Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Kuna mdada, miezi mitatu iliyopita alimfumania mumewe na mwanamke ambaye ni rafiki yake ingawa sio kiviiiiiiiiiiile! Kama kawaida ya wadada akalia weeeeeeee mwishowe akaamua kumsamehe mpenzi wake...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Hope you’re feeling better..... Everyone is so eager to have you back in action again, rise up and exercise those bones.........We miss hanging out with you.........Ever since you got sick, We...
16 Reactions
165 Replies
8K Views
Don't marry anyone that you don't know what happened to their last relationship.ONE'S RELATIONSHIP HISTORY REVEALS ONE'S CHARACTER
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Sisi tunaofanya kazi chini ya mtu fulani (boss) mwanaume tunakuwa hatarini sana hasa kama boss anagodoro lake hapo. Akikuona unamazoea nae (godoro lake) basi visa havikosi, memo usiseme na hata...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Kuwa upweke unaweza ua? So lonely ths wkend
0 Reactions
9 Replies
1K Views
There's no question that breakups can be painful, and that it's difficult to trust and love again. But there are ways to get past the pain. In time, it is absolutely vital to put the pain...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Mawasiliano ya karibu hufanya uelewe mawazo na matatizo ya mpenzi wako. Mwonyeshe na mthibitishie kwamba unampenda na huna mwingine zaidi yake. Hakikisha unakuwa muwazi na mkweli. Mkielewana...
0 Reactions
1 Replies
7K Views
Sipendi wa dada wanaowafanya wanaume wao kama ATM, unatoka na mdada for Lunch unaishia mlipia kila kitu na hata voucher anakuomba! Kibaya zaidi unamlipia hadi Taxi Sipendi wa Kaka wanaopiga...
16 Reactions
214 Replies
12K Views
nilikuwa napita tu kwenye social network moja nikakutana nayo na nikaona nshirikiane nayi. mbarikiwe sana wapendwa For I know that my redeemer lives and at the last, He will stand upon the earth!!
4 Reactions
26 Replies
3K Views
The Crayon Box That Talked While walking into a toy store the day before today I overheard a crayon box with many things to say "I don't like Red!" said Yellow and Green said "Nor do I" "And no...
1 Reactions
2 Replies
708 Views
Utakuta mdada kamuona mume/penzi wa rafiki yake anakula raha na mwanamke wa 'pembeni' au wameingia nyumba ya wageni kufanya mapenzi, basi nongwa. Mwanamke roho inamuuma utadhani labda ndo yeye...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
wazazi wa siku hizi tuna mtihani mkubwa sana wa fuwafunza watoto wetu maadili (nimetafsiri maadili kama values). Zamani ilikua rahisi sababu jamii nzima ilikua na maadili sawa na mzazi anampa...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
Hodi Kwanza humu JF! Ingawa ni mgeni, Lakini ni msomaji mzuri wa mada nyingi hapa JF! Mada nyingi zinazowahusu wanandoa huwa haziwafikirii watoto. Kina Baba, kina Mama Pendaneni, na muaminiane...
1 Reactions
2 Replies
926 Views
Wadada acheni fujo na vurugu. Utakuta mtu katemwa badala ya kukaa chini na kutafakari makosa yake, anaamua kuharibu mambo ya wengine. Afadhali tukose wote na misemo ya walio shidwa siku zote...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Wanawake wanapenda sana kuwa huru na hii inafanya baadhi ya wanaume wasijisikie vizuri. Kutokana na mabadiliko ya maisha ya ,wanawake wanafanya kila ambacho kipo kwenye akili zao kwa ajili ya...
6 Reactions
25 Replies
3K Views
Katika jamii nyingi za kiafrika hususani Tanzania, mwanaume ndiye huanzisha mahusiano kwa kumtongoza binti na hata kumchumbia kwa lengo la kuwa pamoja. Sasa inapotokea mwanaume/kijana akamtongoza...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Hebu jiulize kwamba leo Mungu anaamua kutoa adhabu kwa kila mwanaume ambaye ktk masuala ya mapenzi-iwe ameoa au bado yupo yupo-ameshawapitia wanawake zaidi ya 10 tangu alipoanza kuwajua wanawake...
1 Reactions
62 Replies
5K Views
Ninalia hadi sauti yanikauka yote haya ni sababu ya mapenzi. Ni dada ambaye nipo kwenye uhusiano kwa mwaka wa nne sasa na mchumba wangu. Nampenda sana, ni mwanaume wangu wa kwanza lakini jumamosi...
0 Reactions
98 Replies
12K Views
Leo mida ya jioni nilitoka na mama Ngina kupata mchesho wa kuku mahali fulani. Mara kaingia mlevi mmoja akasogelea meza yetu na kuniuliza. “Samahani mzee, naomba uniwe radhi kwa kuuliza” Mimi...
7 Reactions
24 Replies
3K Views
Happy furai dei toka Boyz II Men Boyz II Men - The Tracks Of My Tears - YouTube
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…