watu wengi ukiwauliza nini maana ya mpz atakujibu ni rafiki wa karibu wa kike/wa kiume,na ukiwauliza tena nini maana ya rafiki atakwambia ni rafiki2 na ni urafiki wa jinsia tofauti,je inawezekana...
Can someone fall in love with 2 people at the same time?bcoz there this guy who is confused he loves two girls he doesn't know who to choose.so he's asking me for advice.pals can you tell how to...
Heshima yenu wakuu! wakuu naombeni msaada wa mawazo,nina mchumba wangu nipo naye kwa mwaka na nusu sasa,ni mwanafunzi wa chuo kikuu flani hapa tz,nilimtambulisha home but sijajitambulisha kwao but...
1. Sex according to Pastor Khathide (Ugandan)
A lot of people don't associate sex with God - they associate it with Satan and darkness, as if sex is not holy... !!
The bible is explicit when...
Ndugu zanguni,nimekuwa kwenye facebook takribani miaka 2 sasa na imekuwa nzuri kwangu kwani imenifanya kukutana na baadhi marafiki zangu ambao tulipotezana kwa muda wa miaka mingi hasa wa shule ya...
Matangazo mengi ya kazi wanataka watu wenye uzoefu wa muda fulani, mara nyingi wanasema miaka mitano.
The same applies kwenye mapenzi. Kama unataka kupata raha ya mapenzi, kutana na mwenza mwenye...
Nimekuta mtu ame comment kwenye mziki wa Boyz 2 Men hivi;
"i want to get married just to get divorced to fall in love with another man and dedicate this song to him!! so lovely!!"...
tabia mbayaaaa......,hv ni haki baba kutaka penz la mwanae japo c wa kumzaa ila wa kumlea.?hz pesa zitatumaliza manake na mtoto nae anaonekana kunogewa na chapaa za mzee na kula uroda...
Wana-JF wenzangu. Nimepambana na maisha na kuyaweka sawa na sasa imefika wakati naona ni bora nitulizane na kuoa ili niendelee na chapter nyingine ya maisha. Kuna huyu binti nimempata na tuko...
Wengine mnawezafikiri natania ama ni story ya kupika kama porojo zingine ulizopata kuzisikia, lakini ni ajabu na nikweli. Kaka yangu wa kuzaliwa tumbo moja toka nitoke yaani hii tabia yake ya...
Najua kwa hili wengine watasema ohoo mbona alishasema mke wake anamnyanyasa yeye na mtoto wake, na wengine watasema mbona alisema mpenzi wake alipata mpenzi kwenye mtandao akamsamehe na wako wote...
Hali hivi sasa ni mbaya kimaadili, wazazi wanatukana matusi ya nguoni mbele ya watoto na watoto nao wanatukanana bila wowote. Hii nimeishuhudia hapa mtaani, mama alikuwa anamtukana mwanae wa miaka...
Am going 32 in some coming months now. I'm not married but i have a kid, it happened that am moving with a certain lady hapa mjini leo muda huu saa nne usiku nimepiga simu yake zaidi ya mara tano...
Wanajamii naomba tuijadili hii changamoto kwa kina
Hivi kuna mapenzi ya kujilazimisha kupenda?
Na kama umejigundua ulipenda kusiko sahihi unaweza kumwambia mwenzio waziwazi kuwa...
Ndugu wapendwa
kwa wanaotarajia kuoana siku ya jumamosi ni vyema mkaweka vyombo vyenu vya magari
kupunguza sababu za kutofika kanisani..mwisho na watakia mgao huu wa mafuta wa ngeleja
hope mtawahi...
Habar wana jf
mm na mpenzi wangu tuna hamu ya kuishi pamoja,lakini mpango wa kufunga ndoa mpaka sasa haueleweki.je?2naweza kuishi pamoja halafu ndoa baadae kama nyinyi wengine?
msaada tafadhali.
Wajameni
Kuna rafiki yangu kanifuata kuniomba ushauri afanyaje nami nikaona niombe msaada hapa jamvini,
Baba yake ni Dereva wa magari ya mizigo anaesafiri mara kwa mara mikoani na hata nje ya...