hi,jf members! kuna kitu kinanitatiza kila cku asilimia kubwa ya wasichana/Wanawake ninaopishana nao wanakuwa wamevaa suruali zimebanaa! kwa watu ambao tunatoka bush hadi aibu kuwatazama, lengo...
Hello jf!!eti kuna galfriend wangu kanambia ''its Over'',kisa nina wk moja cjamtafuta kwenye cmu,wajameni hii ni sababu ya wa2 kuachana kweli?infact ye mwenyewe hajawah ntafuta,wala hata hajataka...
Ever you forgiven anyone in your life? Kosa gani ulilofanyiwa hadi kulazimika kutoa msamaha, mfano; kutukanwa, kudanganywa, kuibiwa, kupigwa, kunyimwa haki, kusalitiwa kwenye penzi, .......!
How...
Ndoa si msukumo rika, wala kufuata mila,
Ndoa ni kukubalika, bila kufanyiwa hila,
Ndoa si kuhangaika, ili kulipa fadhila,
Ndoa ikikamilika, hutayapata madhila.
Ndoa si kuwa na gari, wala...
Hii sheria ikiletwa Bongo itakuwa balaa! Najua humu ndani kuna wachungaji huwa wanapitapita, vitabu vinasemaje kuhusu hili?
Mexico City considers 2-year marriage licence
Lawmakers in Mexico...
Wapwaz na Mabinamuz!
Jamani week-end hii ni tamuuuuuuuuuu..... kwanza imeangukia mwisho wa mwezi
1. Bar zote leo zitajaa sababu ni mwisho wa mwezi hela ipo ya kutosha2. Gestihausi zote zimejaa...
Hii ndio maendeleo au sie wa zamani washamba? Leo utakuta binti mdodgo ana boyfriend wa primary, akimaliza primary anatafuta wa secondary. Akitoka hapo anakwenda chuoni, huko ana mvulana wa kumpa...
Mama watoto wangu ananibana sana, hataki kuniona niko busy na na simu, anasema nichague kimoja, eidha JF au yeye. Ili niingie JF ni lazima niingie toilet, maana kinyume na hapo ni ugomvi mkubwa...
Nimekuwa na urafiki na dada mmoja kama miaka saba hivi imepita baada ya hapo nikamwambia mie napenda huwe mpenzi wangu mungu akipenda tuwe pamoja..yule dada akakubali tuakaanza safari ya mahusiano...
Ni mdada mwenye umri wa miaka 32, hakubahatika kuolewa wala hana mtoto lakini amekuwa na jamaa aliyeishi naye kwa miaka takribani minne, kifupi ni mfanya kazi mwenzangu na rafiki mzuri pia kwani...
Tumeongea sana leo kwenye kipindi baada ya dada mmoja kulalamika kuwa mumewe anatabia akirudi nyumbani anazima simu na yeye akiona simu imezimwa hujaribu kwenda kuiwasha na kutaka kupekuwa sasa...
What is Audit? Once upon a time there was a shepherd looking after
his sheep on the side of a deserted road. Suddenly a brand new Porsche
screeches to a halt. The driver, a man dressed in an...
We often don't feel
Love each and every day
Just the same it's there
And will never fade away
Just like the ocean tide
Coming in and going out
At times our love's so strong
Other times is...
Wadau inasikitisha kuwa baba wa mika 30 amekibaka kitoto cha miaka 10 maeneo ya kigogo na hii ni mkwa mujibu wa wapo radio jana asubuhi kwenye kipindi cha Patapata. Mpashaji alisema kuwa huyo...
utakuta mtu ana mke tena nzuri kweli kweli huduma kumpa mkewe ni utata lakini hata chakula cha watoto tabu lakini akiombwa huko nje na micharuko anaonesha ufundi wote wa kuhonga waki nyumba kwake...
Kuna tukio moja nimeliona hivi karibuni hapa mtaani kwetu, kuna dada mmoja alikuwa ana bf wake wa siku nyingi sana na ikatokea yule dada anachumbiwa na mtu mwingine kabisa na ana nia nzuri ya...
tuangalie kwa kina mambo yanayochangia tatizo hilo la upungufu wa nguvu za kiume.
Uzoefu katika vituo vyetu vya Marie Stopes kina mama ndio huja kutafuta ushauri kwa nini mzee kabadilika na...
Mke kapata safari nje ya nchi, (training) safari hiyo inahusisha kikundi cha watu sita kutoka Tanzania,(funded trip) siku moja akiwa nyumbani kwake na mumewe anapigiwa simu na mmoja wapo wa wale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.