Wana JF...naomba mnisaidie my boy yuko mbali na ninapoishi,yupo busy sana,mawasiliano hafifu mpk nimtafute bt anashow km he loves me. Cmsumbui na v2 vngne zaidi yakumsisitizia ukaribu.cna imani km...
Kila mtu ni mbaya kwako, kila mtu anakuchukia, wewe tu, kila mtu hakutendei haki, kila mtu ana kasoro?
Je wewe ndivyo unavyoishi hivi? Kama jibu ni ndiyo au kama una mtu wako wa karibu ambaye...
Kuna sehemu nilikua nimetulia baada ya shughuli zangu za kila siku sasa hiyo sehemu niliyokua
nimepozi akapita jamaa mmoja amejaa vizuri yaani umbo la kiume lililojengeka lakini cha kushangaza...
Hebu chukulia kwamba, umeolewa na umeishi na mumeo kwa takriban miaka kumi. Siku za karibuni mumeo ameanza tabia chafu ya kutembea na wasichana wa kazi, mpaka ukaamua kutokuwa na wasichana wa kazi...
Ni watu wachache sana ambao hawababaishwi na kuwa au kutokuwa kwao na fedha. Kuna ukweli kwamba fedha huvunja udugu, huharibu uhusiano kati ya watu na kati ya wapenzi. Ni vigumu na hatari...
Hivi kwa mfano una demu wako harafu kila mkiwa nae anamsifia sana rafiki yako yaani sifa ambazo wewe hajawahi kukupa hata siku moja,mf atasema rafiki yako nampenda sana mtaratibu huyo atakaeolewa...
Kama vile hii yawezekana kusaidia kujua mwenzako amekuibia unyumba ama lah
kumekuwa na mazoea ya kubadilishana jezi baada ya kumaliza mechi mbalimbali
ni wakati umefika basi na nyie mnaowaibia...
Unaamshwa na mkeo asubuhi na mapema kama saa kumi na moja asubuhi, upo fresh akili imesha tulia . Anakwambia kuna deal anaomba umsaidie. Ila upo choka mbaya, hata pesa ya daladala shida, nyumba...
Ukijiamini una kuwa huru kimawazo na kutokuwa tegemezi kusubiri wengine wakupe furaha. (Picha kwa hisani ya dada Y. Mtei Arusha - Tanzania)
Ukiwa single unahitaji kujiamini kwani wewe mwenyewe ni...
jaman mwenzenu kila nikitongoza nanyimwa mpaka nimechoka kutongoza na mademu wenyewe nawakalia mbali kweli coz najua hata nikikaanao karibu sipati demu..nifanyeje jaman niweze kupata nimpendaye???
i will give the angels back their wings and risk the lost of everthing
just to prove my love is true for u
just to have a sweethat like u
u told me once but i forgot,
so tell me now and tel me...
Ndugu wana jf. Mimi nina rafiki yangu wa kike ambaye kimsingi ninampenda sana. Ni mwanamke anayejiheshimu sana japo kwa siku za hivi karibuni amekuwa na mapozi sana. Tangu nimekuwa naye kwenye...
Wakuu natumaini wote muwazima wa afya!!!!
Leo naomba wataalam wa mahusiano na saikolojia mnisaidie kuondokana na utata huu!
Ni muda sasa nimekuwa nikisikia kuwa Wana ndoa wakiishi pamoja baada...
Vijana wana kazi kweli kweli, wacheki hawa>nimewashuhudia pale Rozana wakisubiri usafiri asubuhi. >Me. Mambo
>ke. Poa
Me. Mzima
>Ke. Mzima.
>Me. Unaelekea wapi? Na story nyingine za...
Mimi ni mke wa mme mmoja,tuna watoto wawili 2yrs na 10moths.Nilishamfumania live kwa small house tena chumbani nikasamehe,alishawahi tengeneza number ya kufanana na yangu akampa small hs...
Nakaa siku zote najiuliza sipati jibu nasijui ninani wakunisaidia kujibu hili nakila mara nikiuliza mara nyingi nimekuwa nikipewa jibu lisilo kidhi mahitaji ya kiu yangu yakutaka kujua !!Thank God...
Hivi inakuwaje mtu anatoa fedha kwa ajili ya msiba katika njia ambayo inaonyesha anataka kila mtu amuone? Kuna njia nyingi zenye kuonyesha kwamba mtu anatoa ili watu wamuone na sio kwa sababu ya...