Wadada naomba mnisaidie, mnapokuwa kwenye uchumba ni kutoa unyumba kwa wenzi wenu ni rahisi sana tena bila masharti sasa kwa nini mkiolewa inakuwa ngumu sana kutoa unyumba na kuja na sababu kibao...
Kwa wanaume, Hivi inakuwaje, inapotokea msichana anapokutokea akakuomba namba kwa sababu za kimsingi, (MASUALA YA KAZI, BIASHARA, ETC.) baadaye anaanza kukutext msg za ajabu ajabu. Baada ya muda...
Hapa mtaani kwetu Jana tumeachwa hoi kwa kituko dogo mmoja wa std 3 alichofanya. Kuna mama mmoja afahamikae kwa Jina La Mama Pamella, huyu mama amekuwa akimtania dogo anampenda na kumwita dogo mme...
Nimekuwa mfuatiliaji kwa muda mrefu kuhusu katabia ambako kanakonyweshwa na akina dada ,wanawake wengi ambao hawapendi kuchangia gharama za matumizi.mkiamua kutumia ,kutanua,kujifurahisha...
Ni mshikaji wa muda mrefu!Tulifahamiana Tabora School(Boys) miaka iyooo.Tulipendana sana sbb 2likuwa tukiishi room moja,hata baada ya kumaliza tuliendelea na Elimu ya juu tena kwa Mafanikio...
kwanza napenda kuwashukuru wana jf kwa kunipokea jamani nyie ndo marafiki zangu naombeni ushauri yaani ninapenda sana watoto wadogo nikimuona mtu amembeba mtoto huwa nasisimka mwili mzima kwa...
Here are the 5 steps to a perfect relationship
1. It is important to find a woman who cleans up, who cooks from time to
time, and has a job.
2. It is important to find a woman who can make you...
Muhali gani wana JF? Hope you are all fine! Nimekuwa nikitatizwa na suala moja jamani. Si mnajua kuwa ratio ya women to men ni zaidi ya moja, na imeamrishwa kuwa ni wajibu watu kuoana wakati...
Kama ilivyo kawaida kwa kijana awaye yote kuingia katika mahusiano ya kimapenzi kwa ajili ya ku-make family! Ni takribani miaka miwili iliyopita nilijaribu kuwa karibu na binti mrembo ili niweze...
Eti kuna habari kwamba watu wakiishi katika mahusiano ya kimapenzi muda mrefu sana huanza kufanana katika mambo mbalimbali kam vile sura na tabia je ni kweli au uzushi?. karibuni sana wanajamii...
Kwa habari nilizozipata just now,
mashoga na wasagaji wa Tanzania wako kwenye kikao cha kujadili haki zao ndani ya ukumbi wa mikutano uliopo Tansoma hotel.
THIS IS TOO MUCH
Je, unakumbuka siku ya kwanza ku-do na mpenzi wako...???
Je, ulijisikiaje baada ya tendo....??
Je, unakumbuka siku ya kwanza mlifanyia wapi...??
Je, unakumbuka mlikutana naye wapi kwa mara ya...
Mh i feel like now i should have a fiance ready for marriage but the prob is on the list i just had "ONE OFF" kinda relationships what should i do? This mean there's no one i can promote (on the list)
MAPENZI YA DHATI HAYACHAGUI RANGI,DINI,SEHEMU WALA KABILA.ILI KUTHIBITISHA HILI WAPENZI WAWILI WALIOKUWA WAOANE IKIWA IMEBAKI WIKI MOJA TU BIBI HARUSI ALIPATA AJALI AKAFA GANZI(PARALYSE) KUANZIA...
je,ukigundua mpenzi wako alizaa before kuwa nawe na hajakuambia utafanyaje..?
je, ukimuliza akakubali utaafiki..??
je ukafahamu ana mtoto lakini anawasiliana na mzazi mwenzake kwa siri na...
Wapendwa wanaJF
Salamu.
Kwa muda mrefu nimekuwa nikisikia hii misemo na ushauri kuwa unapoamua kuingia kwenye mahusiano mapya, unatakiwa usimwuulize, wala usiangalie past ya mwenzi wako! Hapa...