Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Jamani nina rafiki yangu anaomba ushauri kuwa ana demu wake wanapendana mda mrefu ila hawajawahi ku sex hata siku moja, kila wakipanga kukutana ili wa-sex demu anakuwa na visingizio kibao, japo...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Habari za usiku wananchi wenzangu,nina swali la uzushi kidogo. Ni hivi wewe umefumaniwa na mke wa mtu na ukafanikiwa kuchomoka kwenye lile vurugu lakini kwa bahati mbaya mwenye mke anaendelea...
0 Reactions
56 Replies
4K Views
jamani yamenikuta mke wa mpangaji ametokea kunipenda na mpaka kuniweka wazi kuwa hataki mahusiano yoyote ila niwe tayari akiwa kwenye siku za kushika UJAUZITO,Ndo tukutane kuitumia hyo siku...
0 Reactions
53 Replies
7K Views
mabinti hupenda kuwatupia lawama njemba zao mara mambo yanapokwenda mrama husikika wakidai ya kuwa wapenzi wao ndiyo wamewapotezea muda wao bure, kuwachezea na...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Habari wana JF... Ni wazi kua we have got lives beyond hapa JF.... Na ni wazi kua majukumu ni mengi katika jamii ambayo kwa kweli mara nyingi ndio first priorities katika maisha yetu kuliko hata...
19 Reactions
387 Replies
20K Views
Hii si kwa wanandoa tu ila kama wewe ndiwe basi ungana na kundila single kuhakikisha kabla ya kulala unamshukuru mungu kwa kukulindana ukiamka asbh jifunzr kusema ashasante na uikabidhi siku yako...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hebu tuchukulie kwamba, kuna mwanaume amekutongoza kwa muda mrefu sana, na baada ya kujiridhisha kwamba yuko serious ukaamua kuwa na uhusiano naye ukiwa na matarajio makubwa juu yake. Lakini...
0 Reactions
160 Replies
11K Views
Scandal as 12th wife of Swaziland king is caught with married lover Swaziland Justice Minsiter Ndumiso Mamba (left) is in jail on the orders of King Mswati III after allegedly having an affair...
0 Reactions
35 Replies
6K Views
Heshima zenu wanajamvi wa mmu, bila shaka mnakumbuka post yangu ya nyuma kuhusu kuolewa nashukuru sana wengi wenu mlinitia moyo mkanifariji na mkanipa mawazo kemkem ya kusonga mbele, nilikua...
0 Reactions
88 Replies
7K Views
Wakuu nimefiwa na mama yangu mzazi aliyekuwa mgonjwa wa kitandani(bedridden) kwa muda wa mwaka na nusu.
15 Reactions
226 Replies
13K Views
1. Touch her waist. 2. Actually talk to her. 3. Share secrets with her. 4. Give her your jacket. 5. Kiss her slowly. Are you remembering this? 6. Hug her. 7. Hold her. 8. Laugh with her...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
nina rafiki yangu yuko chuo kimoja maarufu hapo tz ana mvulana wake na yy pia ni mwanafunzi ila chuo ikoiko anampenda sana mvulana wake ila hamuamini sana kwasababu ya vitendo vya huyo bwana...
2 Reactions
95 Replies
6K Views
This song goes out to all JF women and all others who have been heartbroken I want you to understand that we men are proud of you and we are doing our best to show you how much we love, cherish...
6 Reactions
150 Replies
7K Views
Man Arrested For Injecting Cement Into Women’s Butts Oneal Ron Morris (photos courtesy Miami Gardens PD) Florida police have arrested a man for allegedly injecting cement into the rear-ends of...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hi wana jf nimekua nikitatizwa na suala hili, Kijana wakiume akitoke kumchumbia Binti wa kike mala nyingi nakawaida 2livyozoe bint wakike huwa anawekwa ndani kabla ya ndoa ili kufunzwa jinsi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kama nyinyi ni wakaka...mnaishi na dada yenu mwenye ajira yake wote ni above 25 au hata above 30 lakini mnaishi nyumba ya familia bila wazazi..... na nyinyi vidume mnaleta 'mizigo' na kubadili...
3 Reactions
63 Replies
5K Views
Habari wana JF Mimi ni kijana mwenzenu Kwa wale ndugu zangu vijana wenzangu tuliooa miaka ya karibuni kama mimi nawaomba tuwe wavumilivu tukaze tu hivyo hivyo ili hizi ndoa zidumu maana...
5 Reactions
107 Replies
7K Views
Hii tabia inanikera sana, unakuta ni mkaka au mwanaume mnafahamiana pengine mnaishi eneo moja au manafanya kazi sehemu moja au ofisi zenu ziko jirani au vyovyote vile, mnazoeana na mnakuwa...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Huyu Binti kaniomba msaada, Naomba wana JF mumsaidie: Huyu jamaa anaishi Oman ana mke na watoto wawili. anataka kunioa niwe mkewe wa pili (Mitala) na nikaishi naye huko. Baba kaniambia niamue...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Anabwana kazaa naye. Amelazimisha kuhamia kwa bwana, anakaa chumba cha wageni. Bwana hamhusishi kwa lolote ndani ya nyumba na sasa bwana katembea na house girl wa huyo dada kampa mimba. Bado...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…