WAJAMENE MAJUZI NIMEITWA NA KIJANA MMOJA ALIKUWA NJE YA NCHI.AKAOMBA NIMPE KAMPANI ANAMVISHA MCHUMBA WAKE pete.nilipofika hotel moja kubwa nikafurahi sana kuona kamoja cha kabinti cha mjini...
Hi wajameni!
Nina rafiki yangu nawasiliananae sana kwa FB, ana kama wiki ya pili sijamuona akilog in, nikampigia simu kufahamu vp mbona apatikani kw FB? akaniambia mme wake amemfungia account...
huwa najiulizaga mara nyingi kwa nini wanapaita kwa wajanja...sipati jibu
vijana magraduate wanakimbilia sinza kwa sababu zao amabapo wengi ukiwauliza kwa nn wanaishi pale na si tofaut hana...
Wapendwa MMU..Heshima mbele..
Nimetumiwa, nimeiona na kusoma.. imenigusa, tusome kwa faida yetu sote..
ENHANCING RELATIONSHIPS! It is very important ; and if you are in a relationship or...
Hi MMU... heshima mbele..
Nimetumiwa, nimeisoma, imenigusa kwakweli... nimeiweka kwa manufaa yetu wote
ENHANCING RELATIONSHIPS! It is very important ; and if you are in a relationship or...
Nimefurahi sana kujua hili! Nimekuwa nikichumbia sana muda sio mrefu wananitosa, mimi nilikuwa na msomamo wa kipadre, hakuna game kabla ya ndoa! duh wiki mbili wananikimbia nilipochoka kuchumbia...
Unakuta unachat na mpenzi wako kila siku kwenye social network kama hii,facebook,my space e.t.c,but mwenzako anaunda account fake na kuanza kukutongoza upya ili ajue to kama una msimamo.Baadaye...
Habari ya kwenu wana jf.
Mimi nina rafiki ambaye ni jinsia ya kike alikuja kuniomba ushauri afanyeje anasema kuwa ametokea kumpenda kijana ambaye ni wa mtaani kwao,anasema anampenda kwa dhati na...
Hizi ni tofauti za mitazamo za wanawake katika mahusiano kutokana na umri!15-20 Hawa wanapenda kujua utam wa mapenzi na aina tofauti tofauti za wapenzi,hawatulia,wanapenda masharobaro na...
Usiku umefika, kiza kimetanda, kwa kazi ya leo ofisin najihisi mchovu, naitaji kupumzika tayari kwa siku ya kesho. Upweke wanitanda, mwenyewe chumbani, najipa moyo kwa ndoto za usiku. Najiuliza Je...
Watu wengi tunapenda kusema yule mtoto au jamaa ananipenda sana a.k.a kanizimia ile mbaya nk. Naomba wanajamvi tujadili jambo hili kwa kina. Maadam kuna wasanii wengi sana ktk maisha ya siku hizi...
Habari wana JF
Tusaidiane mawazo hapa,hivi kuna umuhimu wa VIJANA(wakike na wakiume) kutunza UJANA WAO (Bikra)mpaka wakati wa ndoa?
Kama ndivyo,tufanye nini kurudi huko?Kama hakuna umuhimu,faida...
Hivi jamani, inakuwaje akina baba wanajihalalishia kuwa na nyumba ndogo ili hali wake zao nao wakipata nyumba ndogo wanakuwa wakali kuzidi nyuki waliochokozwa..mi naona wanawake nao wajihalalishie...
sipendi hilo,tena wengine ni viongozi wa serikali na dini,kwa kweli acheni vaeni pete za ndoa au kama hamna ndoa usivae pete,naona pete zina ujumbe ambao wengi wanaovaa hawajui!!!
Wapenzi
yaani naiandika hii thread huku nikicheka............Mnajua wazungu huwa wanasema when you are in love eh you feel some Butterflies in the stomach........najaribu kukumbuka na kuimagine...
Yani hii imekuwa moja kati ya silaha za maangamizi zetu sisi wanume kupata wanawake tuwapendao kwa haraka,if you don't have any sense of humor in your wallet,you better have a sense of cash in...
:glasses-nerdy:
This is not about sizeism prejudices rather my personal experience and from people (couples) close to me......
However, as is the case in relations, there is not such a thing...