BOB MARLEY'S OWN WORDS ON LOVE... hope you learn something....
"Only once in your life, I truly believe, you find someone who can completely turn your world around. You tell them things that...
Nina girlfriend wangu ambaye nimekuwanaye kwa miaka mitatu sasa.na tumeishi muda wote kwa upendo.jana alikuja kunitembelea,wakati wa maongezi na stori za hapa na pale ndipo nikashka simu yake ili...
Wasichana wao mshipa wa aibu ulishakatika...... Kiasi kwamaba hata kama mna Kiss(denda)... Binti anatoa mimacho tu ka balbu...yaani hata aibu ya kuzuga kwao ni zero!! msaada tafadhali... nipo...
Can this be really? To me, ni ungamo la kiibirisi!!
KAMA WEWE NDIO MUMEO UNAFANYAJE??
Mke wangu mpendwa!
Nimekuwa nikiandamwa na msongo wa mawazo siku za karibuni kwa kuwa sasa nadhani...
Ndoa za siku hizi hazidumu, kina dada wengi hawajui mapishi, hawawezi kujisafisha na kuweka nyumba zao katika hali ya usafi.
Hawajui mahitaji ya waume zao, hawajui kuwatunza wala kuwaridhisha...
message for those who wish to have real love!!
Dont take my word, Little bird,
For I'm just like a child
That speaks to imitate,
Repeating after its mate
''I love you, I love you''
These...
Mwili wa binadamu ni wa ajabu maana kunamaeneo maalumu ambayo yakiguswa lazima msisimko upande. Wengi wamezoea kuwa hilo lipo kwa wakina dada tu, ila unajua kuwa kuna maaeneo ukiyagusa kwa...
Nina rafiki yangu alitengana na mumewe kwa miaka 6 sasa na mwaka jana wamepeana talaka rasmi.Huyu dada ni m2 strong sn kwani alipotelekezwa alijikaza akajisomesha huku anatunza watoto wake na sasa...
Hii ni kwa wale wanaofahamu tu!!Km hujui piga kimya...Hey wanajamvi mi nina swali la kimapenzi ambalo ni- Hivi ni mwanaume gani ana msisimko mkali wa kimapenzi kati ya aliyeenda suna na yule...
Nnamiaka 34 nilioa 2007!nnawatoto wawili.mke wangu amekua tatizo tangu sikutumeoana,baada yakuoana nae week 3 tu nilianza kujuta mpaka tukakutafuta talaka.tumekua tukigombana mara nyingi mpaka...
Niko kwenye mahusiano na mdada wa miaka 28, uhusiano wetu sasa una takribani miezi 9. Kimsingi tumekuwa sawa kwa muda wote lakini kuna kitu kimoja ambacho kwangu kinanishangaza kuhusu huyu mpenzi...
salam zenu ndugu, mie ni binti wa miaka 22, nimekuwa kama guest member kwa muda mrefu. Sasa nimeamua kujiunga rasmi na forum hususan MMU. Nipokeeni jamani.
Wapenda wana JF habari za leo,
Rafiki yangu kazini leo kanieleza mkasa wake nimemuonea huruma sana naombeni ushauri wenu wenzangu.
Huyu dada alikua na mpenzi wanapenda sana penzi lao lilidumu...
Kwa wale ambao ni so experienced kwenye masuala ya uwindaji, hebu tugawane haya mauzoefu.
Mara nyingi mwanamke akikusumbua sana kukupa uroda, siku akija kukupa Unakuta sicho ulichotarajia...
Heshima yenu wakuu!!nina galfrd wangu hana imani na mimi kabisa,sababu kuu ni tangu alipokutaga txt kwa 4n yangu nime2miwa na mmanzi mwingne...nifanyaje ili kurudsha imani kwake ukizingatia...