USIKUBALI HASIRA IKUANGAMIZE. Katika maisha kuna nyakati mtu au kitu kimekukasirisha kupita kiasi.Wote huwa tunakasirika. Ni kitu cha kawaida kukasirika. Akili na mwili ndivyo vilivyo. Lakini...
Leo nikiwa narudi zangu home, hapa hapa mtaani kwangu nikakuta vitoto vya miaka kama sita (kiume) na 4/5 (kike) wanacharazwa bakora kwa kile walichodai wazazi wao kuwa waliwakuta wanafanya...
wakidada wenzangu,
Tulipokuwa shule utasikia mtu anasema; ooh mimi nasomewa, sina haja ya kuhangaika sijatumwa na kijiji! Hii imekwenda hadi tumefika Varsity, utakuwa mkaka ana allowance kama ya...
Wasalaam wanajamviHakika wanaume wengi tumekuwa tukipata tabu sana katika kuchagua makabila ya wanawake wa kuoa napenda kuwaambia masai is the best tribe. Ukioa mmasai utalipa ng'ombe 10 na Mbuzi...
Habari wandugu..
Mwenzenu smtimz kuna mambo huwa hayaingii akilini..hizi ofisi za vibosile zilizo na kila kitu mpaka self contained room za nini? Zile two hrs za kwenda lunch ndio unaona eti...
ndugu zangu, nimepata mpz miezi minne sasa, mwanzo nilimwamini but kadri siku zinavyozidi kwenda nashindwa kumwelewa. Namkuta na msg za kimapenzi na jamaa yake wa zamani, nikimuuliza sababu...
Nimekutana na hii thread toka one of good blogs nikaona si mbaya kushare na ninyi. For me this is good advice but challenging.
Secrets to a Happy Marriage
Have you ever wondered "what is the...
Hii ndio thread yangu ya kwanza inayohitaji michango kwahiyo naomba nianze kwa kuwasalimia wote.
Salama aleykum kwa ndugu zangu waisilamu na Bwana Yesu asifiwe kwa ndugu zangu wakristo.
Siku...
Takwimu zinaonyesha kuwa wanawake ni wengi kuliko wanaume duniani kote ndio maana wanaume wengine wanaoa wakee wengi na wengine wanaoa mmoja lakini nje pia wanatoka ili haki itendeke kwa wote...
Kuna muhindi rafiki yangu juzi katika kufahamiana zaidi nikamuuliza kuhusu watoto wake akaniambia anaye mmoja wa miaka mitano,nikauliza mbona umechelewa hivyo si uliniambia ndoa ina miaka 16...
It has been known for many years that sex is
good exercise, but until
recently nobody had made a scientific study of
the caloric expenditure of
different sexual activities.
Now, after...
Katika pitapita zangu nimekutana na hii imenifurahisha sana.
Kumbe kama ukiachwa haimaanishi ulete uhasama.
Nadhani huu ni ujumbe mzuri sana hasa kwa akina dada.
Nisishambuliwe tafadhal!
je unataka kurejesha nyota yako kimapenzi? Unapaswa kutambua kuwa kitu chochote muhimu na kizuri duniani kina hitaji mbinu sahihi ya kukipata. Hivi ndivyo hata katika mapenzi ilivyo, utakapo...
Hili halizungumziwi sana lakini linakuwa kwa kasi. Kuna wanaume wa kutosha tu wanatunzwa na wanawake, wengine wako kwenye ndoa wengine mahusiano ya kawaida. The issue is wanaume hawa wameridhika...
Nakuletea sehemu ndogo ya interview ya Makamu Rais wa zamani wa Uganda- Bibi Specioza Kazibwe
You are a public figure, once the Vice President of this country and now a presidential...
wanachukulia cheating ya mwanaume kama everyman s habit unlike women in the west,hawatolerate cheating ndio maana kwao divorce rate ziko juu compared to africa,
nauliza je hatuko confident kama...