najiskia hasira sn na kisa cha kunifanyia yote hayo ni MIMI KUKATAA KUACHA KAZI NA KUMUACHA MUME WANGU MJINI KWENDA KUKAA NAYE KIJIJINI MACHAME...
2 Reactions
57 Replies
13K Views
Wadau naomba kuuliza kuna kitu kina nitatiza, mimi nina mtoto mchanga wa miezi13 yaani mwaka mmoja na mwezi mmoja, tokea kazaliwa huwa nafanya jambo lolote mbele yake kama vile kubadirisha nguo...
3 Reactions
53 Replies
11K Views
Nimesoma siredi ya Gazeti ikiwauliza kuwa wanawake wanajisikiaje wanapoitwa DEMU.Wengi wameng'aka wakilichukia jina hilo.Kuna majina mengi sana hutumika kuwaelezea au kuwatambulisha,hebu semeni...
0 Reactions
44 Replies
3K Views
guys mi nina mpenzi ambaye tuliachana then tukaludiana,tena kwa kuwaacha wapenzi tuliokua nao.The problem ni kwamba nashangaa sasa ivi mwenzangu hanijali tena.nikimtumia msg ajibu,amekua mkali...
1 Reactions
40 Replies
6K Views
Nimepamiss sana kwetu-moshi,lakin tatzo ni wapangaji wetu ndio wanaofanya nisiwe na mzuka wa kurudi kwetu,chumba changu ninachokitumia kule home kiko uani na kimepakana na vingne vya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
nina utata wana jf..... iv ni vema kuolewa na 1 love wako afu hujui kama unachokipa ndicho icho exactly or anajua mambo kiukwel cz hautataka kutoka nje ya ndoa au bora uonje radha tofaut ujue...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
HI, TO ALL THE SPECIAL PEOPLE IN MY LIFE …… BEFORE YOU GO ON LEAVE, Remember to pray without ceasing because I need you in 2012 & many more years to come. Enjoy the Festive...
5 Reactions
19 Replies
1K Views
Mpwa alienda kulala kinyemela ukweni na lazizi wake bahati mbaya mpwa akoloma sana usiku wkt kalala si akajisahau akaanza kukoloma dah mkwe ikabidi atoke na siraha za jadi na kupiga yowe huku...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kamusi ya “Oxford inatafsiri “Kujiheshimu” kama “mawazo” mazuri kuhusu tabia ya mtu mwenyewe” Iwapo unajiheshimu sana, maana yake ni kwamba unajisikia vizuri.Unajua kwamba unayothamani - mtu...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
A man is talking to his best friend about married life. "You know," he says, "I really trust my wife, and I think she has always been faithful to me. But there's always that doubt." His friend...
0 Reactions
1 Replies
959 Views
Kutokana na tatizo linalowakumba wanaume la kupungukiwa nguvu za kiume nilisikia maoni ya watu mbalimbali kupitia chombo kimojawapo cha habari.Baadhi walisema wanaume waliotahiriwa kijadi(porini...
0 Reactions
33 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…