Kuna msichana nafanya naye kazi katika kampuni moja. Sasa tumezoea kweli kutaniana na kuitana majina ya Kimahaba huku kukiwa hakuna uhusiano wowote wa Kimapenzi. Jana saa nne usiku nikiwa nafanya...
huyu dada jamani (kama kweli) mamods naomba mumpe walau kamisheni ( au wee mod nini) maana mda wote npatao upenyo lzm ukute koment zake kwenye thread mbalimbali...najaribu kuifikiria aina ya kazi...
NIMEUKUMBUKA MKAO HUU:- KUKAA PAMOJA FAMILIA NZIMA KWA KUJUMUIKA KULA!!
Picha hii imenikumbusha enzi zile miaka arobaini na saba familia nzima inajumuika pamoja na kushika chakula iwe cha...
Habari MMU,
Kwa muda mrefu sana, nimekuwa nikisoma mada za hapa MMU ili kujipatia mauozefu.
Ila leo, na mimi napenda nilianzishe ili tulijadili wote.
Nimefanya kautafiti kadogo na kugundua...
Wana Jf, imenitokea mara kadhaa na nimekuwa nikijionea pia kwa rafiki zangu wa karibu....mwanaume ukishaanzisha tu uhusiano na mwanamke, basi mwanamke ndo anakuwa wa kwanza kutoa masharti mara...
(nimepiga hodi kule sebuleni). Wana JF leo nataka niwakumbushe wale wanaotazama makabila wakati wa kuoa. Hivi ni sahihi kuhukumu kabila zima? Mfano nimewahi kuambiwa mara kadhaa kuwa wanawake wa...
wana jamvi tusaidiane hii scenario,nimekua nina mpenzi kwa muda wa miaka 2 sasa huu waenda 3,katika muda wote huo nimekua nikiona mapungufu mengi lakini mengine nimeyamezea na kuyavumilia kwani...
Jamani mi hata sielewielewi huyu kiumbe anataka nini. ni rafiki wa karibu sana na mume wangu. Amekua na tabia ya kutaka sana kunijulia khali.
nami kama shemeji namsabahi na namheshimu sana...
tukifananisha makampuni ya cmu na mademu,airtel ni sista du anayependa starehe na kubadili majina na kupenda wenye nazo,vodacom mchumba wa kuoa kabisa,zantel jimama la kulea vitoto,ttcl kibibi...
najua mnaipenda kazi yenu jamani embu jalini na familia zenu ,,overtime tamu lakini
kuitwa mjomba na watoto zako sio raha kila siku ukija wanakuita mjomba uncle wewe jamani
embu haya mambo tuwahi...
Salamu, hivi ukishazaa na kuachika unaweza kupata mwanaume mzuri akakupenda wewe na watoto wako maana watu wanasema eti ukishazaa thamani inapungua. Nisaidieni jamani i'm a single mother and i...
Vuuuuuppp!!!!
Naongea kwa uhalisia & hisia, kwa kutumia uzoefu, Bujibuji ataongezea, wanaume wengi akisha do na demu, ooohh...!! ndio mwanzo wa kuanza kumpiga chenga demu mara kibao, especially...
Hasa mida ya asubuhi ukiingia ofisini utasikia.....hiiiiii mambooo umependeza wigi lako umenunua wapi? Ilihali ukimwangalia hilo wigi ni kama helmet ya pikipiki ambayo no oversize. Na mwenyewe...
Tukiwa katikati ya mchezo akaniambia maneno haya "give it to me", nikampa, tena nikaongeza nguvu na spidi, bado akaendelea kudai nimpe, na akaongezea usiniogope sima nikupe nini?
Nimejiuliza...
naomba kupata ushauri hasa kwa walioana,,, je nni mda gani muafaka unaweza kukaa na mpenzi wako kabla ya kuoaana? mf miaka 2? 5? miezi6? au? naomba ushauri,,,
Habari wana JF?
Mwenzenu nilikuwa Pemba nimerudi jana, nilipokuwa huko katika taasisi ile ile ninayofanyia kazi nilitokea kupendana na binti wa Kipemba!! Binti anajua kupenda jamani (Mapenzi in...
kwanza salamu
nianze kwa kusema nilipokuwa kijana nilikuwa na maisha magumu sana kwa upande wa mahusiano/uchumba
nilipokuwa sekondari high nilikuwa na rafiki yangu wakike niliyempenda sana...
Haya ni majini ambayo dawa yao ni kufyeka na damu ya yesu..unawasha moto wa yesu kwanza kabla ya kusali
kuna mabinti kila wakipata mchumba wanaishia kuvishwa ring za engagement isiwe kwako in...
Wadau,
Mtakumbuka kuwa Miss Judith alitushirikisha kwenye maombi ya siku 30 za kumteua wa kuishi naye daima dumu.
Kwa mijibu wa mahesabu aliyojiwekea mwenyewe ilitakiwa by 01/june 2011...