Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

wakuu,<br /> huwa nasikia inaongelewa mara nyingi lakini siamini,mwenye uhakika wa hili suala atujuze tusiofahamu.<br /> Nawasilisha..
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwa nini ni rahisi sana kwa mschana/mwanamke kubadili imani yake (dini, dhehebu) ili kuwa na mpenzi(mwanaume) fulani..?
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Mara nyingi nimekuwa nikifuatilia threads zenye kuuliza mapenzi ni nini??? Lakini,baada ya hivi karibuni kumpata mwandani wangu,baada ya kusota bila mafanikio humu jf aliniuliza nini maana ya...
3 Reactions
111 Replies
6K Views
pamoja na kuwa na kampeni kutokomeza ukimwi watu wanazidi kufa, hawatumii CONDOMS, sababu 1. Aibu, wengi ni vijana wadogo na wengine ni wazee wenye heshima zao, so kwenda kuagiza kondom...
5 Reactions
54 Replies
3K Views
Relationship is like a book,it takes years to print but seconds to burn,so print your relationship carefully and never let it burn.
1 Reactions
18 Replies
1K Views
Nimechoka na kero za mpenz wangu.nikaamua kumwambia "it ova" na kuitupa ring yenye thamani kwenye dampo..mana nimeona kuuza c vizur.bora nitoe uthaman.
1 Reactions
87 Replies
7K Views
unawez ukakaa kw mud mref bil y kuwasilian n mpenz wak?s dat lv o 2nadanganyan
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mpaka rangi, Mzaire wa saluni, taxi driver, muuza genge, muuza chips, mwalimu wa mazoezi yaani hawa jamaa ni noma kidogo kidogo unaweza ukakuta anammega umpendaye. Hawa wana mivuto sana kwa...
2 Reactions
73 Replies
6K Views
I wish falling in love had traffic light so people would know if they should go,slow down or just stop to avoid heart accident.
2 Reactions
10 Replies
1K Views
JAMAA FULANI BOX NI HUKU HUKU KITAA 26th 08 2011. KITAA. MWILI WA BINADAMU. MOYO . Mpendwa, YAH:KUINGILIA MAJUKUMU AMBAYO HAYA KUHUSU. Tafadhali...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
khabari za sasa wana jamii wa jukwaa hili. Kuna swala nmelifkiria kwa muda sana inabidi niwashilikishe tu. Ilianze kipindi kile cha xtream ya tigo(unlimited msgs),ikifika tym ya kulala msg...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
h Ndugu zangu mwezi uliopita nilifika Nyumbani Tanzania na kwa Neema ya Mungu nikajipatia Mke mwema
4 Reactions
51 Replies
5K Views
mimi ni mwanamke n nilikutana na mkaka mmoja sijui alinipenda au alinitamani alivonitongoza kabla sijamjibu kuna siku akanipigia simu nasimu ya rafiki yake tumiit somewhere nilienda na akaja na...
2 Reactions
107 Replies
59K Views
Hebu chukulia kwamba, una mtoto ambaye umempeleka shule ya kulala au bweni. Huko anaishi hosteli na sio kwenye bweni. Halafu unashangaa kwamba, maendeleo ya mtoto kitaaluma hayako sawa na pia...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Ni kweli kwa wadada huwa wanawapenda sana wapenzi wao wale waliowakaribisha kwenye ulimwengu wa mahaba kiasi kwamba hata kama walikuwa wameachana mchizi akirudi lazima awin love? na ww uliyepo...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
hivi humu jf kuna chatroom? kama ipo naomba mnielekeze jinsi ya kujiunga.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ushauli kwa vijana ambao hamujaoa zingatia kuchagua wachumba, achana na wasichana wenye madigree wasumbufu kinoma kitabia(bad behaviours) , kama unaye pole na muombe mungu atakusaidia uishi nae...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Leo nimeumia mno na tukio moja la kusikitisha.... Roho imeniuma mno.... Kijana mmoja anaeishi na babake kafariki kwa mda wa sikut zaidi ya tisa ndani bila kutambulika... In brief huyo kijana...
9 Reactions
36 Replies
3K Views
Here are couple of questions ask yourself: 1.Do you workout at least 3times a week 2.Do you try to upgrade yourself constantly 3.Do you try to excell yourself in every area of yourlife...
0 Reactions
5 Replies
893 Views
Nimefikiria haya maisha nimeona ni mafupi sana kutokana na mambo yanayotokea katika nchi yetu na katika jamii kwa ujumla ajali/ufisadi na magonjwa na mambo mengi mengi!! nimetamani sana JFs wa...
0 Reactions
31 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…