Watu hawaishi kuuliza kama inawezekana kuwa na mtu ambae yuko mbali nae na mahusiano yao yakasurvive.
Jibu ni NDIO, ila kuna mambo ambayo mnatakiwa mzingatie ili mfanikishe mahusiano yenu...
Kwa vile wapo distance relationship jamaa ameambiwa na girlfriend wake kwamba amtafute wa kumpoozea hamu,
halafu na huyo girl yeye pale akiwa na hamu atakuwa na mtu wa kumtuliza hamu,ila malengo...
wana jf, juz nilikuwa jmos naliomba ushauri kuhusu ku-divert zawad kutoka kwa msichana ambae nilikuwa na mpango wa kuwa na mahusiano nae kwenda kwa kifaa kipya ambacho nimekipata hv karibuni. Wana...
Wadau my ex gal wangu cjui ananitafuta uchokozi gani,ananifuatlia sana facebuk,kila nkicomment kwa msichana yeyote lazima aniulze ni nani wangu,ananitagg picha zake bila ruhusa yangu,jana kanitagg...
Unamtambulisha mchumba/mke/mume wako kwa rafiki yako wa jinsia moja na wewe na kubadlilisha mawasiliano na huyo rafiki yako. Mara baada ya muda, rafiki yako anakuwa na mawasiliano mengi kwa...
Kuna watu wanaamini wakiwaambia wapenzi wao maisha ukweli wa maisha yao ya kale basi inaonyesha uaminifu na mwenzi kuridhika. Na wapo wengine wanaamini ni disaster kufanya kitendo kama hicho.
Je...
Soma hapa chini yanayojiri kwenye wadada wanaochangamkia married men. Unaweza kujifunza kitu hapa kuhusu kujiepusha nao!
Dating unavailable man.
By Kiundu Waweru
Few weeks ago, Tony M...
Mwezi huu ni mwezi wa furaha kwani siku chache zijazo tutaanza kusikia kila kona ya miji mbalimbali duniani kote ikitawaliwa na nyimbo na mapambo ya X-Mas na mwaka mpya. Hii inaonyesha ni jinsi...
Habari wanajamvi,
mwenzenu nina mke na mtoto mmoja yapata miaka 6 sasa,
mwanzoni tulipooana mapenzi yalikuwa moto na kila mmoja alienjoy,baadae kidogo nikawa busy na masomo (kujiendeleza...
Muda huu nikiwa nangoja basi ili nirudi nyumbani kutoka kazini mara nikamuona mke wa jirani yangu akija huku akiwa amenuna na kukunja sura.
Alikuwa anatembea kwa mwendo wa kasi kuelekea upande...
du jamani mke wangu nampenda na amesaliti mara kibao lakini kumwacha nimeshindwa mana akiwa mbali nami huwa nakumbuka alivyo sexy roho inauma namrudisha,nifanyeje?
unakuta demu wako anajua kabisa kuwa wewe mpenzi wa mpira na anajua kabisa kuwa wakati unaangalia mechi hutakagi bugudha.
chakushanga anakutumia text oh bby cn we go out oh naomba unifanyie...
Wana jf,i have confirmed myself that nampenda na nipo tayari kuwa naye kimaisha.Huyu msichana nashindwa kumsoma anawaza nn juu yangu,hapo mwanzo niliwahi kumu-approuch ila nilimsoma hakuwa tayari...
jamani mm natokea masomoni.ntafka kwetu ck ya jumatano....najiuliza nimpelekee zawadi gani mpenzi wangu wa kike ambayo ataiona ni nzuri kwake? nishaurini jamani......
Hivi ni kwanini wengi wetu tunabadilika baada ya ndoa hata kama uchumba ulidumu muda mrefu kiasi cha kutosha kujuana vyema!?
mfano; mtu ulimjua kuwa ni mcheshi,muongeaji mzuri tu,mshauri wa...
Wewe ndiwe Adonai, kwa maana wewe ndiwe Mungu mwenye enzi yote, uliye juu ya yaote.
Wewe ndiwe El- Ohinu, kwa maana wewe ndiwe Bwana Mungu wetu, sina kimbilio jingine.
Wewe ndiwe El-Gibor, kwa...