Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Wenye ndoa zao na ambao wapo wapo kwanza ni kundi gani linaongoza kucheat kwenye mapenzi?
0 Reactions
64 Replies
6K Views
Mapenzi yamekuwa yakichukuliwa na baadhi ya watu kama fasheni hali inayowasababishia washindwe kudumu kwa muda mrefu na wapenzi wao.Kimsingi ipo hali ya kujisahau baada ya wapenzi na wanandoa na...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
WALIOSEMA bora ukose mali upate akili hawakukosea kuna wengi wanateseka kwa vile wamekosa uelewa wa nini wafanye ili waishi vema. Kuna watu wanaishi maisha yasiyo na raha kwa sababu wanaumizwa...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari zenu wadau!!kuna msichana nimemwambia tuachane kwa kumtumia txt kwenye simu but cha kushangaza kakaa kimya hadi sa hz,na leo ni siku ya 3 tangu nimtumie hyo txt,tatzo ni nin,hana crdts au...
0 Reactions
53 Replies
6K Views
Ndugu wana JF. Walichokifanya Wazungu ni kutusihi kutambua haki za mashoga ambao tunao. Hatuwezi kulikataa ombi lao kwa kuwa mashoga tunao katika jamii yetu na hakuna jutihada zozote za hata...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
By SarahAbell A first date is loaded withexpectancy – will she/he like me and will I like them? Is this person going tobe the “One” or will I want to run for the hills before the starter? Will I...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hivi jamani chozi la mwanamke linamaanisha nini ??? kwa kuwa kwenye shida analia, kwenye furaha pia hutokwa na machozi, akimuona mume/mchumba na mwanamke mwingine pia hulia, ukimfumania na...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Nilisema nahitaji haraka mwanamke mtu mzima mwenye umri kati ya miaka 42 mpk 50. Naona wasichana wadogo wanazingua tu. Tatizo wanakuwa na tamaa sana ya mapenzi, hawana mapenzi ya kweli. Sibagui...
0 Reactions
0 Replies
759 Views
Kizazi Cha Mababu Zetu:1920 - 1950, kijana akimwona binti akampenda,mshenga anatumwa kupeleka barua kwa familia husika kuhusu lengo la ndoa alilo nalo, sometimes hata binti hamjui kijana husika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Eti wakubwa,hawa wadada huwa wanaweza ku2lia na mpenzi mmoja wakiisha fiksha umri gani?maana me nimeisha toka na wa age ya 19-24 bt naona tabia zao zko sawa tu,yani wote niliokutana nao ni mapepe tu.
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Hawa wadada toka Singida,Kusini na Tanga wengi wetu huwa tunawakubali kwa mambo yao,ni wakali.Nawafagilia sana.
1 Reactions
71 Replies
12K Views
Imefika mahali hebu tuende kinyume kidogo na mazoea au namna jamii inavyotuambia namna ya kuyatazama mambo,kuna hii hisia inaitwa Wivu,imesababisha madhara sana jamii kama kujiua,kuwa wendawazimu...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
On Oct. 31, 2011, the world was blindsided by the news that reality TV star Kim Kardashian was divorcing her husband, National Basketball Association star Kris Humphries. The couple had married on...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hepi furahi day brodaaaaaz. & Sistaaaaaaaazz.... Hivi mwamaune akimwambia mwanamke ai mwanamke akimbwambia mwanauem amempenda huwa anaangaliaga nini?? Maana weingine wanabase sana kwenye sura...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wapenzi wa JF, ni miezi sita kamili tangu Mamsapu wangu apate ajira katika kampuni moja ya umma hapa jijini Dar. Siku tu ya kwanza amekwenda kuripoti aliporudi home aliniambia kwamba hajaona...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Jaribu kuangalia mambo haya sita na uyapange kwa uzito wake wa kusameheka - yaani namba 1 likiwa ni zito kabisa kusameheka hadi 6 jepesi zaidi kusameheka. Yaani lile la kwa 1 kimsingi linaweza...
1 Reactions
56 Replies
5K Views
Bado sijapata jibu kuhusu hii kitu. Kwa muda sasa kumekuwa na hii kitu mjini dodoma. Nyakati za jioni kunakuwa na wakina dada wengi 'wanajianika' eneo la Nyerere Square mijni dodoma...
2 Reactions
27 Replies
4K Views
Tunapopatwa au kuingia kwenye hali ambapo tunajikuta tumeshindwa kufanikiwa au kupata matokeo tuliyoyataka, kuna njia kadhaa katika kuitazama hali hiyo ili isituumize. Kwanza inabidi tujiulize...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
hapa wamefika mbali, nilikua nawait niskie wenye Tanzania watasemaje, thanks God wamepinga! eti wana jf mnasemaje?
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kama mlivyopata taarifa kutoka kwa mwana JF mwenzetu Cantalisa. Nilipata ajali kwa kugongwa na gari tarehe 25 Octoba na kulazwa katika hospitali ya regency. Nilifanyiwa upasuaji wa mkono wa kulia...
19 Reactions
44 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…