Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Nafahamu ya kuwa si mpango wa Mungu kwa mtu aliye tajiri kumtawala maskini kwa sababu ya umaskini wake. Na pia nafahamu si mpango wa Mungu kwa nchi zilizo tajiri kuzitawala nchi maskini kwa sababu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimejiuliza wakati napitia uzi wa Cantalisia kuhusu jamaa alietoka nduki baada ya kugundua mpenzi wake ana mawe zaidi yake.Sasa swali linakuja,kwanza wanawake wanakubali kuwa mwanaume ni kichwa...
0 Reactions
185 Replies
12K Views
Ni takribani miezi 6 sasa toka nilipaachana na rafiki yangu, lakini mpaka leo hii napoandika thread hii naumia moyoni kila nikimkumbuka nilikuwa na ndoto nyingi nae katika maisha yangu bali...
0 Reactions
37 Replies
14K Views
ni nini agizo la ndoa?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mzee mzima yuko sebuleni anafatilia hotuba ya Kikwete kwenye ufunguzi wa bunge akiona live wabunge wa CHADEMA wakitoka ukumbini. Mkewe alikuwa jikoni akisaidia na msichana wa kazi kuandaa maakuli...
1 Reactions
142 Replies
12K Views
Embu tuwe wakweli jamani sio kwamba nimekuja kuwatetea hawa mabinti ila naona ni wakati na jukwa amaalum kuwafundisha wanandoa jinsi ya kuishi nao..kuna wakati unakuta madada wanafanya kazi kweli...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Wanawake ni waongo sana. Kila mwanamke ambae nimekuwa nae utasikia anakwambia hivi. 1. Yani mimi mpaka namaliza chuo nilikuwa sijawahi kuwa na mwanaume 2. Mwingine yani mimi mpaka namaliza...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Jukwaa hili (MMU) bana yaan % kubwa ya thread ni kupeana stress tupu mara 'hakuna mwaminifu 100%' mara 'mtu aliyemtoa demu bikra ataendelea kumgonga huyo demu hata akiolewa na mtu mwengine' mara '...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
kama ndio wewe umeshikwa ugoni...?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Waleee walee wale wabaya waleee wale walee awatupendi waleeeeee watajijua wenyewe waleeeeee najua utaniimbia huu wimbo mie aku ujumbe umefika kuelekea jumapili mwaya kuna mabinti wamekuwa raisi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
LEO NAJUA UKO NA MUMEO HUYO ALIEKUVISHA NDOA LAKINI NI VYEMA NIKAKUPASHA KIDOGO VOLCANO MUHIMU BABU AIJALISHI MKO KWENYE NANE KWA NANE MKIISHIA KIBO MWISHO WA SIKU MMOJA WENU ATARUDI MPAKA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wale waliowapweke Bofya badoo.com Ukamate kifaa utakacho.
0 Reactions
5 Replies
8K Views
Habari zenyu ndugu zangu,eti kwenye viapo vyetu vya ndoa hamuoni busara wakiongeza maneno yafuatayo: "sitaacha usiku upite nikiwa na hasira juu yako". Nimeona tu kwamba mara nyingi wanandoa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
watu wengi hawajui bikira yaani kale kautando kwa akina dada kana maana gani na imefikia pahala watu wanao ulizia kwa sasa kuonekana washamba. .Ukweli ni huu siku za nyuma ilikuwa ikitiliwa mkazo...
0 Reactions
33 Replies
12K Views
na kuzaa siku hizi hadi uende kwa nyumba kumi
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Police have arrested a woman in Pakistan on suspicion of murdering her husband, chopping his body to pieces and boiling it in a bid to get rid of the evidence. Zainab Bibi, 42, allegedly told...
0 Reactions
64 Replies
6K Views
Habari za mchana wana MMU! Mchana huu nimeshirikishwa jamba na kaka yangu (tunafanya kazi wote) ili nimshauri na mimi nikaona kabla sijamshauri chochote ngoja nipate mawazo ya wapendwa wangu hapa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Porn dominates the internet in terms of hits and income – and now it’s changing the way people have sex. That’s because the only sex education many people get is from pornography. Cindy Gallop...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Wapendwa wana MMU hasa ınfıdelıcıous naomba tuıtafakarı hıı sms alotumıwa ınf.mwenzenu; "Enough is enough, kumbe ambacho huwa unakifanya ni...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
WADAU, naomba ushauri na mawazo yenu juu ya suala la kupekua (kukagua) simu ya mpenzi wako coz mwenzenu limezidi kuniumiza mara kwa mara! Nikipekua cm yake sometime naumia mwenyewe, nikisema...
1 Reactions
28 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…