Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Juwa kwamba maisha ni uchizi.! Nina sababu kumi kudhibitisha hili_ Kwani kila siku; 1.Unachotaka hukipati(MAPENZI) 2.Unachokipata hukifurahii (NDOA) 3.Kinachofurahisha hakidumu...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimewiwa kuuliza hili hiivi wakati wanandoa mkiwa mnakula lile tunda wengi wamekuwa wakisema nanii wenzao wanafunga macho na wengine huanzia hata wakati wa romance na mpaka unapoanza kumantain...
2 Reactions
57 Replies
5K Views
Unakuta binti ana b/f wake tangu akiwa level za sec, boy anajiweka kwa binti kiukweli koz anategemea badae flan aje awe wife!!jamaa anamsapoti binti mpaka kufikia level ya chuo!!baada ya kujoin...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Imagine what life would be like without the pain of disappointments, betrayals or heartbreak, imagine how free would everyone be, imagine every single person you meet has your best interest at...
0 Reactions
1 Replies
825 Views
Wapendwa wadau naomba msaada wenu wa mawazo, hivi inawezekana kweli ukapata mapenzi ya kweli kutoka kwa msichana ambae hajaolewa na wewe umeoa na anajua hilo, lakini wewe(mwanaume) ukawa na upendo...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Namshukuru Mungu kwa ajili ya akina dada/mama mlio wengi humu mlio na vipato na mnaochangia matumizi katika Masuala ya familia. Hata hivyp naomba ninene na Mwajuma, akiwakilisha kundi la akina...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
What changes when you have a baby? Or say: What doesn't change after you get a baby? 1.You finally stop to smell the roses, because your baby is in your arms. You find your baby smells better...
2 Reactions
39 Replies
3K Views
Nchi nyingi za Ulaya na Amerika ya Kusini ni kawaida kwa mwanaume kulala chumba kingine na mwanamke kulala chumba Kingine. Jee kibongo bongo inawezekana (kama mna nyumba kubwa) mwanamke kulala...
0 Reactions
50 Replies
4K Views
Ni wiki ya pili sasa toka nipate ombi hilo kutoka kwa rafiki yangu wa karibu sana. Hilo limekuja baada ya kupata uthibitisho wa vipimo vya kitaalamu kutoka Hospitali Kuwa hana uwezo wa kupata...
0 Reactions
98 Replies
8K Views
Mpaka miaka ya hivi karibuni mambo ya uchumba yalikuwa hayawezi kufanyika bila ya kuwepo wazazi na familia. Mitoko mingi na kualikana ilifanyika majumbani wakiwapo wanafamilia wote. Kujitokeza kwa...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
wangu nikiwa nae kwenye mpango mzima wa chakula cha usiku kwa watu wazima, hataki kabisa kuona taa inawaka,..na mm napenda iwake taa kiasi kwamba ninaona kila kitu kwa macho yangu...ishu hii...
0 Reactions
42 Replies
7K Views
Hiki ni kisa cha kweli cha rafiki yangu ila jina la muhusika ndio nimelibadilisha. Naandika kwa masikitiko sana kwa jinsi hali aliyonayo sasa hivi inasikitisha sana nafikiria ila kichwani mwangu...
13 Reactions
157 Replies
9K Views
Samahani kama ni muathirika wa hili?? Lakini tupo kwenye research mmejiuliza kwa nini wanaume wanakonda wakiachika
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Najua wazoefuwako wengi ila penzi alina exp jamani vyema kukumbushana sana ..kuna watu wakianza kula lile tunda wanakuwa na furaha sana sana na baada ya tunda wanasahau kupongezana kwa shuguli...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimekuwa nikilitafakari hili na kwa kweli kuna maswali huwa najiuliza ila leo nimeona niwaulize wana MMU. Kwanza kabisa napenda ieleweke kuwa nachukizwa sana ninapoona mtu mzima anamtongoza mtoto...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Asilimia nyingi za wanaume wa jamii yetu hawawezi kuwasiliana au kumsaidi mtu wa jinsia tofauti bila kumtongoza,na kwanini tabia hii ipo kwa wavulana tu?na kwa nini ipo ivi?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Huna hili wala lile unasikia ujumbe umeingia kwenye simu yako ya mkononi, unaifungua na kukutana na sms yenye jina na namba ya mkeo huku ujumbe wenyewe ukisomeka hivi: "kweli nimeamini kwamba wewe...
1 Reactions
49 Replies
5K Views
Three days. That’s how long it took me to sit down and write this. Every night I spend around 5 hours online trying to run away from this and end up sleeping at 7 am without actually getting the...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Najiuliza, lakini sipati jibu. Kwa nini madume ya ng'ombe yakitoka malishoni hukaa nyuma na majike hukaa mbele? Najiuliza kwa nini simba dume anaitwa King of the Jungle, lakini jike haitwi Queen...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Back
Top Bottom