Mwanamke unayempenda unamweleza vile unavyojisikia juu yake ila ujue ukweli.
Inapaswa pia na wale tusiowapenda (tunaowachukia) tuwaeleze vile tunavyojisikia juu yao ili wajue ukweli.
Kwanini...
Ni galfrd wa rafiki yangu kipenzi ambae 2mekua 2kisaidiana v2 mbalimbal tangu utoton,nlianza kuzoeana na huyu galfrd wake tangu mwaka 2009,mazoea yakawa mazoea,cku ya kwanza alinambiaga anataka...
Ni asubuhi njema natumahi.
Mara nyingi tumekuwa tukipata compliments nyingi makazani pale tunapokuwa tumefanya vyema kwenye kazi. Compliments zinaweza toka kwa wafanyakazi wenzako na hata kutoka...
Sex strike brings peace to Filipino village
CNN) -- A group of women in a violence-plagued area of the Philippines came up with their own weapon to end the fighting -- a sex strike.The women...
Habari za uzima wana JF,
Kuna jambo linanitatiza sana pale unaposhuhudia mke/girlfriend au mme/boyfriend wa mtu anaendeleza uhusiano wa kimapenzi na mpenzi wake wa zamani au mpenzi wake...
Wadau wa MMU tumsaidieje huyu?
"Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 22, ninakaa na dada yangu hapa jijini Dar ambaye ameolewa na wana mtoto mmoja na kwa sasa dada ni mjamzito tena. Mimi...
Ndugu yangu mtu mzima sana ananizidi umri, siku nyingi nikiwa nae alikuwa anaonekana mwenye mawazo mengi sana (hakuwa anasema kinachomsumbua), hivi karibuni aliibukia kuwa mnywaji sana wa pombe...
Kuna jamaa alipigiwa simu na mwanamke wakati wamepumzika na mkewe. Jamaa alimjibu uyo mwanamke ntakutafuta baadae. Mkewe akahoji ni nani uyo? Jamaa akajibu ni mjinga flan na ni demu wa rafiki...
Kwenye maisha lazima utahitaji kuvijua vitu fulani kwa undani (Udadisi) ili kupunguza mawazo juu ya hicho kitu na kukielewa vizuri,
Leo naomba kufahamu juu ya uvaaji wa pete mbili kwa akina mama...
Nilikuwa mpambe wa bw. Harusi, Tulienda kijiji fulani ( ..) Baada ya kukamilika taratibu
zote ukafika muda wa unyumba ambao bwana Harusi alitakiwa kukutana na mkewe
Kwanza kikatandikwa kitambaa...
jaman kuna msichana m1 ninampenda sana, nilivyokutana nae kwa mara ya kwanza nilijua yeye ndiye atakuwa my wife tatizo siku ya kwanza kwenda kuchakachua niliyoyakuta huko noma unaambiwa kinu kina...
Tamaa ina changia, binti anajikuta anahitaji nguo nzuri, viatu, hand bag na amechishe kuanzia hereni, nguo, viatu, mkoba mpaka nywele, halafu mtu wenyewe masikini wakati kilasiku anahitaji...
Habari ya mapimziko.
Mapenzi ni ujinga na ujinga huu ndio unaonisumbua.
Ni kawaida yetu mimi na wangu mwandani kunyoana kila jumamosi ya katikati ya mwezi na mwishoni mwa mwezi.
Kilichonikera...
MMU Members hamjambo? wikiend iko vipi?
Sina mengi ya kusema kwa leo bt nataka kuwapa ZAWADI, hii ni kama dedication yangu kwenu kwa upendo wenu na urafiki wetu tunao uonyesha humu jamvini...
Mtu atamwacha baba na mama na kumfwata mumewe
alichokiunga MUNGU mwanadamu awezi kukitengenisha
Tangu Mwanzo mpaka kitabu cha ufunuo sijaona Mungu aliumba kaka na dada ama mjomba na shangazi ama...
Baada ya kuwa na aina tofauti tofauti za uhusiano nikitafuta furaha na ule upendo wa wawili ,nimeishia kuvuruga hata ile furaha nliyokuwa nayo !nachukua likizo fupi ya kujipenda let me see if i...
habari wana jf,
kuna bar moja huwa napendelea kushinda kwa siku za ijumaa, jmosi na j2 kwa kupata maji ya baraka, chakula na kutazama soka. kuna baamedi mmoja tumezoeana sana.yaani imefika wakati...