Mlipooana tu sex ilikuwa hot, exciting na full speed! Na mlikuwa mnasemezana kwamba hata siku moja haitakuja kubadilika hata hivyo baada ya watoto kuzaliwa na majukumu kuongezeka hata bila...
Hebu na tujadiri hili.mtu unatafuta mpenzi kupitia gazeti au mtandao.bahati nzuri anaandikiwa na watu tuseme 20.wote anaamua kuwatafuta.je hata kama atapata mmoja wa kumfaa, mnadhani ataacha...
Huyu jamaa anaitwa Paul,anaishi katika manispaa ya Moshi,ana uhusiano wa kimapenzi na Ex wife wa mjomba wake,anataka kumuoa anataka kujua kama atapata baraka za ndugu na jamii inayomzunguka,wewe...
Wandugu kwema?
Jamani mimi ni mdau wa humu siku nyingi sana ila nimekutwa na makubwa mwenzenu.
Siku tatu zilizopita mke wangu alikuwa amelala hospitali akimuuguza ndugu yake. Baada ya mimi kuwa...
Watu wengi huwa wanajaribu kuunga mkono suala la kutoa mimba pale ambapo wahusika hawakupanga kupata mtoto. Wengine hutetea kitendo hicho eti kama msichana akibakwa basi anahaki ya kutoa. Kuna...
Katika yale mambo yetu ilinitokea mwenzangu kuwa ananihabarisha kila kinachoendelea,sababu sifa yake kuu ilikuwa ni kuongea kwa kulalamika wakati wa shughuli.Kilichonishangaza ni kuwa mwenzangu...
Kuna dada mmoja.ni rafiki yangu tunafanya naye kazi na tumetoka naye sehemu moja. Huyo dada aliunga urafiki wa kimapenzi mwaka juzi na kaka mmoja anafanya kazi wizara ya ardhi uhusiano wao...
Vumilia vumilia wewe wakati wa kuvalishwa shela aujafika usife moyo
ndugu yengu leo naleta neno la unabii mungu anasikia sauti yako
na wala ajakuacha yeye alishinda sembuse hilo mungu anasema...
Big up brthers and sisters
Naona mko safi Jumapili natumaini itakwenda shwari, Ni vizuri unapoanza kufikiria ndoa ujue kuna majukumu kadhaa kama mwanandoa ujue jinsi gani ya kuyashinda. Husika na...
Hata uwe mzuri kiasi gani hata uwe na elim kiasi gani hata uwe na utajiri kiasi gani
mwisho wa siku lazima uwe na mwenzako ..swala si tu kuwa na jina umeolewa la hasha
unaitaji kuwa na mwenzako...
Mshukuru mungu kwa kukupa mume jamani..kumbuka pesa alitumia kwa ajili yako mwanandoa angeweka banl pengine na yeye angekuwa anahojiwa kama mwanasheria wetu kule lakini ni mapenzi ya mungu...
Kinachoshangaza ni kwamba wanandoa wanapokutana na matatizo katika ndoa yao, wazo la kwanza kuja ni kwa sababu nilioana na mtu ambaye si sahihi inaweza kuwa kwa nyakati fulani au kwa mtu fulani...
Praise god
hongera kwa kuiona jumapili ni wachache sana wanahangaika pale icu kuiona leo lakini si kwamba umetenda mambo makubwa sana la hasha ni kibali cha mungu na neema yake basi nakutakia...
Baashi ya tafiti zinaeleza kuwa iwapo mwanamke anahitaji ngono mara moja kwa siku 20, mwanaume anahitaji kila kwa ndani ya siku hizo 20.
Ila uwiano unabadilikabadilika, wapo wengine ni 1:10, 1:15...