Habarini Wana Jf
Hili imebidi nililete hapa kulichangia kuona kama kuna ukweli wowote! Leo nikiwa lunch sehemu flani nzuri sana nilikuwa nimeketi karibu na group (nafikiri ni watu wanafanya kazi...
The link below raised a heated debate among my colleagues. Is this benefiting the girls or the selfish men?
British girls undergo horror of genital mutilation despite tough laws | Society | The...
Ndg wana JF
Najua wengi mna hasira kali na mgomo wa wakubwa wa mafuta.
Lakini naomba mchukue dakika zenu chache mnishauri.
Kwa kawaida nikitenda dhambi huwa naandikaga mahala ili kuepusha...
Sasa tukiangalia baadhi ya topic zetu mbalimbali na attitudes zote kuhusiana mahusiano kuna uwezekano taarifa hii ya Unicef ina ukweli.
Tanzania study shows one in three girls sexually abused...
Kila mtu anajua nini haswa kilichomvutia/mpendeza hata kutaka/kukubali kuo/kuolewa au hata kua na mpenzi aliye nae.Hata wale ambao hawana wapenzi wana idea ya nini kinachoweza kumvutia kwa...
habari zenu!
Ninae jamaa yangu anae friend wa kike ambae amekua akishauriana nae kuhusu maisha. Lakin amekua akilalamika kwa tabia zake huyo dada...amekua akimlazimisha mara kwa mara ampe pesa za...
Kuna jamaa yangu amekuwa rafiki wa karibu na binti ambaye ana asili ya Wameru! Urafiki wao hauna uhusiano wa kimapenzi, ila kutokana na ukaribu walionao anajisikia kuingia katika mapenzi na huyu...
Ndoa nyingi sana hivi sasa zinafungishwa na maajenti wa shetan...kuna wengi wamekuwa wakitayaruki jinsi gan
mwenza anavyobadilika kwenye ndoa siku hadi siku kuna waliofikia kuitana majina ya...
Jamani hivi ingekuwa vip kama wanaweke nao wangepewa uwezo wa kutoa talaka kwa waume zao? cos unakuta mwanaume anamyanyasa sana mke wake na kila akiomba talaka yake hapewi wakati yeye mwanaume...
Hebu tujadili kisa hiki:
Umekwenda mahali Fulani(ofisini au nyumbani kwa mtu),
Ukakaribishwa vizuri,
Umesha zoea kukuta watu wengi,
Bahati mbaya siku hiyo ukamkuta Jamaa huyu peke yake ambae...
Nimesikitika leo baada ya kumwona Mwanamziki ajulikanae kwa Jina la JAFFARAIH anaendesha gari ya Shyrose banj Toyota Herrier na anaingia kwake leo tarehe 6/8/2011!Kwajinsi alivyo mwanika kajamaa...
What is the purpose of your mariage?Nini lengo na matarajio ya mahusiano uliyoanzisha?Wengine hudai wametoka kwao wameacha chakula,vitanda nk ila hakikuwepo kitu kimoja tu(sex)je hiki ndo...
Kubebana!
Kwa nini jamii nyingi za vijana wa leo huchukua uamuzi wa kuanza kuishi pamoja kinyumba kabla ya kuoana rasmi na ndipo kuanza maisha?Wengi hutoa sababu nyingi mojawapo ni kuokoa fedha...
ninakaka yangu wa pekee ktk familia ya watu 5.ameoa mwanamke wa kioldmoshi.jamani dada huyo hafai.kwa uchoyo,mdomo na ubinafsi.kuna siku kaka yangu alitoa elfu 50 kumpa mama yangu imsaidie...
Wote sisi, kama binadamu huwa tunashikwa na hasira kutoka muda fulani hadi mwingine, lakini kushikwa na hasira na kuziacha hasira hizo ziwaumize wale tunaodai kuwa tunawapenda ni jambo tofauti...
Baada ya furaha za mwanzo za maisha ya pamoja kuna baadhi ya wanaume huanza kunyemelea nyumba zao wenyewe. Mtu toka anatoka kazini anapiga mahesabu ya jinsi gani ataingia nyumbani bila kusababisha...