Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Kwa sababu yoyote ile, iwe ni kwa kuteleza au kwa uchakaramu wako, lakini mwenzako amegundua au ana wasiwasi nawe kuwa si mwaminifu katika mahusiano na akaamua kukuuliza kutaka ukweli. Jee...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Ni akina nani wanaowashawishi au kuwabembeleza wenzao kuoa kati ya wanaume na wanawake? Ni swali rahisi sana kulijibu, kwani karibu kila mtu anajua jibu lake, labda anachoweza kushindwa kukijua ni...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hivi mashoga wanapo asili (adopt) mtoto tutarajie nini kutoka kwa mtoto huyo atakapo kuwa mtu mzima?
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Hizo kucha zenu ndefuuu kwenye mikono yenu haziwazuii kweli kufanya kazi au ndiyo tutaishia kula Burger badala ya ugali kwa bamia? Nguo zinafulika kweli au ndiyo kazi za House Girl? Maana girl...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
a Katika mahusiano ni jambo ambalo linawezekana kwa mwanamke au mwanamume kumbadilisha mwenza wake kutoka tabia mbaya kwenda nzuri lakini ni muhimu kuzingatia yafuatayo, unapotaka kufanya...
9 Reactions
108 Replies
16K Views
kwakweli mimi huwa nikiwaza swala zima la ndoa huwa nadata kabisaaaa coz hawa wanaume macho juu juu sana na mimi nina wivu hatari kwakweli naona nikiolewa nitaozea lupango.sitaki mtu acheze na...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Kuna baadhi ya wanaume hufika menopozi wakiwa na miaka 40 na kuendelea. Lakini kuna vibabu vina zaidi ya miaka 80 zinaoa na vinazaa. Je na mimi nifanye kipi ili niendelee kufaidi tunda hadi uzeeni?
0 Reactions
17 Replies
3K Views
kuna haka karesearch nimekaona mahali eti wanaume wenye ndoa katika katika10 -8 wanatoka/wanatamani wanawake wa nje wanawake ambao hawajaolewa asilimia 90 wanatamani kuolewa wanawake...
2 Reactions
82 Replies
6K Views
Nikizoa taka za Sinza, naweza kupata zaidi ya konom zaidi ya mia tano, lakini nikizoa taka Temeke kata ya 13, nakuta kondom tatu au tano. Je Sinza ndio wazinzi sana, au Sinza ndio wanajali sana...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Ni mengi mno. Wale uncles (kondaktaz) huwa wana tabia chafu sana. Vile vitoto vinavyo anza kuota matiti vimekuwa vikichezewa na kushikwashikwa maziwa na makonda hao, haswa wanapokuwa ni wa kwanza...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Binti yangu ndio kwanza ametimiza miaka 7 mwaka huu, lakini amekuwa na mabadiliko makubwa sana kitabia. Ni mwaka huu ndio ameingia darasa la pili na amekuwa ni mdadisi na mbishi kupindukia. Kuna...
7 Reactions
70 Replies
6K Views
Salaam wana JF, Je ni sawa kwa mwana ndoa kua na rafiki wa kike. mwalionaje hili wana JF
0 Reactions
15 Replies
2K Views
wanajamvi nimekutana na mkasa huu nikaombwa ushauri nikaona nililete jamvini kupata mawazo zaidi.. Jamaa analalamika kuhusu mabadiliko ya tabia ya mkewe hasa makundi na ulevi . wameishi kwa...
0 Reactions
46 Replies
3K Views
ROMANCE MATHEMATICSSmart man + smart woman = romance Smart man + dumb woman = affair Dumb man + smart woman = marriage Dumb man + dumb woman = pregnancy OFFICE ARITHMETIC Smart...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari za majukumu waungwana wa JF? Naomba busara zenu kuhusu athari za kimahusiano zinazowezekana kujitokeza iwapo mume na mke au mtu na mpenzi wake wanafanya kazi sehemu moja. Mfano, wote ni...
1 Reactions
17 Replies
5K Views
How To Have An Affair | The Guide If you’re reading this, there’s a strong chance you’re considering cheating on your spouse – but not leaving him / her. Deciding to have an affair is a personal...
0 Reactions
0 Replies
896 Views
Jamani baa yoyote ni muhudumu kwajinsi navyojua au baa nilizotembelea kuna baa zinawahudumu hata ukiwa unakunywa na macho yanakunywa siyo mdomo tuuuu!! Baa ya Rombo view,Brake point town...
4 Reactions
94 Replies
10K Views
Jamani wadau wa hili jukwaa la MMU nilikuwa na rafiki yangu mahali tupata kirauli mitaa ya Oysterbay kuna baa inaitwa Trinit sasa jamaa akaniambia unamuona yule dada ana jamaa tunafanya naye kazi...
1 Reactions
36 Replies
3K Views
I was a very happy man. My wonderful girlfriend and I had been dating for over a year, and so we decided to get married. There was only one little thing bothering me...It was her beautiful...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom