Je! Uko tayari kuolewa na naniWengine hawafikirii namna hiyo, ukiwauliza uko tayari kuolewa na nani, anasema na mtu aliyeokoka. Bwana anawajua walio wake, hakuna mtu kwa jinsi ya nje atakayemjua...
HILI SWALI NI GUMU LAKINI MUHIMU SANA AIJALISHI NDOA YAKO NI KESHO UNAWEZA BADILISHA MAISHA YAKO YA UCHUNGU MIELELE KWA SEKUNDE MOJA YA UAMUZI
Je! Uko tayari kuoa au kuolewa?Ni swali muhimu, uko...
Uamuzi wa kuoa au kuolewa, unaweza ukabadilisha
utumishi wako na wito wako kabisaNgoja nikutolee mfano wa kibiblia. Unamkumbuka mtu mmoja aliyeitwa Samson, alimwoa dada mmoja aliyeitwa Delila...
Married men should be careful not to retire before their wives because there will be no one at home to look after them, according to a new study. While wives report that their health begins to...
Hili limenishtua sana baada ya kijana mmoja kule Welsh kukiri ya kuwa alimwua ex-GF kwa sababu ya kuahidiwa kifungua kinywa kwenye mchezo wa kupinga..........bet........................read 4...
Je, unapoanzisha sex kabla ya ndoa halafu mwenza wako akakwambia ana ujauzito na mkapima na kuthibitisha na kukuta ni kweli ha'fu baada ya miezi 7 na nusu, kwenda clinic na kupima mimba ina miezi...
Habari za asubuhi wanajamvi,natumaini wote wazima kabisa na mnaendelea na shughuli zenu maofisini na nyumbani pia.
Napenda tu kuelezea kwa kifupi jinsi Scam/spams za internet zinavyoenea.Ila...
neno tayari ktk uhusiano maana yake ni kwamba mtu amejiandaa na yuko tayari kuingia ktk uhusiano hasa ule wa muda mrefu na mara nyingi husema mtu yuko tayari akiwa ameshakamilisha kujiandaa na...
ni kweli matumizi ya facebook yanaweza kuvunja ndoa,kwasababu watu wengi wanaochart kwenye facebook ni wanausisha zaidi mapenzi na sio kingine pia inawafanya watu wanakuwa so free kusema chochote...
jamani mi ninachoamini ni kuwa Mungu kaumba vitu kwa mfano wake, pia kaumba vitu ili mwanadamu atumie na kufurahia.
ila katika suala zima la mapenz sijui nini kinatokea na ndo maana naomba msaada...
Salaam aleykhum
Tumsifu Yesu Kristu
Habari zenu Mabibi na Mabwana....
Its me again mchungaji wenu, today I will talk on sexercise....haloow....Im sure most of you you're aware of many benefits...
Nina best yangu nampenda sana tumekuwa marafiki kwa mda mrefu san kiasi kwamba tumekuwa kama ndugu,tatizo ni kwamba sikuhiz kabadilika sana yani ananifanyia visa vya maksudi,anamajibu mabaya na...
Jamani msiniue bure haya maneno ya kwenye signature yangu hapo chini sikuyatunga mie,ni methali ya kihaya, nimezaliwa nikaikuta na maana yake ni kwamba ukiamua kutembea nje ya ndoa/mahusiano basi...
Kuna mama mmoja ana watoto wawili mmoja ni mdada na mkaka
Yule dada kaolewa na ana watoto na yule kka ameoa anaa watoto kama kawaida kuna tofauti ya mshiko yaani mme wa yule dada anamshiko
kuliko...
Sina budi kumshukuru mwenyezi mungu kwa kuniwezesha kufika hapa nilipo .
Leo ni anniversary yangu ya ndoa 4 years ...nina furaha sana juu ya jambo hili jema kwangu
Pia kukaa na mwenza mbali ni...
Yote maisha! Wengine tumefikia hapa tulipo sababu kuna wale walioamuakujitoa Muhanga kwa mapendo. Mama huyo ana uza vitumbua vya moto moto aweze lipa ada ya watoto wake.
HI MEMBERS,
kuna hii kitu eti mtu akinywa pombe (beer or whisky) na akienda ulingoni, basi yeye atasukuma kabumbu balaa na hata kuwa na mapepe ya kufunga goli mapema. ni kukaba mwanzo mwisho na...
Wakuu, mungu ni wa ajabu tena sana na sema wa AJABU, nimekutana na jamaa yangu mmoja analia, kumuuliza kaniambia simple and understoodable words....
magu Mungu asingetufanya tuwe tunasahau kila...