Jamaa yangu mmoja aliwahi kuniambia kwamba wanawake kuumwaumwa ni aina yao ya kudeka ili wajue kama mwanaume unampenda kweli au magumashi. Pia siyo kila kilio cha mwanamke ni kilio cha kweli...
MAEMBE YA KWETU MATAMU, YAKIDONDOKA YENYEWE!
Maembe yalodondoka yenyewe
Maembe yetu matamu, matamu yanipa hamu
Ladha yake ni adimu, yana vigezo muhimu,
Si machachu kama ndimu, yanataka...
Inaelezwa kwamba wanawake wa mjini ambao hawana simu, wanapoanzisha uhusiano na mwanaume ambaye ana simu, kauli ya, kama ningekuwa na simu ingekuwa vizuri sana, hujitokeza.
Kuna idadi kubwa ya...
Mimi ni kijana under 30yrs niko na ndoa 2 yrs now,ila tatizo linalonisumbua nahis nampunja mwenzangu japokuwa hakuwah kulalamika ila ckuwahi kumckia akisema,baaac imetosha.Tatizo langu ni kuwahi...
Kuna hofu nyingi kwa wanawake kudhani kwamba hawatapata wapenzi kwa sababu hawana matiti mazuri, hawana pua au midomo mizuri, hawana miili ya Kizungu, hawana mguu wa bia au hawana kiuno cha...
This is a true story of Mothers Sacrifice during the Japan Earthquake.
After the Earthquake had subsided, when the rescuers reached the ruins of a young womans house, they saw her dead body...
Ashakum si matusi Wahenga walisema mficha uchi hazai hili ndio naliepuka mm. ivi karibun nimejiona ninakasoro ktk majambozi ye2 ya ndani nikipiga moja2 sipand tena na hata nikijilazimisha itapanda...
ni ijumaa nyingine, namshukuru Mungu. nahisi upungufu mkubwa mwilini, Kuna kitu nimekosa,. Huzuni imenigubika siku 21 zilizopita ila leo nimeamua liwe liwalo lazima nikamuone mpenzi wangu, asali...
Jamani wana MMU kuna ndoa zomevunjika nimezishuhudia zaidi ya 3 na zote ukizisikiliza kesi zao nimwanaume kutokuwa mwaminifu yaani kuwa na nyumba ndogo au kutoka na wanawake tofauti tofauti nje ya...
Habari,naomba kupata ufafanuzi juu ya hili jambo,katika mahusiano ya kimapenzi ikatokea kukawa na kutoelewana kwa jambo fulani baina ya wapendanao (wana ndoa nk),je sex ni njia mojawapo ya kuondoa...
Kwanza nakupa hongera kwa kuuona mchana mwema huu wako wengi wanapigania roho zao
pale icu shaka umebahatika tu si kwa mema uliofanya
labda niende kwa wataalamu wa nyumba ndogo katika hili waweza...
Wandugu nawasalimu kwa jina la JF!
Jamani wanajf naomba tumsaidie rafiki yangu. Huyu rafiki yangu ana watoto wake wawili wanaopishana mwaka tu kati yao, mmoja ana miaka mitatu na miezi 11 na...
Naomba niwaambie jambo moja. Miongoni mwa mambo ambayo humkera mwanamke ni kukutana na mwanaume mwongo na anayejikweza. Mwanamke na hata mwanaume hupenda kitu au mtu asilia na sio mtu feki...
A Man buys a lie Detector Robot which slaps people who lie...
He decides to test it one evening at Dinner. So he asks his son.
>>>>
>>>>''Where were you today during school...
Wana JF naomba msaada wenu kwa hili'nipo kwenye mahusiano ya zaidi ya miaka2 sasa'mpnzi wangu yeye amfanikiwa zaidi yangu'ana gari,tatzo ambalo mi linanikwaza vtu vyake ananipa kwa masharti sana...
hivi kwa nini wanaume wengi ni wagumu kukiri udhaifu, makosa au kukabali kuwa kuna vitu hawavijui mbele ya mwanawake?, nimeona kwenye mahusiano huko ndio balaa,inahitaji hekima kumwambia mwanaume...