Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Ni kweli kwa mtazamo wangu na utafiti wangu waafrika wengi wanapenda sana kufikiria masuala ya mapenzi zaidi kuliko masuala ya maendeleo zaidi,mfano watu wengi wakiwa na mawasiliano ya jinsia...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Natafuta girlfriend 18 and above ambae yupo tayari anitumie PM
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nisaidieni jamani kwani naweza kuwehuka. Ni wiki ya pili sasa tangu nianze field ktk shule moja huku Kilimanjaro. Cku 3 za mwanzo ckuona shida kwani ckupata usumbufu ila kuanzia jtatu nimeanza...
0 Reactions
52 Replies
4K Views
Jamani me mpya hapa ila nimeshangazwa na large number of coments ktk post tofauti tofauti wanawasema wamachame hasa wadada vibaya! Mume kapigwa vibao na mkewe...mmachame, mke hachangii matumizi ya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Salamu wanawake Mliomo humu JF! Nina swali moja kwenu. Je unapotongozwa na mwanaume mgeni kwako ni vitu gani unapenda kujua kuhusu yeye lakini unaogopa kumuuliza directly (siku alipokutongoza)...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Katika harakati za kujipanga na kujiandaandaa,mwanaume kukaa kwa dadako aliyeolewa, wengi hawapendi na jamii inamchukulia kama "he is not man enough"yuko tayari kuishi hata kwa rafiki kuliko kwa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ni wiki Kadhaa Tangu mpenzi wangu anipige Kibuti katika mazingira ya kutatanisha. I just met another woman whoa I have been dating for the last two weeks now. Nimekuwa nawasiliana nae mara...
0 Reactions
110 Replies
7K Views
"Mwanaume kila kitu unachomwambia yeye ni sawa tu,na hata ukimkosea haonyeshi kukerwa na kosa_aaah mwanaume gani wa hivyo bana,mwanaume ni lazima achukue nafasi yake bwana"....siyo maneno yangu,ni...
0 Reactions
71 Replies
8K Views
Mtu anakupamba kuwa demu wako mkali..mara ooh shemeji naona unapendeza.. Mwisho wa cku anakusaidia kukandamiza.. ..
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Jamani wa jamii, naombeni ushauri wa bure Mke wangu kanicheat kwa wanaume mbalimbali, nilipomwuliza mara ya kwanza ilkataa na kutaka kuapa through bible, baadaye baada ya kumbana na kuleta...
0 Reactions
102 Replies
8K Views
Wandugu nimeobserve ki2 kimoja nadhani mtakubaliana na mimi. Lately heshima kwa wababa imeshuka sana tena hata kuliko kwa vijana wa 25-35 kutokana na tabia za kifataki zilizokithiri. Siku hizi...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Hivi imeshawai kutokea msichana mmoja akatembea au kuzaa na mtu na kaka ake. Au x-wife wa mtu akaja kuzaa na mdogo wa aliyekuwa mume wake? AU Imeshawai kutokea kaka mmoja akatembea au...
0 Reactions
49 Replies
4K Views
Jamani yamenikuta mwenzenu leo baada ya kumjibu rafiki wa boyfriend nimefanya kazi mpk kiuno kinauma!eti naulizwa nimemjibu hvyo ili anisaidieje??punguzeni wivu jama khaa!
0 Reactions
48 Replies
4K Views
Kuna thread iliwah kuletwa humu,bahat mbaya niliipoteza.kimsing inafanana na hii nataka kuwauliza..kuna rafiki yangu ana grfnd wake muda sasa wako nae.na ana mpango wa kumuoa kabisa kwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni kweli watoto wanalelewa pasipo baba yao huwa anti-social? Soma hapa chini Without dads, kids grow up to become anti-social A new study has shown that fathers play a crucial in the...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Wana JF heshima kwenu wote, nimekuwa nikifuatalia visa na mada mbalimbali humu kwa muda na kuvutiwa sana. Hivi kibongo bongo haiwezekani kuwa na partner wa opposite sex ambae hakuna relationship...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
kama ni msichana ukiwa una date na mwanaume mdogo unajifeel unconfortable kwenye iyo relationship hata kama anakupenda, jamii nayo midomo juu ukidate na mwanaume wa rika lako mwanaume anaringa...
0 Reactions
40 Replies
3K Views
nahitaji kuwa na binti wa kuwabadilishana mawazo
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Is it true that broken heart is like a dog bite,the pain will go but the scar will last forever?i believe so, and what abt u friends?
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Asalaam, kuna mshkaji ana dem wake wameishi takribani miaka 3 na wamebahatika kupata mtoto. Kutokana na maelezo ya mshkaji ni kwamba dem ndio alipenda kuzaa wakati mchizi bado hajaamua, basi msela...
0 Reactions
35 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…