Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Dears, Wakati MJ1 mie naomboleza na ya kwangu, leo asubuhi nakutana na simu ya rafiki yangu ambaye alikuwa analia simuni kiasi cha kumwomba anisms tatizo ni nini. Akaamua kuniandikia mail ya...
4 Reactions
120 Replies
8K Views
Leo hii mimi na my wife wangu, tumetimiza miaka kumi na mbili (12) ya ndoa yetu. Na tunamshukuru Mwenyezi Mungu kutujaalia Watoto wenye Afya na siha njema. Nadiriki kusema kuoa kwangu si kuwa...
11 Reactions
69 Replies
6K Views
wiki iliyopita nilikutana na bf wangu sehemu tulikuwa na mgogoro baada ya kujua kuwa anamtu mwingine siku za nyuma, tulikutana ili tujadili kuhusu mgogoro uliokuwepo kati yetu, baada yakumbana...
0 Reactions
29 Replies
2K Views
wakuu nimepitapita kwa mtandao nkakutana na hii kitu, nadhani inapendeza hasa kwa wale ambao hawajui namna nzuri ya 'how to win/take over the mind' of a woman'. It is a very interesting thing to...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Imesemwa sana na itaendelea kusemwa kuhusu kutojiamini kwenye uhusiano. Wataalamu wanaamini kwamba, watu wasiojiamini, wanakuwa na matatizo makubwa na magumu au mabaya zaidi wanapokuwa kwenye...
3 Reactions
11 Replies
3K Views
Moja hukamia kumtawala mumewe.....................hata Hawa usifikiri alipompelekea Adam lile tunda hakujua yalikuwa ni makosa ila alimtega mumewe kuona kama anampenda Mwenyezi Mungu au yeye...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Nilichokiona kwake ni kwamba yeye anatamani kuwa mwanamke/anawaonea wivu walio umbwa kike.choo anaingia choo cha kike, anakua kwenye siku zake kama mwanamke tofauti ni damu tu, hata kucheza mziki...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
nataka nikajitambulishe nipeni kwanza vitu viwili cha kwanza kuna madhara yoyote ya kufanya hivyo ?pia je mchakato unaanzaje? ni hayo to great thinkers
0 Reactions
20 Replies
15K Views
Just curious, Ladies u can challenge this 1. That swimsuit really flatters your figure! Would you mind keeping my husband company while I go for a swim? 2. Oh, look, that woman and I have...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ni muda kitambo nimewamiss sana wapenzi wangu hapa jf da! Msinifikirie vbaya sitawatosa. Liz, Afrodenz, Michelle, Husininyo, Asha Dii, Dena amsi, Uporoto, first lady na wengineo kidole kimechoka...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Wadau,ivi mdada akimwita man player boy huwa anamaanisha nin?
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Nilikuwa na g.f enzi za O-level kwa miaka zaidi ya 2 tulipendana sana hadi nilipoitimu na kwenda mkoa wa mbali kwa ajili ya A-Level. Mawasiliano taratibu yakafa baada ya muda nilipata taarifa kuwa...
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Nilimtuma dada mtu amwambie mdogo wake kuwa ninampenda kwe mdogo wake amenipenda pia,ila yeye hana cmu kwa hiyo ili niwasiliane nae lazima nipige cmu kwa dadake,baada ya mdogo wake kunikubalia...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Naona kama hili jukwaa linahusiana na blog hii hapa chini: Jitafutie Rafiki / Mchumba wa Kitanzania Angalizo: Usianzishe uhusiano na mtu kwa ajili ya kumfanyia mzaha au kumpotezea muda, tumieni...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
........Women are attracted to things like Fame, Money and Power because they are genetically and Socially programmed on an unconscious level to believe that these men are more Inteligent, more...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa miaka kadhaa sasa tumekuwa na magazeri na majarida mbalimbali ya mambo ya maisha. Wapo waandishi wa magazeti yale ya zamani na hata kwenye mitandao. Najaribu kutaka kuwasoma baadhi ya...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Only after nimeondoka na kuacha nyumba yangu, napata habari ya mambo zaidi niyajuavyo kumbe watu walikuwa wananichora tu wanajua mambo mengi machafu na walikuwa hawaniambii, bado sielewi sababu ya...
0 Reactions
61 Replies
7K Views
Ni muda mrefu sasa umepita tangu nipotee jamvini, wakuu mambo yalibana sana then ubize wa maisha ulichangia. Niliwamiss sana ndugu zangu, nashukuru mungu kuona mambo yanakwenda vyema, kwa wale...
5 Reactions
85 Replies
9K Views
Katika Masha yngu nimetokea kuchukia Anasa tena sana. na kipindi hiki nimefikia umri ambao nilazima niowe...nimemaliza masomo kazi sina. nimehangaika sana..ila huu huangaika nipate chochote na...
1 Reactions
38 Replies
8K Views
Wanaume walio wengi wako hivi; Wakiwa na mpenzi wanapenda wanyenyekewe wasibanwebanwe haya mapenzi ya sweetie baby honey hawapendi mojakwamoja kwa huona kama unamghasi anataka mapenzi hayo umpe...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…