Kuna ripotii nimeangalia jana na kuona kuwa kumbe katika Tanzania watu wengi walioambukizwa HIV ni wale walioko kwenye mahusiano ya kudumu (ndoa). HIvi ni kwanini hili na wanandoa wanaweza vipi...
Juzi kuna rafiki yangu mmoja kanipa stori kwamba wana rafiki yao mmoja wa kike huwa anakula kipigo cha mbwa mwizi kutoka kwa boyfriend wake kiasi cha huyo dada kuwa na alama kama amewahi kuugua...
Wadau habar zenu!natumaini wazima!katika pitapita yangu leo nimevutiwa na ujumbe ufuatavyo!kama ulishawahi kupostiwa hapa JF niwieni radhi!
Hakika Mugu ni mkubwa anaweza kila kitu chini ya jua...
Kuna best(msichana) rafiki pia ni ndugu kwangu, alikuwa na mpenz toka yeye akiwa kidto cha tano na uyo mkaka anafanya kazi sehemu fulani hivi, yule mkaka alikuwa msaada mkubwa kwa uyo binti ile...
Kuna dada etu kaolewa dom lakini tangu kaolewa miaka 3 iliyopita amekuwa akichezea kichapo sana tokakwa mumewe ambaye ni mlevi na mkorofi sana ameshamvunja mkono dada mara mbili kwa kipigo..
Nipo...
So many women want to be married, yet for all the wrong reasons. They say things like, "I want somebody to make me happy," or "I need help with these bills," or, "I'm just tired of being alone!"...
Everyone already knows that they probably wont have a romantic long lasting relationship with a woman who is a stri**er, for example. But besides this more obvious type of women, there are a lot...
Kama huyo ndiyo mke wako na kwa bahati na wewe umekuwa mnene na unakitambi
1. mnaweza kuenjoy tendo la ngono?
2. Mtakuwa mnafanyaje?
3. Nahisi magogoni (Ikulu) unaweza usikuone
Hivi ni kwa nini akina dada na mama ndo wanalalamika hasa kuhusu kusalitiwa, lakini wao hawajioni. Mi nshafanya uchunguzi utakuta boy akikutana na dem hata km hamjui anahapa kuwa atampata na kweli...
Sizungumzii kwamba ulikuwa unampenda zamani halafu baadaye mapenzi yakachuja. Sizungumzii kwamba ulikuwa unampenda mtu kiukweli kabisa na ukajitoa jumla jumla katika taasisi takatifu ya ndoa na...
Wapendwa, Salaam poleni na majukumu, tatizo langu ni kwamba nimeachana na mume wangu takribani miaka sita sasa, mtoto wangu wa kawnza ndio alimaliza darasa la saba mwaka huu, katika kuhangaika...
Aslm waungwana....Bwana Yesu asifiwe....Mamboz
Habari za masiku tele....wapinzani hongereni kwa ushindi Igunga.
Naomba kukaribia tena baada ya muda mrefu natumai wana Jf mpo wote na Mola...
Jamani ushauri wenu ni muhimu.,
Ni rafiki yangu ambaye tumemaliza naye chuo, katika kurupukushani za kutafuta kazi amegundua kuwa kuna boss mmoja ambaye alimhaidi dada yake kuwa atamtafutia...
Siku ya Ijumaa tarehe 7/10/2011 mke wangu alijifungua mtoto wa kiume na tulikubaliana kuwa yeye ndo amchagulie jina mtoto. Sasa leo usiku narudi home toka kwenye mishemishe zangu, mke wangu...
Anakufa mtu unayemjua tangu akiwa mzima wa afya hadi alipougua na kufariki. Kabla hujajua amekufa kwa maradhi gani, unaanza kupita ukinong'ona kwamba, amekufa kwa Ukimwi.
Inawezekana ni kweli...
Kama kawaida najongea ktk hili jamvi ila mwenzenu nina matatizo sana yaani kila demu ninae mpata hatukai muda mrefu ananimwaga,kama kuhonga naonga,kukalua ndo usiseme,halafu ni hb kinoma sasa...
Habari Familia yangu ya MMU na wana JF woote...
Hopefully you and your Loved ones woote ni wazima and have spent the Weekend to perfection.... Leo nimeona tuweke maswala ya Wapenzi pempeni na...