Mara nyingi ukimtaka msichana kimahusiano ya kimapenzi huuliza UTANIOA au unataka kunichezea tu? kwa mfano msichana kama huyo ukimwambia ndiyo nitakuoa halafu ukishamaliza mambo yako...
Nitabaka gani linaongoza kwakuvunja ndoa?Maana naona mtu kaolewa mwezi kaachika je msababishaji ni nani??Mume mke??
Au siku hizi ni fashion kuingiza na kutoa??
Yaweza kuwa ni mpenzi wako au mke wako au mama wa watoto wako; linatokea tukio ambapo anabakwa (ujambazi, kuvamiwa, kutegeshwa n.k). Na anakuja na machozi na kukulia na kusema tukio hilo na ni...
Tatizo hili hufahamika kama Female Infanticide, yaani mauaji ya kukusudia yanayofanywa kwa mtoto wa kike. Achilia mbali kile kitendo cha mtoto kuuawa muda mfupi tu baada ya kuzaliwa, utelekezwaji...
Hv majuzi niliweka tatizo langu jamvini juu ya kupoteza mud ktk tendo la ndoa. Nawashukuru wanajamii ushauri wenu wa umenisaidia na sasa nimeanza kufurah unyumba wangu na kujiona narudi uwanjani...
Ni kweli kwamba wacchana 2 ndo wanaochezewa katika mahusiano na kupotezewa mda?
maana mara baada ya kutokea mikwaruzano ya hapa na bale na kupelekea kuachana, mara nyingi wasichana hutoa lawama...
Ndugu wanajamvi tumejadili sana katika jukwaa hili sababu zinazofanya baadhi ya wanaume wawe na 'nyumba ndogo', na baadhu ya wanawake wawe na 'vidumu'...
Naomba tugeuze hii sentensi upande wa...
Kweli demu wako akikuacha akaolewa alafu tukio hilo alikufahamisha ukakubali aolewe, sasa anarudi anakuambia eti siku hadi siku hawezi kuishi na mme wake kwani anakuhitaji aishi na wewe, akidai...
Hivi huyu (nyamayao) mdada yuko wapi siku hizi maana kusema ukweli kuna kitu kikubwa sana nilichojifunza kwake hasa kuhusu nafasi ya mtu katika mahusiano.
Tangu nimsome nyamayao, mabandiko...
nipo katika semina na watu wa AMREF morogoro katika takwimu waliyofanya wametwambia kuwa IRINGA ni mkoa unaoongoza kwa maambukizi ya ukimwi kwa 14.8% na ikifatiwa na DAR ES SALAAM 8.7%...
A man breaks into a house to look for money and guns. Inside, he finds couple in bed. He orders the guy out of the bed and ties him to a chair. While tying the home owner's wife to the bed the...
What is up JF? ,ukitaka kuanzisha mahusiano na msichana mkikubaliana tu,tafadhali nipigie,tafadhali niongezee salio na beeping zinakuwa nyingi ina maana wanawake huwa wa2geuza wanaume kama micro...
Hi guys!!!
Natumaini wote mu-wazima.
Kuna habari nimesoma leo ikanisikitisha sana na ndio haswa iliyonisukuma hata kufikiria kuanzisha hii mada.
Kwa ufupi ni kwamba kuna dada wa kiKenya aneishi...
HI wana jamvi ni kipindi kirefu kidogo sana nilikuwa mabali kidogo na ninyi dungu zangu, ila niko safi na pia matumaini na ninyi mpo safi pia
tatizo langu linalonofanya niwaze kwa sana ni kuwa...
Nimekuwa naisikia sana hii theory, sasa wajameni kufanya kazi sana kunapunguza uwezo wa kushughulika kwenye yale mambo ya utu uzima? Maana kama ni hivyo mi ntapata tabu maana mpaka sasa niko...
Sio mimi Mtambuzi, bali hata utafiti uliowahi kuripotiwa kwenye jaridala That's Life! ambalo huaminika kwa kuandika habari za wanawake ulithibitisha juu ya jambo hili.
Imebainika kwamba, wanawake...
Wapendwa
Ni matumaini yangu mlikuwa na weekend yenye Baraka.
Mimi wiki hii MwanajamiiOne nimeianza kwa uchungu huku machozi yakinitiririka barabarani asubuhi wakati nakuja kibaruani. Kwenye...
Wana JF, imekaaje hii? Kuna baadhi ya wanadoa waliopima na kuonekana negative wakati wa kufungishwa ndoa, lakini in a long run, wanpima na kupatika wakiwa HIV postive. Hawa virus wanakuwa wametoka...
Nimefanya observation nikagundua kwa kiasi kikubwa mara kwa mara hawa members wakianzisha thread hapa MMU zinachangiwa sana, sasa huwa najiuliza swali ni kwa kuwa wanafahamika kwa members wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.