Nimeisoma hii ya huyu serial killer kule Dar ambaye anawashughulikia watoto wa kike wa watu kwenye magesti na baadaye kuwanyonga...........it is so scary .........
SOURCE: HABARI LEO..............
"Sasa Imekuwaje shoga?" Anayeulizwa hajibu badala yake anatoa kilio kidogo
cha kwikwi na kufuta Machozi kwa kanga yake. Baada ya muda kidogo anatulia
na kuanza kujibu. Natega sikio, niko kando...
Sijui nikiite kipaji au nguvu au balaa .....
Kaka yangu wa kuzaliwa ana miaka 38 hajaoa, ana watoto wengi tu. Kaka yangu huyu amekuwa akizaa na wanawake wagumba au matasa kwa watoto wake wote...
je kumweleza mtoto mdogo ,kuwa ulipokuwa kijana ulikuwa ,natabia mbaya kwa jamii
mfano "mimi nilikuwa mwizi kitu hakinipiti,"strarehe napenda hasa ngono ,pombeka sana
dansi mpaka asubuhi. je kuna...
JF member mzima na ukubwa wote unaogopa nisikushike mkono kisa eti kuna watu unaheshimiana nao.wewe ni mpenzi wangu ni haki yangu kukushika mkono,kiuno,kukuwekea mkono begani n.k.sasa kwanini...
Habari zenu wadau,mwenzenu hili limenipa utata kidogo,kuna kaka fulan amepanga nyumba ya jiran na ninapoishi huyu jamaa ni mtoto pekee kwa baba na mama yake ila baba alishafariki,mama yake nae...
Ni mshkaji m1 hv soon aftr kfmaniwa dem kamkacha mazma na kmwambia "kwanza ulikuwa hnridhshi" so mshkaj yko dlema je kaachwa kisa fmaniz au kisa hamlidhsh demu wake anadai...
Wadau ni miezi kama kumi ss nipo na huyu binti kiukweli ni mzuri sana kitabia,anasoma chuo mbeya wakati huu wa mapumziko nimemtafutia Field Dar kapata naishi nae kwangu vzr amekuwa msaada...
habarini za mchana ndugu zanguni nimeiona vyema niwajulishe wale
waliokuwa njian kuelekea sinza nyumba za wageni zimejaa sanan so vyema
ukaagairi mnapokwenda na hii ni kutokana na mvua...
habari wana JF,kuna jambo nahitaji kujua...mimi ni 23yrs old,ktk maisha yangu sijawahi kumpenda msichana yeyote kutoka moyoni!..licha ya sehemu mbalimbali za ku socialize nilizo pitia hadi...
Juzi nililala hapo mahali nikajilaumu kwa nini sikutembea na mke wangu. Karibu kila aliyeingia pale alikuwa na wake. Halafu TV zina channel ya mavituzi masaa 24. Ilikuwa ni mara yangu ya kwanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.