Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Nimekuwa naangalia majina ya wanawake hasa kwenye maeneo ambayo wanatumia a.k.a mengi yana maneno kama sweet na yale yanayofanana na hayo. mi nikajiuliza maneno mawili matatu, hivi do we measure...
0 Reactions
44 Replies
7K Views
Unakutana na mtu unamfahamu lakini hujamuona siku nyiingi... but unashtuka unamuona amekonda saana amebadilika kiafya.....je kumuuliza ni sawa????? naona watu wengi siku hizi hawapendi kuulizwa...
3 Reactions
62 Replies
5K Views
Wanawake wenzangu vipofu wanaokimbilia wazungu hadi wazee wasio na meno kwa ajili ya kutafuta maisha mazuri, basi nadhani hii stori itawafungua macho. Ntakufa na mwanaume wangu mweusi masikini...
5 Reactions
65 Replies
27K Views
Wanaume nawashauri kujenga tabia ya kutumia asali kila siku aidha kwenye chai au hata kuinywa muda wowote unapojisikia. Inaimarisha uwezo wa tendo la ndoa. Mimi nimekuwa nikitumia asali kwa...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Unakuwa na mpenzi wako,au hata mke/mume lakini unajikuta umeshawishika kuwa na mahusiano nje hii inatokana na nini??haswa?je nikuwa uliyenaye umemuchoka?lugha lahisi hakuna maelezo!!!
1 Reactions
171 Replies
16K Views
Wana JF... Naandika huku nafsi yangu ikiwa na majonzi makubwa. Mke wangu wa ndoa tuna miaka 8 toka tufunge ndoa, tumejaliwa kupata watoto 2 mapacha wa kiume na kike. Lakini taingia mwaka...
0 Reactions
121 Replies
15K Views
Kutoka........ ....mpaka..... Leo kuna mwalimu wetu ametuambia ushauri aliopewa kuhusu ndoa , na nani?Hakutwambia. Neway ushauri wenyewe unasema hivi ''KAMA UNAWEZA KUMWONA HUYO ULIYENAE...
12 Reactions
73 Replies
6K Views
Wanawake wanadai Wanaume wana tamaa na hawapendi... Na ndio kitu cha kwanza wanachojiuliza pindi tu akitongozwa... Kwa wanaume hili imekaa vingne,.. Kwasababu Hatuwezi kupenda bila kutamani...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Baadhi ya mikoa hapa Tanzania wanawacheza unyago watoto wao wa kike. Unyago unamsaidia nini mwanamke katika kutunza familia yake? nasikia watu (wanaume) wakienda, kwa waliopitia elimu hiyo ni...
0 Reactions
21 Replies
16K Views
Baada ya kubrash na kushona viatu kwa muda mrefu(toka jan........),..sasa nataka nipumzike kidogo.Kuanzia week ijayo ntakua dar then mby...Mungu akijaalia mpaka songea My concern:...ningependa...
3 Reactions
47 Replies
4K Views
@arusha,baba mngoni,mama mchaggaAna watoto wengine wameolewa/wameoa wana watoto wapo darasa la tatu, baba bila aibu anaendelea kuzaa yaan maternity ward mdada mama unakuwa pamoja na mama yako tena...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Amani iwe kwenu wana JF, Napenda kuwashikrikisha ili wapendwa ( tulichambue, tuelezana, tufundishana) Katika jamii yetu kila binadamu anahitaji furaha katika maisha yake yote, lakini furaha...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
We are confronted by lies every day --our culture lies to us, advertisers lie to us, we even lie to ourselves. One of the biggest lies people grab onto is the fairytale ending where it reads, "and...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari zenu wananchi wenzangu..ebana leo asubuh nilipokea cmu toka kwa msichana mmoja ambae anasoma chuo flani maarufu kilichopo mitaa ya posta hapa jijin Dsm,mdada alinitaka nionane nae coz ana...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Ilikua ni siku ya Jumamosi tupo harusini na muda husika niuzungumzao ni tulipokua ukumbini, harusi ambayo mmoja ya mdau mwenzangu kazini alikua anaoa. Mimi na mama ya boma yangu (wife) ni...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Mnamo August 12, 1997 majira ya Mchana Katika wilaya ya Lake nchini uingereza kundi la wazamiaji kutoka mji mdogo wa Kendal waliamua kwenda kufanya mazoezi katika mto ulioko jirani wa Caniston...
14 Reactions
87 Replies
10K Views
habari za asubuhi waugwana, siku za nyuma nliwahi kuandika kuhusu msichana flani ninaye mpenda lakini anadai ana mtu na akadai kama nataka tunaweza fanya mapenzi then tupotezeane kabisa. Sasa...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Naanza kwa angalizo kwamba habari hii haikulengwa kwa wanawake wote katika ujumla wao, bali kwa wale maalumu waliojikita ktk tasnia ya kuuza miili yao, iwe kwa kujikimu au kwa tamaa tu ya "pepo la...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Kuna siku nilikua pale DSE kumuulizia Broker mmoja (wakiume) nikaambiwa hayupo,,mara mdada mmoja akadakia kwa kusema,,"afadhali leo hakuja kwani pafyume yake huwa inakera. Leo nimeingia ofisi...
1 Reactions
30 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…