Naomba kuuliza binti au mwanamke huwa unavutiwa na nini kwa mara ya kwanza pale unapomuona kijana au mwanume kwa mara ya kwanza na kusema moyoni mwako natamani angekuwa mpenzi wangu au mume wangu?
Habari zenu watanzania wenzangu!!ebana nina rafiki yangu wa kike{wa kawaida},ambae tumezoeana sana,jana kkt mazungumzo yetu akaniuliza hvi,hvi wanaume huwa tunapenda vitumbua vya aina gani,maana...
Nimejiuliza swali hili baada ya kuchoka kusikia vimbwanga vya ma-HG,kauli yenyewe ni kuwa;UKIMUELIMISHA MWANAMKE UMEELIMISHA JAMII NZIMA,kwanza ni elimu ipi?Pili,sasa ni yupi kati ya hao wawili?HG...
Hakuna ubishi kwamba maisha ukiyapangilia ni mazuri sana,yatakupa amani na kwa ujumla utatamani uendelee kuishi milele,lakini usipkuwa makini utaishia kujuta.Uamuzi wako ndiyo unaotengeneza...
Ni nini maana halisi ya kusamehe??
Je ukimsamehe mtu unalazimika kuwa karibu yake tena?? Kurudiana kimapenzi kama ndivyo mlivyokua mwanzo?? Kuongea mara kwa mara kama ndivyo mlivyokua mwanzo...
Pengine hili somo litawapa msaada wale mnaozaa nje mnawaandaje watoto wenu wasije pata shida
mnapoaga dunia kwa kweli...hili nimeona kwenye gazeti la jana kesi ya kupinga urithi kwa mtoto
wa nje...
Kutokana na taarifa za awali za msanii huyu kwamba aliachana na mumewe na sababu alizokuwa ameziweka hadharani kwamba alikuwa hampendi, kuna mwingine anampenda zaidi etc etc etc. Lakini baada ya...
Kwa kuogopa kugombezwa na pengine kupewa kichapo na waume zao kwa kutumia vidonge vya uzazi wa mpango, wanawake wa kijiji kimoja mkoani Arusha wamekuwa wakiwadanganya waume zao kuwa hivyo ni...
Mm n msichana nna miaka 26,nmeolewa na nna mwaka wa 4 sasa katka ndoa.mume wangu amenipita kama miaka 12 hiv
Tatzo ni mume wangu ana wivu sana,asisikie kitu hana haja ya kufatilia km n kweli au...
Wiki hii nimekutana matukio mawili ambayo pamoja na umri wangu huu yamenitoa machozi. Tukio mojawapo ni hili la bibi kizee mwenye umri wa miaka zaidi 100 kubakwa kwa zaidi ya saa 8 (hadi usiku wa...
Yule 'beki tatu' niliyemnyang'anya simu, jana alimweleza mama yake mzazi kwa nini siku hizi mawasiliano yamekuwa magumu, na kwamba sisi tunaomtunza ndo tumekuwa tukiwasiliana na mama yake tofauti...
weekend huwa naenda makumbusho pale Azimio Arusha kujisomea nikijiandaa na mitihani yangu ya MBA, sasa kuna wadada huwa wanapitapita pale sijui huwa nao wanaenda kusoma ama ndio mambo mengine...
Uko kwenye ndoa. Umeoa/kuolewa na your dream man/woman. You met this guy few years back and all was paradise. You had all the funny you wanted. You could not let him go. He was the end of the...
Jambo hilo huwasumbua wengi sana, Ukweli ni kwamba ndoa nzuri au mbaya inategemea na malezi au tabia ya mtu kwa ujumla. Ndoa nyingi ambazo mmoja yuko juu sana na mwingine yuko chini sana, mara...
To My Beloved ...............You are always on my mind, I can't stop thinking about you. The first thoughts when I wake, and the last thoughts before I go to sleep are of you. I am such a lucky...
Naomba kuuliza waungwana....Hivi katika Ndoa...Mke akimnyima mumewe Unyumba kwa "zaidi ya mwaka"...yaani hawajakutana kimwili...(miezi 15 sasa) .. Hiyo ndoa bado ipo kweli...?
Hakuna ugonjwa wala...
Kwa wale Wakristu nadhani mnafahamu kuwa Ndoa (iundayo familia) ni taasisi muhimu sana katika Kanisa na ni nguzo kuu ya Kanisa. Kwa nini? Katika ndoa ambayo huunda familia ndiko Kanisa...