Hivi maana yake nini, unaishi na mwanaume miaka 5 mmezaa watoto wawili,kiuchumi kidogo mnajiweza, lakini hataki kutangaza ndoa, kwenda kwenu wala kukupeleka kwao. na kila siku yupo busy na bint...
mi wana jamvi kuna swali najiuliza maana huwa naona wapenzi wengi wanapenda kuongea kwa simu na wapenzi wao usiku. sasa swali usiku ndo muda wa bure, malavidavi ndo yananoga au usiku una nini kwa...
hadi sasa hivi sijaelewa kama ni heshima,utii au adabu.
wasichana wa nachingwea ni watu wanaopenda story sana.sisi huku dar tumezoea kuagana na marafiki zetu kwa kusema "badae".
lakini wale wa...
Wakubwa kwema?
Jamani mwenzenu nimepata kanyumba ndogo kapya yani maisha raha kweli kweli.
Shida kanasema lazima nikapige bao zisizopungua tatu na mimi kweli siwezi nimezoea kabao kamoja v2 na...
Wadada tujuzane kuhusu hili.
Nikimwambia mpnz wangu anenepe(anakunja sura kuonyesha kutokubaliana na ninalosema)na kuanza kusema eti mbona kanenepa sana siku hizi,nikijaribu kumng'ang'aniza...
Nimesoma riwaya moja inaitwa'TANGU NIPENDE',kilicho nishangaza jinsi mhusika mkuu alivyo zama kumpenda changudoa ambaye akaishia kuwa mke wake.Ivi hii inawezekana,binti unakutana naye kama kahaba...
Napata wakati mgumu kujua hasa in kipi cha muhimu zaidi kati ya kupenda na kupendwa na ni kipi ambacho watu tunahitaji,je tunahitaji kupendwa au tunahitaji tupate watu tutakao wapenda katika...
Hata ukimwambia una mtu atasubiri hadi kipyenga cha mwisho, na akidhibitisha atalia na siku inayo fuata atasahau pamoja na kuwa amesubiri miaka
Nirahisi kumpiga kibuti mwanamke uliyempenda...
Hali hii inahitaji uvumilivu kwa kuwa endapo utagundua mahusiano ya mwanamke huyo na mme wake wa zamani yanaendelea, tena jamaa anakuja hadi nyumbani kwako wakati umekwenda kutafuta. Je cha...
Mambo ya uswahili ni kawaida sana kuona choo cha passport size.
Kuna wapenzi huwa wanapenda sana kuoga pamoja bafuni hata chooni wanapenda kwenda pamoja.
Sasa kwa wale wapenzi wanao tumia vyoo vya...
Mimi napenda mwanamke awe na sifa hizi:-
Kwanza awe natural!hata akiongezea makeup siyo mbaya kwa mbali lakini siyo kujikoboa!!Mpaka moyo unauona na mishipa No way!!!
Mweusi kido mweupe kidogo...
Habari za wakati huu wakuu!!kuna msichana mmoja nimekuwa nikichat nae facebook kwa muda mrefu sasa,imetokea hvi karibuni tumepeana namba za simu,katika kuongea kwenye simu,binti anadai amevutiwa...
Ni miaka mingi hatujaonana, leo maazimisho ya Kifo cha Mwalimu, nipo katika usafiri wa umma (daladala) nikiwa kituoni, watanzania wenzangu wakiteremka, natizama dirishani, namwona jamaa ninae...
Wanaume hawapendi Mwanamke Kulalamika
Ile unarudi tu home kutoka kazini kila siku jioni kiumbe huyu ndo anakutazama hivi?
Nahisi baada ya siku kadhaa utatamani urudi yeye tayari kalala! Binadamu...