Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

From an "Upcoming novel" SURA YA 1X MIEZI MITATU ILIPITA tangu siku ile niliyokutana na mwanamke wa mwisho siku moja kabla ya kuamua kumpigia simu Erica na kumbembeleza anipe nafasi...
7 Reactions
21 Replies
4K Views
Wajibu na majukumu ya mwanamke ni kama ya mwanamume, na suala lake ni kama la mume yaani suala la haki, ujumbe na marejeo. Isitoshe, mustakbali wa kazi yoyote ni dini kwa njia moja au nyengine...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mwanaume kuhamia kwa hawara wakati wa kutumbua maraha, ukiugua unajikongoja nyumbani kwa mkeo kuuguzwa.Kwani huyo hawara yako hajui kuchemsha supu? Mwanaume kuja home kubadili mavazi na kuacha...
7 Reactions
69 Replies
6K Views
Wapendwa MMU habari zenu nimewamiss mjue? Mimi nashida na shida iko kwa my huby ana mood mbaya plz help haongelesheki kamwe! (msinitukane tafadhali nawaomba)
11 Reactions
225 Replies
15K Views
Nimeona watu wengi sana,kwenye thread hii,wanaongelea kuhusu mawasiliano. Off course ni nguzo muhimu katika mahusiano,ila wengine naona wanachukulia kama mzaha..Mtu anasema anawasiliana na mwenzi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba kujuzwa siku ya send off kama mwanaume muoaji anatakiwa ajpange kwenda na vitu gani kwa maana nasikia huwa kunafaine za hovyo hovyo sana..
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu wa janvi... Kimsingi bado sijapata picha kuhusu mrembo huyu. Kama ni member wa jf nitafurahi kama na yeye ata-coment, naamini nitamsoma tu kulingana na coment yake. Stori nzima...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Sources say that the Hot Girlfriend went to the pool without him and when she got back things got heated up as the dude was really Angry about the issue....... So from the exchange of words...
0 Reactions
73 Replies
6K Views
Abali zenu wanajanvi kuna binti nakaa nae mtaa mmoja nimetokea kumpenda sana nataka awe mchumba wangu kwasababu nimelidhika na tabia zake nimemwambia kuwa nampenda awe mchumba wangu hakunipa jibu...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Upo ndani ya usafiri umekaa seat moja na mdada mrembo.unaamua kuvunja ukimya.cha ajabu wewe unamuongelesha kwa upole mwenyewe anajibu kwa kupayuka hadi abilia wenzenu wanawageukia.unamuomba namba...
1 Reactions
127 Replies
9K Views
Habari zenu wana-MMU? Kuna kitu nataka nifahamu kuhusu hili sijui niite kasumba... Yaani mtu(mwanaume) anawasiliana na demu kwa njia ya simu, demu anatengeneza mazingira ya mwanaume aongee zaidi...
1 Reactions
29 Replies
5K Views
Mwanamake anajua fika kabisa kuna family nyumbani mke na watoto..shida yake sasa amekwisha kutamani ulalale naye hata siku moja,sasa atakapoanza kukuonyesha mapozi mwanzoni..akitoka hapo...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Wanajamii, nahitaji msaada wenu ktk hili. ...umepita mwezi mmoja sasa toka nikutane na binti mrembo toka kabila la Wa-iraq wanaoishi karatu...aisee ni binti mkali sana na mzuri wa moyo...(kwa...
1 Reactions
104 Replies
19K Views
Jamani waungwana naomba msaada wenu huyu mke wangu mie simuelewi kabisa. mwanzoni mwa mahusiano yetu alikuwa na tabia sana ya kuchunguza simu yangu na hakuwahi kugundua message yoyote mbaya...
1 Reactions
122 Replies
9K Views
Watu wengi hasa vijana walioko mashuleni na vyuoni wamekuwa na matarajio mengi yaliyo finyu ktk mahusiano wengine wakidhani kwamba akimaliza masoma bila kuwa na mke aliyesoma nae anajiona...
0 Reactions
65 Replies
10K Views
habar zenyu bana, wandugu kuna she flan nilimzimikia km miez 8 hv iliyopita, nikiwa ktk harakat za kumwonyesha namjal baada ya kutoka nae out km mara 3 hv, nilisafir kwenda mkoan nilipozaliwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
jamani niko na ndugu yangu mmoja tulipotezana mda mrefu sana tulikua ni marafiki wa karibu sana wa kushare siri...! to make the long story short ni kwamba tumekuja kukutana mda sio mrefu...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Mume anarudi toka kazini anapokewa na mkewe halaf hawajajuliana hali vizuri anauliza dada amelala?(mfanyakaz),au unaenda dukan na mumeo unamwambia ninunulie kiatu,anakuambia nimeona cha dada.Je...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Hapa chuon kwetu kuna mama anafanya kazi ktk ofisin fulani ,na nmekuwa classrep kwa muda toka nikiwa first year mpaka sasa second year,kinachonishangaza ni huyu mama anayefanya kazi kwenye hii...
0 Reactions
76 Replies
8K Views
Ikiwa zimebaki wiki chache kabla ya kuanza sikukuu mfululizo, hatuna budi kumshukuru Mungu kwa uwezo wake na mapenzi yake kutuacha hai mpaka siku hii ya leo tunapoelekea mwisho wa mwaka. Hakika...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…