Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Jamani nimetumia akili, nguvu, juhudi, jitihada, maarifa na kila kitu ili mradi tu afurahi; lakini sina hakika kama nimegonga mwamba au ni kwamba ameamua tu kuniumiza. Ndio kusema hanitaki? Au...
1 Reactions
151 Replies
11K Views
Jamaa kazoea kuwarusha mabinti wa watu ukuta sasa naye anawaota hao warembo nao wakimrusha ukuta kwa kutumia dildo..........................lol...........................anadhani ni popo...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Nduguzanguni mficha uchi hazii au mficha maradhi kifo humuumbua. mimi ni mwanaume niliyeoa miaka 3 iliyopita, tumebahatika kupata mtoto 1 wa kiume umri 2yrs. Huyu mke wangu anasauti kuliko mimi ...
1 Reactions
62 Replies
5K Views
Mke wa rafiki yangu anataka anipe dawa ya kuacha pombe nimuwekee mumewe yaani rafiki yangu kwenye pombe.ananibembeleza hadi imeshakua karaha.kisa akilewa anamsumbua na hatimizi malengo sababu ya...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
hadi sasa hivi hawa wasichana wa kileo sijawaelewa lengo gani.mimi napenda niwe na mwanamke mmoja mwaminifu.lakini asilimia kubwa ambao nimewatongoza hawataki kuwa kwenye uhusiano.wenyewe...
1 Reactions
46 Replies
4K Views
Nina rafiki kigeugeu,alafu hypocrate. And she's ma best friend.what should i do 2 avoid her?
0 Reactions
49 Replies
4K Views
Kanidokeza kwamba huwa yeye akitaka kunanihii hataki kumask ile tree yake kwa sababu inakua kama ubuntu.hvyo ili yeye aenjoy lazima iwe kitu pure leather na yuko tayari ile flash yake ipate...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
September 8, 2011 ...Ofisa baada ya kukutwa gesti na mke wa mtu. Na Mwandishi Wetu OFISA wa Mahakama ya Uhalifu wa Kivita nchini Rwanda (ICTR)...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Angalia utabiri kutokana na majina yenu namna gani mnafit kwenye mahusiano Love Calculator Angalizo: Just for fun don take it seriously!!!
0 Reactions
60 Replies
6K Views
Habari JF! Hii inakuaje? Jamaa haishi kuwabadili wachumba lakin mke akioa ni mwezi utasikia ametengana nae! Anatatizo gani huyu?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Matatizo ya ndugu au wazazi kuingilia ndoa ni suala linalotajwa sana katika kuvunjika kwa ndoa nyingi. Wengi wetu tunajua kwamba kwa mila na desturi zetu(ambazo ni potofu hata hivyo) ndoa inakuwa...
2 Reactions
21 Replies
7K Views
Natumaini wote mu wazima, Tafadhali naomba mnisaidie kweli nahitaji ushauri. Mimi ni msichana, Nina mpenzi wangu tumeanza nae uhusiano wa kimapenzi mwanzo wa mwaka huu na kabla ya hapo tulikuwa...
0 Reactions
82 Replies
6K Views
Hivi wale wanao anzisha uhusiano kwanza wanaanza kutamaniana au wanapendana? Mi binafsi naona kama tamaa then baadae unapenda au waonaje?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nina gf wangu kila cku ninapowasiliana nae ananicctizia nisije NIKAMWACHA.sa kutokana na kulirudia hlo neno mara kwa mara,me naanza kuhic ananizuga 2 ili nimuone ananipenda sana.je hzi fikra zangu...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Ningeomba kusisitiza tena kwamba hupaswi kuwa mtumwa wa mwanamke au mwanaume. Leo hii kuna wanawake na wanaume ambao maisha yao ya ndoa yamekuwa ni jela zao wenyewe. Wanaume na wanawake hawa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Imefikia wakati wazazi lazma tujue mahusiano ya watoto wetu. Si wakati wa kuwafanya watoto kujificha. Mahusiano si mabaya ila mabaya ni matendo yanayofanyika ndani ya mahusiano. Ni bora...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habar ya wakti huu wanajamvi, naombeni mnipe njia za kumsahau mtu mloachana ukiwa bado unampenda coz naumia kupita kiasi jamani najitahidi kila namna nimsahau lakini wapi tuna mwezi na nusu sasa...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Wadau, habari za jioni? Naombeni ushauri wenu katika hii ishu kuna binamu yangu mtoto wa shangazi yangu anataka kunifanyia uhuni kwa Girlfriend wangu. Nina Mpenzi wangu ambaye tumeanza kuwa na...
5 Reactions
43 Replies
4K Views
Happiness is what u perceive..Have ur own checklist and once a substantial part of it is fulfilled then you are Happy!... Be happy my friend, cause no matter how long we wait, the World is Not...
13 Reactions
70 Replies
5K Views
Wanajf natumai mkop poa,kama sijakosea nadhani kuna wazazi humu na natumai itasaidia japo kidogo...samahani kama ntakua nimekosea sehemu ya kupost........ Can you relate? If so, here are eight...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…