JF nimeolewa miaka nane iliyopita nikiwa na 21 years old,nimekaa na mme wangu katika ups and down za ndoa ..
Ila mme wangu naona ana mambo mengi ya ujana,dharau na kutojari familia , hakui...
Wanajamii mi nahitaji kujua je katika makundi haya mawili Je ni yupi anaonekana amekosa maadili au kukosa maana mbele ya jamii hasa inapotokea mwanaume anao watoto lakini hana mke anaejulikana ama...
Ni kweli kwamba wanaume wa KiTZ hawawi wepesi sana kuwa na mahusiano na mtu mwenye watoto kutoka mume wa awali aumwanamme mwingine? Yaani siyo uhusiano wa kimapenzi tu bali uhusiano wa hata...
...nimeulizwa swali ambalo natarajiwa nitoe ushauri ambao utamjengea "huyu" dada maisha yake au utambomolea kabisa matumaini kidogo aliyokuwa nayo!
ni hivi....;
maishani mwake amewashi kuwa...
Mimi km mwanamke wa Kitanzania KWA ZAID YA MIAKA 10 SIJATUMIA KILEVI AINA YYT, SIJAVUTA SIGARA,BANGI WL KUTUMIA AINA YYT YA DAWA ZA KULEVYA, PIA KWA MM NI MWAMINIFU SN ZAID YA MIAKA 10 SIJAWAHI...
Jana nilikuwa napitia kidogo kwenye akaunti yangu ya FB ambayo nimeifanya yatima siku hizi. Katika pita pita zangu nikagundua kitu kimoja, picha nyingi za wanawake zinazopostiwa siku hizi...
Kuna watu huwa wananikera sana
1. Ukimuuliza swali badala ya kujibu naye anauliza swali.
2. Kujifanya kila kitu anajua.
3. Mchonganishi i.e mtu wa majungu hovyo.
zamani wakati tunakua ilikuwa ukitaka kumtongoza msichana unatumia muda mrefu na wakati mwingine njia mngumu sana mpaka umuweke kwenye himaya yako. Kwa mfano kama unakaa kijijini unaweza kwenda...
Habar wanajf
mwenzenu nina tatizo naomben ushauri, nimeoa nina mtoto mmoja lkn mazingira ya kazi yangu magumu yanapelekea kuwa na familia yangu wiki mbili katika Miezi minne, je mnahisi natimiza...
Kwanza kabisa wana JF,napenda kuwaarifu kwamba me ni member mpya kwenye hili jukwaa,naahidi tutashirikiana ktk kuchangia mada zile zitakazotumwa.Baada ya utangulizi huo,naomba kila mmoja kwa...
Habari za hasubuhi wana JF!Mapenzi jamani yanaumiza sana. Nina mpenz wangu ki ukweli nina mpenda sana ila juzi juma mosi kimetokea kisa kimoja. Niliingia kazini juma mosi hasubuhi na ilipofika...
Jamani wana MMU naombeni kuuliza hivi ni kwanini ukiweka picha yako kwenye Facebook lazima itasifiwa hata ikiwa mbaya vipi, binafsi nimejaribu kuweka picha niliyotoka hovyo kabisa, lakini...
Kuna watu ambao wamewahi "kujikuta" kwenye kitendo cha ngono na mtu ambaye baadaye au kesho yake wanajutia kwanini ilitokea hivyo. Na mara nyingi inatokea katika mazingira ya sherehe sherehe hivi...
jaman network searchng....., available, searchn............., jaman wanawake wafanyabiashara ni balaa tupu! Simu haizimwi,nimechoka naye, ugomv wetu ni cmu, uko uwanjan hajal ni kona, goalkick, au...
On your birthday, I wish you only smiles and joy
A wonderful celebration, a gathering of friends, great happiness and joy that never ends.
May your special day be filled with memories and...
Jamani wale wenzangu na mie wadadakwa wakaka tunaopanda daladala..
utakuta mtu kwenye daladala anasikiliza mziki kwenye simu yake
simu yenyewe ya kichina, nasema ya kichina cz ni simu...
salam sana.nilijaribu kufanya ka uchunguzi nikagungua wanawake wengi wenye sura za kuvutia wapo katika hatari ya kuambukizwa magonjwa ya zinaa ikiwamo UKIMWI.Pia wengi wao hawajui mapenzi na ua...
Nawasabahi waungwana...maranyingi ktk mijadara isiyorasmi swaala hili limekuwa likijadiriwa na mwisho wa hiyo mijadala watu wamekuwa wakikubaliana kuwa ni kweli kwamba wanaume wasio-kunywa...