Habarini za leo mmu,
Hivi hii tabia chafu ya wanaume unakuta mtu ameoa mke wake cha ajabu yule mwanamke ndio anamlisha,mke akijifungua gharama zote juu ya mwanke uzazi mwanamume hachangii hata...
Watu wengi wamekuwa wepesi sana kukimbilia kwa rafiki zao ili kuomba msaada wa mawazo ya nini wafanye kwenye mapenzi. Imani iliyojengeka kwa watu wengi katika jamii yetu ni kuwa ushauri ni kitu...
Sidhani kama hili nalo linahitaji mabishano!Ukweli ni kwamba kwenye ndoa au mahusiano,mwanamke ndie muamuzi kwamba hiyo ndoa au mahusiano yaendelee ama la,akichoka MWANAUME lazima utoke nduki...
I really miss you ... I'm waiting for you every day ... dry lips I whisper your name ... and tears welling in her eyes from the awareness of the impossibility of miracle, of futility and...
Hali yenu . Mm ni mvulana nimebahatika kumpenda msicha kupita kiasi atachokitaka bc nampatia kila kitu endapo akanikosa basi huomba msamaha mm cha ajabu hufika wiki mbili huwa ananinunia naomba...
Kila ninapowaona, wengi wao wamejiweka kwa namna hiyo. Hivi ninyi kina dada na baadhi ya kina mama mnapo yaweka matiti yakionekana vifuani mwenu kwa nje kwa mfano wa mapapai mnamaanisha nini? Ni...
Sometimes we are so busy searching for things that are
outside of ourselves, that we don't realize that what we really need is already in our possession! We dream of this distant place where all...
Je! ni zawadi gani nzuri ya kumpa mwenzi wako?????????
Hili swali naona kama tunategana, maana ukweli watu siku hizi wanapenda fedha zaidi. Sawa unaweza kumpelekea ua, unaweza kununua nguo na...
Kuna jamaa yangu aliapa, kwa jinsi askari wa mashati meupe wanavyomsumbua kunako barabara, lazima atafute askari wa kike wa nyeupe amalizie hasira zake(kulipiza kisasi na si kutafuta favor)...
Ndugu zanguni pamoja na kwamba tunapenda aman kwenye ndoa bado nimeona kuna haja ya somo la ufahamu kuwepo kwenye maisha ya kila siku ya wanandoa...leo nilikuwa na kikao na ndugu fulani mmoja wao...
Why now so many people get to know the Internet?
First, it is easier. You can stay at a comfortable psychological distance from the partner. Tell any lies about himself. Hide any truth. Ask...
Kuna mtoto wa mama yetu mdogo wa kike ndoa yake inatakiwa kufungwa jumamosi hii toka jpili siku moja baada ya send off katoweka nyumban ijuzi katuma sms yupo sweden hataki kuolewa yupo na mzungu...
VIJANA WENGI tumepotea hapo,tuonapo basi tunataka kutimiza ile macho imeona,na hii ni hatari sana!Hebu tuwaulize na madada wanaovaa hivyo wana malengo gani?au ndo biashara yenyewe iko sokoni?Hata...
Kuna hasara zinazoweza kukupata ukiamua kulipa kisasi kwa mambo uliyofanyiwa ambayo hayakupendezi. Ikiwa ni masuala ya kikabila, usilipe kisasi. Ikiwa ni masuala ya kidini, usilipe kisasi. Ikiwa...
Majirani zangu (Mke na mumewe) huwa wanagombana mara kwa mara. Katika mzozo wao mara nyingi utamsikia mwanamke akimwambia mumewe maneno kadhaa ya kejeli na dharau. Utasikia tu: Nipige kama wee...
Washikaji, nashindwa kukung'uta thanks na like za uhakika kwa kuwa natumia mobile device.
Niko Kamsamba, porini huku nafanya kazi za braza Ngiswe, kutorosha mabinti wa watu.
Nawapendeni wote...