Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Ni maneno mawili ambayo mara nyingi hutolewa na mtu anapokosea, Tuzungumzie kwenye mapenzi Unapokuta labda gf/bf/mume/mke wako anafanya kosa akakuomba msamaha unaweza kujisikia amani kwa kuwa...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Washkaji nikiwa niko mwaka wa tatu kama moja ya vijana wakawaida sana tuka familia za kimaskini mtegemea boom,ila kwa kua ubongo ninao sitaduu mmoja alianza kuja fata lecture alianza kunifata sit...
0 Reactions
64 Replies
8K Views
Hili swali nimejiuliza siku nyingi sana ingawa soln yake ninayo kuna jamaa yangu jana mchana alikuwa amevaa kofia nikamuuliza vipi kunani umevaa kofia leo akadai ntakwambia baada ya watu kupungua...
1 Reactions
42 Replies
7K Views
Tunajiuliza siku zote ni kwa nini penzi linapoingia mahali huweza kuharibu kila kitu? Tumekuwa na misemo yetu ya siku nyingi kama siyo ya asili, kama vile ule wa ‘penzi ni ulevi' au...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Jifunze namna ya kuwavumilia wengine! Ukianza kutazama tabia na matendo ya watu ambao unakutana nao kwenye maisha yako ya kila siku kwa kujiuliza kile unachojifunza kutoka kwao utajikuta unaanza...
5 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari za asubuhi wapendwa (Kwa wale ambao majira ya sasa ni asubuhi) Habari za mchana na jioni au usiku (kwa wale wenye majira tofauti) Natumain, mko salama salimini na mmeanza majukumu ya kazi...
3 Reactions
41 Replies
4K Views
habari zenu wanajf hivi kwa nini wanaume na wanawake tunakuwa wahongo kwenye mahusiano japo sio wote ila wengi wetu. kama tungekuwa wawazi kwenye mahusiano yetu nadhani hii dunia ingekuwa kama...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Tukusuma Mpoki alikuwa amesimama kwenye baraza la nyumba yake, uso wake ukiwa umekunja ndita, jasho likimtiririka, na macho yake yakiwa yanabubujikwa na machozi. Alikuwa amejifunga kanga moja tu...
0 Reactions
74 Replies
18K Views
Wanaume mpooo.... Kuna warembo wanajitahid kwa uwezo waliopewa na MUUMBA wao.. kuweka pozi nzuri,wanaonyesha vizuuri miili yao,sehemu zao ambao wao wanahisi zina mvuto.. ktk miili yao.. Jaman...
2 Reactions
43 Replies
5K Views
Wapendwa marafiki zangu Nimempoteza kaka yangu mpendwa aliyefariki jana Hospital ya RC.Tunduma mbaye ni wa pekee kwenye familia yetu David Mwampashi najiandaa kuondoka kesho asubuhi kwenda Mbozi...
31 Reactions
102 Replies
6K Views
Jamani eeh kuna kibinti NAKIPENDA sana na kwangu kina sifa za kuwa mke bora kabisa. Sasa tabu ni kwamba 1. Kuna wakati nlikuwa karibu sana na dada yake so anahisi nlimdate dada yake na sasa...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Kuna wazazi ambao pengine kwa kutofahamu hupenda kutamka maneno kama haya mbele ya watoto, ‘bila fedha dunia hii nani atakujua, ni nani atakuthamini,' watoto waliolelewa wakiyasikia maneno...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Kuna dhana kwamba wanawake walioajiriwa wanakabiliwa na mazingira ambayo yanawalazimisha kuingia kwenye vitendo vya kutoka nje ya ndoa zao, ukilinganisha na wanawake ambao hawajaajiriwa hususani...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Inapotokea mwanamke katika familia ya wawili wapendanao ana sauti kuliko mwanaume(mumewe) na wanandugu wakaligundua hilo(hasa wa upande wa mume) huanza kulalama ya kuwa kalishwa kitu,mara sio...
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Wadau nimetoswa na bintii niliyempenda na bado nampenda kwa sababu ya wasiwasi wake kwangu kwamba siku moja nikimkataa ataumia sana. Huyu binti nilimtokea na mazungumzo yalienda vizuri,na...
1 Reactions
41 Replies
4K Views
heshima zenu wakubwa. wiki iliyopita nilikutana na yule msichana niliyeomba ushauri kwenu kwenye post inayosema nimfanye nini huyu msichana...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wapendwa Natumaini wote mlikuwa na weekend njema. Hivi ulishawahijiuliza ingekuwaje kama kungekuwa na uwezekano wa kurekodi zile confessions za mapenzi, viapo vya nakupenda sana, sijiwezi juu...
9 Reactions
57 Replies
4K Views
If it is not valentine's day and you see a man in a flower shop,you can start up the conversation by asking,'what did you do?'
0 Reactions
3 Replies
957 Views
Habari ya Ijumaa wana JF, naomba tujuzane, ukikuta wallet ya Mr ina business card ya massage clinic wakati haujamsikia ata sikumoja km alienda massage inakuwa imekaa vp hii? na vp ukiikuta katk...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Mpenzio/ Mumeo au Mkeo.... Akikushushia heshima kwa namna hii: "Kenge wewe!" au " Kima mkubwa wewe kampe mamako!" Wewe utamchukuliaje au utachukua hatua gani? Vipondo vya kufa mtu au talaka au...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…